Kwako Mh. Naibu waziri wa afya, Dr. Hamis Kigwangala, habari za majukumu natumai unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku ya kutumikia watanzania, mungu aendelee kukupa afya njema na uwajibikaji uliotukuka.
Taarifa zilizopo ni kuwa hospital ya MUHIMBILI kitengo cha mifupa (MOI).wagonjwa...
Ni muda mrefu sasa Tanzania tumekuwa tukipiga sarakasi juu ya suala la ajira kwa vijana tumekuwa tukitengeneza sera nyingi juu ya masuala ya vijana bila kutekelezeka (policy implementation gap) leo Naomba kuweka wazi juu ya uhamnazo tulio nao ndani ya taifa hili na viongozi wake.
Kwa mujibu wa...
Mtandao wa wanafunzi Tanzania (TSNP) kupitia kurugenzi yetu ya sheria, kama wahanga watarajiwa, tumeafikiana na mawakili wetu takribani 10, kuungana na mawakili wa kituo cha haki na sheria (LHRC) kwajili ya kwenda mahakamani kupinga malipo ya 15% kwa bodi ya mikopo ambayo awali yalikuwa ni 8%...
sasa hivi kila mtu
anajiuliza kwanini Mbolea ya minijingu inayozalishwa na minijingu mines and fertilizers LTD, iliyopo TANZANIA na huzalisha mbolea hiyo kwa kutumia malighafi kutoka kwetu TANZANIA ambayo ni madini ya phosphates yaliyopo manyara.(mgodi).
Lakini Jambo la kushangaza hapa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.