Search results

  1. lutamyo

    Natabiri CHADEMA lazima isambaratike...

    Hao ndio Wadanganyika mkuu ambao hawawezi ona, wao wanajifurahisha tu.. Mimi huwa najiuliza siku zote kama CHADEMA imekufa nguvu nyingi zinazotumika kuwazuia kufanya mikutano, matusi ya subwoofer, kuwatumia vibaya polisi katika kuwazuia hawa ni vya nini..
  2. lutamyo

    Safari yetu pamoja ni fupi sana

    Kiukweli ni ubinafsi wa hali ya juu kuwa na kuwazia wengine mabaya au kuwaombea mabaya kisa tu wametuudhi au hawatendi sawa na yale tuyatamaniyo.. Lazima tuwe watu wa kusamehe ili tuwe na furaha ktk maisha
  3. lutamyo

    TANZIA: Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Nsa Kaisi amefariki dunia leo Alhamisi Februari 13, 2020 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Ikusaidie nini? Au unamchango gani wewe kwake na kwa ndugu zake............ mmekalia mambo ya kike tu
  4. lutamyo

    NHIF kuzindua vifurushi vipya vya bima ya afya, sasa kila Mtanzania kuzingatiwa

    Naomba unisaidie jinsi ya kujiunga kwa hapo Dar mkuu nnashida sana
  5. lutamyo

    Uhusiano wa nyumba za Polisi maarufu kama line (kota) na ufugaji wa bata

    Atakuwa anaona aibu huyu ni mkazi wa laini.... Maana kama kweli umekaa Nation pale lazima ulikuwa unakatiza laini polisi kwenda town.. Na pia hata kwa mtu anayetaka kwenda Soweto kwa mguu lazima atakatiza pale laini... Polisi na ufugaji wa bata ni damu damu.
  6. lutamyo

    Uchaguzi ni wa nini basi?

    Swadakta mkuu Uchaguzi huu ni kwa ajili ya kuwaonesha mabeberu kwamba hat sisi bado tuko kwenye domokrasia na watu wana kikubali sana chama kikongwe na wamechoka na fyama pinga maendeleo na wasio wazalendo. Ndio maana mtu kama mimi bora niendelee kuuza zangu dagaa na sangara nipate ugali kuliko...
  7. lutamyo

    Uchaguzi ni wa nini basi?

    Ndio tumeanza na kutokushiriki zoezi la usanii... Ni kweli Chama kikongwe kina wanachama zaidi ya mamilioni na wale mashabiki wao wanafika zaidi ya 20 milioni. Mimi nadhani vikao vya ndani vingetumika kuhamasisha wanachamwao kujiandikisha na kuwaleta wale wanaoshabikia. Hakuna haja ya kupoteza...
  8. lutamyo

    Uchaguzi ni wa nini basi?

    Hata miye huku Chato sielewi hawa watu wanataka nini? Maana Rais tunaye tena tunampenda mnoo. Huyu tunaye mpaka huko mbele maana maendeleo tunayaona . Hizi hela za kulipa watu kwenda kujiandikisha na kusimamia hiz shughuli za uchaguzi zingeongezewa kwenye miradi ya maendeleo. Mimi sema sina...
  9. lutamyo

    SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen

    Kitu cha asubuhi umekunywa Shunie.....
  10. lutamyo

    SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen

    Jamani njoo walau tupate utupe viwili vya asubuhi Shunie
  11. lutamyo

    SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen

    Hakika yangu macho
  12. lutamyo

    SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen

    Shukrani sana mrembo Shunie
  13. lutamyo

    SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen

    Jamani na leo unawageni tena duh
  14. lutamyo

    Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Alosto mbaya sana
  15. lutamyo

    Magazeti ya Nipashe na Mwananchi yapewa onyo na serikali juu ya uandishi wa habari za bomoabomoa Kimara

    Nimefundishwa Mtu akikuny'ang'anya koti Mpe na shati .Gazeti langu litakuwa na kichwa cha habari......WALIOBOMOLEWA NYUMBA WAISHUKURU SERIKALI KWA MOYO WA UPENDO NA UZALENDO WA KUVUNJA NYUMBA ZAO...... MAHAKAMA YA PONGEZA TANROADS KWA USHUJAA WAKE WA KUVUNJA NYUMBA ZILIZOKO KWENYE ZUIO LA...
  16. lutamyo

    Magazeti ya Nipashe na Mwananchi yapewa onyo na serikali juu ya uandishi wa habari za bomoabomoa Kimara

    Nimefundishwa Mtu akikuny'ang'anya koti Mpe na shati .Gazeti langu litakuwa na kichwa cha habari......WALIOBOMOLEWA NYUMBA WAISHUKURU SERIKALI KWA MOYO WA UPENDO NA UZALENDO WA KUVUNJA NYUMBA ZAO...... MAHAKAMA YA PONGEZA TANROADS KWA USHUJAA WAKE WA KUVUNJA NYUMBA ZILIZOKO KWENYE ZUIO LA...
  17. lutamyo

    Njombe Hotel Mwenye ufahamu

    Fikia Johnson Hotel
  18. lutamyo

    Riwaya : Noti Bandia....!! Mwanzo-mwisho.

    Mkuu angusha kitu tuone teacher anatokaje
Back
Top Bottom