Search results

  1. M

    Kumbukumbu ya Brigedia Gen. Moses Nnauye!

    nape kuna nyimbo ya mashabiki wa Liverpool " U will Never Walk Alone" Kaka hata Kama familia imekutosa sisi ndugu Zako tupo hapa JF lakini hata mbeya tupo sisi ndg Zako hasa Kule Rungweeeeeeeeeeee na mzeee wetu amerejea salama kutoka india so u will never walk aloneeeee QUOTE=THE...
  2. M

    Kumbukumbu ya Brigedia Gen. Moses Nnauye!

    nape kuna nyimbo ya mashabiki wa Liverpool " U will Never Walk Alone" Kaka hata Kama familia imekutosa sisi ndugu Zako tupo hapa JF lakini hata mbeya tupo sisi ndg Zako hasa Kule Rungweeeeeeeeeeee na mzeee wetu amerejea salama kutoka india QUOTE=THE ROMANTIC;2933537]Ni miaka kumi...
  3. M

    Vigogo wenye uraia wa nchi mbili ni hawa wafuatao

    Wana Jf katika kufatilia baadhi ya mambo nimepata kufahamu yafuatayo (1)Mh sugu Ana uraia wa Tz na USA (2)Mh Membe Ana urai wa Tz na Canada (3)Mh Letecia Nyerere Ana uraia wa Tz na USA (4)Mh Nyalandu Ana uarai wa Tz na USA wana Jf Uchunguzi unaendelea Kama mnataatifa zaidi mnaweza...
  4. M

    Nape Nnauye sasa atisha vyombo vya habari

    Mzee William karibu ushiriki siasa za nyumbani practically
  5. M

    Kikao cha Siri Ridhwani na Membe Uwanja wa Ndege

    Wana Jf Leo majira ya saa Tisa mpaka saa kumi jioni Mh Bernad Membe alikutana na Prince walifanya kikao cha Siri kwa zaidi ya saa moja na baada ya kikao chao hicho Membe alisikika akimpigia sim Bwana Mukama na kumuambia Tayari ameongea na Mpiganaji na atamueleza mzee kwahiyo asiwe na Shaka...
  6. M

    Mkakati wa Kumuhujumu JK na Lowassa

    Umepotosha mengi saaaana na ww ni muasisi wa siasa za uongo CCM vijana wenzio walikufukuza ndani ya Uvccm,Unakumbuka uliandaa paper ya uongo kupeleka kwa JK kuwa kuna watu wemekaa Moro kumuondoa JK? Usishangae Leo
  7. M

    Mkakati wa Kumuhujumu JK na Lowassa

    Nape mm si John pia unadai huu ni uongo na upotoshaji kuna mpotoshaji zaidi yako?nikumbushe umesahau ulivoandaa paper ya uongo kuwa JK ataondolewa madatakani na kina lowers?umesahau jinsi ulivowapotosha wana Magamba wenzio Igunga kuwa CDM wameleta mungiki ikabidi vijana wenu wakavamie msafara...
  8. M

    Mkakati wa Kumuhujumu JK na Lowassa

    Wana JF, Baada ya kikao cha NEC dodoma Mh MEMBE alimwaaita wajumbe wa NEC wafuatao na Kufanya NAO kikao Nyumbani kwake wajumbe hao ni NAPE NNAUYE Capt CHILIGATI LUSINDE maarufu kwa Jina kibajaji Makongoro Nyerere Mzee Samweli sita ambae alifatwa nyumbani kwake akiwa amejipumzisha Ndg Wilson...
  9. M

    Kama CHADEMA ina wabunge vilaza kama hawa? Hawafai nchi!

    Kwa kweli nimemuona huyo mbunge yaani kichefuchefu kabisa.
  10. M

    Nzega: Risasi zatumika kumuokoa Mbunge Kigwangalla

    Taarifa mpya CCM mkoa wanajaribu kumuokoa ili asipelekwe mahakamani kesho, Jeshi la Polisi linataka wampeleke Mahakamani. Hapa Nzega nilipofikia kuna kijiwe kinaitwa Meza ya Duara wanadai mgogoro huo umekua mkubwa kwakua Serekali ilitaka kuwalipa Fidia watu ambao walikua na Haki watu hao...
  11. M

    Nzega: Risasi zatumika kumuokoa Mbunge Kigwangalla

    Wana jf naendelea kupata taarifa hapa hoteli niliyofikia inayoitwa Nzega Motel,Ni kwamba wanaanchi walikasirika baada ya kuona mbunge wao ameenda faragha na muwekezaji wa huo mgodi mdogo. Baada ya kuona hivo walianza kurusha mawe na jiwe kumpata Muwekezaji kichwani ambae sasa amelazwa...
  12. M

    Nzega: Risasi zatumika kumuokoa Mbunge Kigwangalla

    Wana Jf nipo nzega nikitoka Mwanza katika ziara ya Ndg ridhwani kikwete. Usiku huu nikiwa napata chakula nikasikia Risasi zinalia Mjini nikaamua kufatilia na kupata taarifa kuwa Kuna Mgodi ambao unaitwa Isunga Ngwanda ambao siku Mbili zilizopita Mbunge na Wananchi waliungana Kuufunga. Leo...
  13. M

    Wahariri wa Vyombo Vya Habari wafukuzwa Malaika Hotel Mwanza?

    Wana Jf Baada ya kutoka Magu Ridhwani kikwete aliamua kuhama hoteli ya Golden Crest na Kuhamia Hoteli ya Malaika uamuzi huu umesababisha wanahabari waliokua wamefikia na kulipia Vyumba katika Hoteli hiyo kuambiwa watoke kwa ajili ya kulinda usalama wa Mtoto wa Rais. Tukio hili Binafsi...
  14. M

    Ridhiwani Kikwete Ndani ya MAGU,

    Wana JF Bwana yesu awe. Pamoja nanyi na kwa waislamu Asalama aleko. Leo hapa kwetu magu kuna sherehe ktk sekondari ya wahitimu wa kidato cha NNE wana habari na wakazi wengi wa mwanza wamekuja kumuunga mkono mtoto wa rais ktk hafla hii. Lililo nisukuma ni jambo moja baada ya hotuba bwana...
  15. M

    Meli ya MV Spice Islander, yazama ikelekea Pemba; wengi wahofiwa kupoteza maisha

    Tatizo la Zitto ndo hili mbona hajatuambia tuisusie simba iliyocheza, mbona hasemi CCM waliondelea na kampeni juzi tuwasusie? Aache kutafuta cheap popularity na siasa ktk kila jambo Hawa jamaa waliisha plan everything ni ufinyu wa mawazo kujenga hoja hii dhaifu, Zitto yeye toka siku hiyo mpaka...
  16. M

    19/08/2011 ni Mwaka mmoja Toka CCM Watangaze Hussein Bashe si Raia wa Tanzania

    Wana Jf Leo ni mwaka Mmoja toka CCM walipotutangazia Hussein Bashe Kada wa CCM alieongoza Kura za Maoni kuwa Si RAIA wa Tanzania,Cha ajabu yupo anashiriki vikao vya CCM na ni Kiongozi wa Chama hicho. Nimeleta hapa kama kumbukumbu naomba kuwasilisha
  17. M

    Matokeo ya Kura za Maoni Igunga: CCM - Dr Kafumo, CHADEMA - Mwl Joseph Kashindye

    Wana Jf Taarifa zilizonifikia sasahivi Vyama vya CCM na CDM vimemaliza zoezi la Upigaji kura za Maoni ktk jimbo la Igunga. Matokeo na watu walioshinda kura za Maoni ni Mratibu wa Elimu wilaya ya Igunga Mwl Joseph Kashindye ameongoza ktk kura ndani ya Chadema. Upande wa Chama cha mapinduzi...
  18. M

    Ridhiwani bungeni, kulikoni?

    <br /> <br /> Dogo ameenda Bungeni kufanya lobbing na kukutana na wajumbe wa kamati ndogo ya Bunge iliyoundwa kuchunguza Sakakata la UDA. Kabla hajafika dodoma jambo la kwanza amefanya Mawasilianoo na Mh Zitto Kabwe,Pia alimpigia Sim Mbunge wa Viti mAalum aliepo ktk Kamati Ester Bulaya...
  19. M

    UDA: Connetion ya Robert Kisena na msharika wake Ridhiwani Kikwete!

    Wana Jf nimeamua kuwaletea hii Taarifa baada ya kufanya uchunguzi wangu binafsi juu Ndugu Simon Kisena ni mfanyabishara wa kubangaiza wa siku nyingi sana katika sekta ya kilimo, haswa katika zao la pamba ambapo alifanikiwa kuwa na ginneries za pamba huko kwao shinyanga,ambayo baada ya muda...
Back
Top Bottom