Search results

  1. Zaburi 23

    Nataka kuachana na mwanamke ninaeishi nae

    Habari za humu jukwaani. Direct kwenye maada ipo hivi ; Kuna mwanamke nnaish nae yapata miaka mitatu sasa tatizo linakuja sehemu moja. Karibu kila siku ni ugomvi tuu na ana visa sana mnaweza kugombana kidogo tu ukanyimwa nyama sasa kuna mwingine nimempata ni single mother na ananihakikishia...
  2. Zaburi 23

    Tumpe ushauri huyu

    Nimeikopi sehemu Nina mwanamke naishi nae yapata mwaka na miez saba sasa shida inakuja seem moja Mimba hanasiii nafanya kila niwezavyo lakini holaaaa. Nilianza kuish nae kabla sjamtolea mimba na lengo langu likiwa nimnasishe mimba kwanza ndio nitoe barua, Lakini kuumbe mwenzangu alikua hatak...
  3. Zaburi 23

    Dar: Raia wachoma matairi barabarani Mtongani Kunduchi

    Watu wamechoma matairi hapa barabarani maeneo ya Mtongani Kunduchi, nimegeuza na Gari yangu nizungukie Mbuyuni. Wenye nchi fanyeni kweli mzime moto huo. Wanapita watembea kwa miguu na bodaboda wenye vi Ist vyetu tumeshindwa kupita.
  4. Zaburi 23

    Mchumba wangu ananipa masharti magumu ninapotaka kufanya naye mapenzi

    Nina mwanamke hapa ninaishi nae ana kitu kimoja, kwenye swala la kunyanduana ana masharti kibao ikiwa tiari nimemtolea mahari. In short kile cha asubuhi mwenzenu sipewi na nikitaka basi ntalazimisha sana, ntakuja kupewa mchana na akila ndo balaa anakwambia subiri chakula kishuke unaweza...
  5. Zaburi 23

    #COVID19 Chanjo ya Uviko 19

    Naona watu wanajadili sana kuhusu hii chanjo kuwa ina madhara, Wengine wanasema ukichoma baada ya miaka 10 unageuka zombi, wengine unageuka magnetic unaganda kwenye vyuma ngoja niwatoe matongotongo kidogo. Miaka kadhaa kipindi tunakua kuna chanjo nyingi tu tulichomwa mwilini mwetu eg. Chanjo ya...
  6. Zaburi 23

    Nimehamia nyumba yenye skendo ya uchawi

    Habarini wakuu, Mada tajwa hapo juu inajieleza. Nimehamia nyumba moja hapa mtaani kila mtu unaekutana nae anasema aliyekuwa mwenye nyumba (marehemu) alikuwa ni mchawi na mtaa mzima ulikuwa unamuogopa. Pia kuna binti yake makamo ya kati ndo kama karithishwa huo uchawi na ndie aliepokea kodi...
  7. Zaburi 23

    Nahisi mke wangu anachepuka

    Kama maada inavyojieleza hapo juu, Nahisi wife anamegwa nje coz kuna mambo anayafanya humu ndani nahisi ipo hivyo. Picha linaanza imefika stage kawa na kiburi nikimwambia kitu anaweza kukujibu staki ikiwa ni moja ya majukumu yake humu ndani so nashindwa kuelewa nini kinasababisha hadi awe hivi...
  8. Zaburi 23

    Msaada: Nasumbuliwa na maumivu ya kiuno

    Wakuu habarini za Asubuhi nna imani muwazima wa afya, Mada kama inavyosomeka inajieleza. Nimekua nikisumbuliwa na maumiv ya kiuno ad nawaza inakuaje na nn tatzo nakumbuka kimeanza kama mwez mmoja uliopita niluchukulia simple maybe nmelala vibaya lakini naona Hili tatzo linazidi kuwepo...
  9. Zaburi 23

    King'amuzi cha Azam Antena

    Nipeni changamoto zake, vipi hakina skarach kweli nataka nikinunue na mie sio kila siku muangalie nyie tu Mipira ya kibongo vipi chanel hazisui sui?
  10. Zaburi 23

    Uchawi live nilioushuhudia kwa macho sitasahau

    USHUHUDA WA KWELI WA KICHAWI Eti wachawi wa mvua hawapo? Ngoja nikupe msala huu hapa. Mwaka 1986 nilikuwa kitoto cha darasa la 4, kipindi hicho huko usukumani ndio jeshi la Sungusung ndio liko moto. Kulikuwepo wazee wawili mmoja alikuwa anaitwa Radslaus (walizowea kumwita Silaus) mwingine...
  11. Zaburi 23

    Minyoo sugu inanisumba

    Msaada jamani hawa wadudu wananisumbua nakosa raha hata mood ya kufanya kazi sina nimetumia vidonge vya Alben lakini wapi. vinafanya kunitekenya kwenye Puru (sehemu ya haja kubwa) hata usingizi kupata imekuwa shida. Msaada wenu unahitajika katika hili natanguliza shukrani.
  12. Zaburi 23

    Zimetimia siku 15 tangu Serikali ilivyozuia wavuvi, tunakufa njaa pasipo sababu

    Zimetimia siku 15 sasa tangu serikali ilivyozuia wavuvi kwenda baharini na kinachoshangaza hakuna mrejesho wowote kuhusu ni lini watu wataruhusiwa kwenda kuvua tena. Kubwa kuliko ni wavuvi wa usiku kuruhusiwa na wanaovua mchana kupigwa marufuku. Je, Serikali hailioni hili, haitambui kama kuna...
  13. Zaburi 23

    Ugonjwa huu unamsumbua mtoto, Msaada wa dawa jamani

    mwanangu anahangaika sanaaa kachoma sindano WAP Msaada wa dawa bac Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Zaburi 23

    Msaada: Mabaka haya kwenye korodani dawa yake nini?

    Kama picha inavyoonekana hapo, nasumbuliwa na hayo mabaka kwenye kende hapo. Vinawasha hatari sio poa. Msaada wenu dawa gani inafaa? ===== Maoni yaliyotolewa na mdau ------ ----- ----- -----
  15. Zaburi 23

    Chelsea vs Ajax Darajani...

    Hii Chelsea itakuja kuuwa watu jamani haya kipaji kingne hicho huyu dogo anaitwa Reece James sio yule James wa kule unyumbuni asiejuwa mpira huyu ni James mwenye kipaj chake ambae kazaliwa kucheza mpira. Baada ya Lampard kugundua kuwa wale vibonde wetu walkuwa wanautumia sn upande wa Marcos...
  16. Zaburi 23

    Kuhusu mechi ya Chelsea vs Ajax

    Wachambuzi wa Soka Barani Ulaya wanasema hii comeback ambayo leo hii hawa vijana wa Lampard wameifanya toka 4-1 mpk 4-4 inaweza ikawa ndio comeback bora kabsa kuweza kutokea ktk kipindi hichi cha kizazi cha wahuni wengi na wanadai hii comeback inaweza isifanywe na team yoyote ile Barani Ulaya na...
  17. Zaburi 23

    Anaeijua hii muvi anitajie

    Iko hivi kuna jamaa alikua mjanja mjanja sanaaa alikua anafanya mtukii na anajificha aliwahi kufanya tukio na mtaa mzima kuna kamera akawa ana zikwepa. Kuna kipande kingine alipigwa risasi akatupwa baharini wavuvi wakamuokota wakawa wanamtibu ad akapona . In short jamaa alikua mjanja mjanjaaa...
  18. Zaburi 23

    Natafuta Mchumba

    kama topic inavyojieleza natafuta mchumba wa kike umri wangu 25 na yeye awe na 18 -26 Awe single mother pia sio mbaya kikubwa 2pendane 2 Kwa maelezo mengi njoo Pm am SERIOUS
  19. Zaburi 23

    Kituo cha daladala shule.

    Kituo hiki kina kera sana kuanzia saa 8 mchana adi jioni vituo vyoòoooote vya hapa mjini nimetembelea lakini hiki ni tooo much abiria ni wengi na kila daladala imejaa nini solution yake?? Wanafunzi wanapata tabu sanaa daladala inajaa hata kujikuna huwezi Mkulu wa Darisalam naomba day one...
  20. Zaburi 23

    MOROGORO: Ajali mbaya, Bus limegonga treni, Wanafunzi watatu wafariki

    Wakuu, Asubuhi hii ya sasa hivi kuna ajali mbaya sana imetokea ya treni katika eneo la TANESCO pale Morogoro mjini ambapo Coaster iliyobeba wanafunzi wengi wa Shule ya sekondari ya Kayenzi na raia wachache kadhaa imegonga treni. Inasemekana wanafunzi watatu wamefariki, miili imetapakaa eneo la...
Back
Top Bottom