Search results

  1. mlagilamakawao

    Nahitaji msaada wa kisheria

    Nahitaji Msaada wa kisheria, wanasheria mliopo humu tafadhali naomba ni pm
  2. mlagilamakawao

    Msaada wa kisheria

    Ni matumaini yangu jukwaa hili Lina watu mbalimbali Wenye ubobezi Katika masuala ya nyanja nyingi. Binafsi Nahitaji wataalam au washeria, hivyo naomba Kwa yeyote anaeweza kutoa Msaada huo nauhitji sana. NB: awe anapatikana mwanza au iringa
  3. mlagilamakawao

    Safari ya Mwanza to Iringa

    Naomba Kwa yeyote mwenye ratiba ya kusafiri kutoka mwanza kuelekea iringa Ndaniii ya October au November hii ani pm please
  4. mlagilamakawao

    Nampenda Mbitiyanza

    Wapi yu huyu bintiiii
  5. mlagilamakawao

    Natafuta mchumba Wa ndoa baadae

    Vigezo Asiwe Na mtoto, elimu kuazia ngaziiii ya CHETI , umri 20-26. Dini mkristo 0719021445 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mlagilamakawao

    Mahusiano na uchumi

    Wana JF habarini ya Jumapili kwanza, Niende moja kwa moja kwenye mada.. Je mwanaume kuwa na mahusiano na mwanamke au kuingia kwenye ndoa inaweza kuathiri uchumi wako kuyumba? Karibuni kwa mchango wenu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mlagilamakawao

    Ushauri: Changamoto za kuoa mke asiye na kazi

    Wale wenye experience, kuna changamoto gani kuoa mke ambae hana kazi wakuuu. Mfano wewe mwanaume unakazi umeajiriwa alafu mke ana elimu yako cheti mfano but kwa fani aliosomea hawezi kuajirika popote kwa usawa huu wa ajira zilivyongumu but nampenda sana nafanyaje. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mlagilamakawao

    Friends needed mwanza

    Dear comrades Am just new in this city and I feel lonely staying at home after work for real l wish if l could get friends that are hosts, to share and exchange our attitudes and ideas Friends needed both but women are highly given priority If interested check me on pm
  9. mlagilamakawao

    Mke anahitajika

    Rafiki later wife anahitajika Awe mkristo, umri 22-26!! Elimu astashahada-stashahada. Awe muajiriwa au amejisjir. Asiwe mnene au Mwembamba saizi Ya Kati.. Rangi YA maji YA kunde.. Urefu asiwe mrfu Sanna Wala mfupi san Mwnye Nia Karibuuuu Pm
  10. mlagilamakawao

    NYUMBA YA kupanga inatafutwa mwanza bugarika

    Bugharika. Nyakato au budhuruga
  11. mlagilamakawao

    NYUMBA YA kupanga mwanza

    Natafuta NYUMBA YA kupanga Maeneo bugharika au budhuruga. Chumba na sebule self au Choo YA nje yenye hadh nzuri
  12. mlagilamakawao

    DAWA YA KUTIBU MAUMIVU YA MIGUU

    Ndug wana jf naomba kujuzwa kuhusu dawa zuri ambayo inaweza kusaidia kutuliza maumivu ya miguu .. Bimukubwa wangu anasumbuliwa na maumivu ya miguu nimejarkbu kutumja dawa za hosptali pasipo mafanikio lakini naskia kuna watu wataalamu was dawa za pori / mitishamba na zinawasaidia wengj tu hvyo...
  13. mlagilamakawao

    Nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2017/2018

    CHUO CHA UUGUZI NA UKUNGA _ISIMILA , BOX 2567 IRINGA. REG NO.HAS/131P. Kinawakaribisha/kinawatangazia waombaji wa kada ya afya ngazi ya cheti kuwa nafasi zipo za kutosha , kwa yeyote angependa kujiunga anakaribishwa kufika chuoni hapo . Kufuatia utaratibu MPYA wa utumaji maombi unashauriwa...
  14. mlagilamakawao

    EASTER

    Easter imenijia vibaya hii duuh , nimetenga kahela kangu ka kula , lakini nomekosa kampany kulingana na mazingira niliyopo kuwa mgeni mgeni zaidi asubuhi nimeamka naumwa daaashhh But nimeshspata dawa kwa mchana nitakuwa poa wenyeji tukaribishane jamani.. Viwanja vizuri iringa
  15. mlagilamakawao

    Waliositishiwa ajira na kisha kupigiwa simu na kuahidiwa kurejeshwa naomba mrejesho

    Samahanini wakuu.. Kuhusu wale waliokuwa wamesimamishwa kazi au walisaini tu mikataba ya kazi na kisha hawakuitwa tena kazini baada ya President kusitisha ajira mpya wiki liliopita kuna baadhi walipigiwa simu na kuahidiwa waende wakasaini na wataitwa kuanza kazi so kwa wale ambao wako upande wa...
  16. mlagilamakawao

    Looking for business partners in Iringa

    Iam looking for partners to open/launch a big restaraunt at IRINGA town . seriously who are intersted I welcome..
Back
Top Bottom