Search results

  1. M

    Wailboru wenzangu nasikia Mwigulu naye ni Muilboru

    Niameanza nae 1994-97,sijui kwanini kwa sasa amekuwa anaongea kwa jazba bila kutegemea hoja ya nguvu,may be atajirudi
  2. M

    Tunawakaribisha walio wasafi kutoka ndani ya chama cha magamba

    Napata wasiwasi sana namna wanavyopokelewa kwa shangwe wanaotoka CCM na kuingia upinzani.Si vema kukurupuka kuwapokea bila kufanya tafakari tunduizi.Kwanini sasa?pia kama wahusika wangepata nafasi walizokuwa wanahitaji,je wangetoka na kwenda upinzani?Mimi ninavyoelewa mtu mwenyewe anaweza kuwa...
  3. M

    Tuzikumbuke Shule Zetu Tulizosoma

    kiezya primary(1987-1990)-Bugando Pr(1990-1990)-Nyanza Pr(1990-1993)-Ilboru-Tabora Boys
  4. M

    Wanafunzi wenye vipaji maalum!!!

    Tatizo kubwa ni kutowapa nafasi,bila utafiti hakuna haja ya kuponda maana wanaopinga watoe utafiti wenye kushikika
Back
Top Bottom