Search results

  1. M

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Kaka msaada wako nahitaji amplifier nzur yamsikitini kampuni Ahuja
  2. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mshana naomba kujua hii gari inaitwa Mazda primcy niimara vipuri na economy
  3. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Okay kwahiyo kwaupande wauimara niipi kati yahizo ambayo nibora zaid
  4. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu mbona watu wengi wenye crown zilizotumika wanauza bei rahisi kulinganisha na premio hii imekaaje
  5. M

    Wanaume wa kiislam msitumie dini kunyanyasa wanawake wa kiislam kisaikolojia

    Ambacho hujaelewa nn? Shida yenu mmejaa udini tu hamna lolote
  6. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mshana naomba kuuliza kati premio na Rush ipi gari nzur nataka kufanya maamuzi
  7. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nashukuru kwa ushauri nitaufanyiakazi
  8. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari wakuu gari yangu Toyota ipsum new model inatembea 8.5km per lita kwenye rough road je hii nisawa wakuu? Kama siyo tatizo inaweza kua nini?
  9. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mshana naomba ushauri gari yangu toyota ipsum new model inamaliza tairi yanyuma moja upande wa ndani nimefunga ball joint tatizo bado nifanyaje?
  10. M

    Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

    Nawale wenye jeshi lauokovu nahawaguswi wapo juu yasheria au kwakua ndy wenye nchi wengine tuishi kama wakimbizi kisa imani zetu?
  11. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Naombeni ushauri gari yangu kwasasa inamaliza maji mara kwa mara tatizo nini wakuu pia ukipiga stata lazima ushikilie kwanza ufunguo kwa muda ndy iwake ukiachia inazima tatizo nimeliona jana tu
  12. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu naomba kujua uzur wa suzuki jimy nimeielewa sana je inachangamoto zipi
  13. M

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Dr Kuna ndugu yangu anatatizo lakuwashwa kwenye maziwa ameenda hospitali akaambiwa nifangasi lakini kila akitumia dawa hali iko palepale je atumie dawa gani
  14. M

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Wakuu vifaa vya umeme vya jumla nitavipata sehemu gani kwa dar
  15. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu Mshana jr naomba nielekeze uzi wako wakuuza magari tafadhali
Back
Top Bottom