Search results

  1. Targaryen

    Nimeamini pesa zinanukia

    Nimekaa muda bila hata dusko nimepambana wapi ila nimepiga deal langu moja nimevuta kama 10m sasa bila hata kumwambia mtu naona washkaji wananipiga mizinga. Mademu wa zamani wananitumia msg za kuni miss, ndugu nao wanapigia kila wakati kunisalimia hapa ndio naamini pesa zinanukia aiseee
  2. Targaryen

    Ex kakutwa ni HIV Positive je PEP itamuokoa?

    Habari wadau Baada ya miaka 4 hajaonana na demu wake jamaa kakutana na Ex wake week moja imepita jamaa alimwandaa demu na kupiga denda kila kitu cha mahaba ila akakumbuka hana kondom ila anatembea na boksi la vipimio vya ukimwi Basi akastop akamwambia demu wapime demu kakubali wapime wote...
  3. Targaryen

    Mishahara ya walimu

    Wadau salama? Walimu wale tulioajiliwa kipindi cha kampeni za uchaguzi kuna ambaye kaingiziwa pesa za january? Maana Desemba ilikuwa hakuna kitu na january kwangu hakuna kitu afu sina hapa pesa mfukoni hadi natamani nirudi home kwanza nipunguze ukali wa maisha.
  4. Targaryen

    Bodi ya mikopo hii imekaaje? Pamoja na kuanza kulipa tangu 2014 deni langu limeongezeka

    Niliomba status yangu 2014 kuanza kulipa deni langu na nikapewa ni Tshs.12M mwezi huo huo nikaanza kulipa cha ajabu mwezi huu nimeenda kuomba status yangu "statement ya deni langu" deni limekuwa kwa Tshs. 2M wakati nishaanza kulipa toka mwaka 2014 nimejua kuwa nimemaliza Nimeamba wanieleweshe...
  5. Targaryen

    Kama ndio wewe utafanyaje?

    Deleted
  6. Targaryen

    Mkapa alikubali Kikwete alikataa kupokea zawadi

    Rais Kikwete Alikataa Kupokea Zawadi Ya Dhahabu Kutoka Kwa Kampuni Ya Nyamigogo (GVH) Ya Mkoani Geita Gramu 227 Ikiwa Na Thamani Ya Tsh. 16 Milioni Katika Soko La Dunia Kwa Wakati Huo Mwaka 2013. Dkt. Kikwete Aliagiza Dhahabu Hiyo Iuzwe Na Fedha Zake Zisaidie Watoto Yatima. Taarifa Ya Ikulu Ya...
  7. Targaryen

    Kuzuia mtu ku hack au track simu yako

    Habari zenu wadau? Ni jinsi gani unaweza kuzuia mtu asiweze kudukua simu yako au aka ku track mienendo yako katika mitandao, yaani kama mtu anataka kuwa Ghost katika mitandao na katika simu yake au computer yake.
  8. Targaryen

    Wanawake Heshima kwenu

    Nyie wanawake nimenyoosha mikono mtu anakupa kila kitu anapiga mashine kwa kusimamia kucha kama hana akili ila bado mnasaliti dah naomba niwape heshima kwenu nyie viumbe wakipekee
  9. Targaryen

    Kupata mkopo hadi uwe na kadi ya CCM

    Baadhi ya halmashauri zaweka sharti la kadi ya CCM katika hatua za awali za kuomba mikopo inayotolewa kwa vijana na wanawake- MWANANCHI
  10. Targaryen

    Tanzania yatajwa kuongoza kwa kukandamiza upinzani Afrika

    Ripoti ya Amnesty International Kwa mujibu wa shirika la Amnesty International Kenya na Tanzania zimetajwa katika jumla ya nchi za kiafrika ambazo zimekuwa mstari wa mbele kuwakandamiza wapinzani na kunyongesha uhuru wa kujielezea. Shirika la kimataifa la haki za binadamu, Amnesty...
Back
Top Bottom