Search results

  1. Patallo95

    Kuelekea Uchaguzi, Mbinu zipi hutumika kuiba kura?

    Nimesema usiniulize
  2. Patallo95

    Kuelekea Uchaguzi, Mbinu zipi hutumika kuiba kura?

    Usiradharau wazee acha kauli za kibaguzi. Hauna ubora wowote kumzidi mzee. Wote ni sawa
  3. Patallo95

    Kuelekea Uchaguzi, Mbinu zipi hutumika kuiba kura?

    Hakuna wizi wa kura ni udanganyifu wa wapiga kura au kura za kudanganya. Maana yake mtu mmoja kupigia kura majina mengi. Sasa usiniulize inafanyikaje
  4. Patallo95

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Hayo magonjwa yapo sana tu lakini sio lazima kuwa chanzo ni pombe na hizo energy drink
  5. Patallo95

    DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

    Poleni sana kwa msiba. Lakini kifo heshima ya yake ni mazishi. Imetokea zika. Kingine walimu ni vichaa sana walimu wengi shule za msingi za serikali ni walevi na wanavuta bangi na utoto. Ndio hao wakiwa wanakunywa chai wanaongea ujinga ujinga wa kuchapa watoto. Haki ya maiti ni maziko tu mengine...
  6. Patallo95

    Kushika sana dini kunaweza kukupeleka kubaya. Rafiki yangu aliacha kazi ya Ualimu baada ya Mkuu wa Shule kumtaka anyoe ndevu

    Ualimu kweli ni kazi ya kuumia mtu akiacha! [emoji4][emoji4] Kilimo ndio kila kitu
  7. Patallo95

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    Uzi mzuri sana nijifunza mengi. Cha ziada tu mwandishi kingereza chake kirefu na rasmi sana kama lugha ya wanasheria. Anahitaji kutumia kingereza cha kawaida kama kilivyo kiswahili chake
  8. Patallo95

    Je, Mungu wa Wakatoliki amebadilika au Wakatoliki wamepata Mungu mwingine?

    Papa ameona mashoga wanapata ushawishi ameamua kuwakaribisha ili apate maokoto zaidi.
  9. Patallo95

    Ninahitaji Mkopo. Msaada wa njia rahisi

    Nenda marema microcredit.
  10. Patallo95

    Hivi Steve Nyerere anaongeza thamani gani kwenye ziara ya Rais?

    Najua tuna kazi nyingi za kufanya lakini inabidi mtu atudadavulie kuhusu huyu steve japo kidogo. Ukubwa wake unatisha japo anadharaulika kwenye jamii.
  11. Patallo95

    Zumaridi aviponza Vyombo vya Habari. TCRA yatoa onyo na kuvitaka kusimamia misingi ya utoaji habari

    TCRA wamekurupuka. Cha kwanza wanajua kuwa hakuna elimu yoyote ya kidini inayotambuka serikalini. Msingi kwa nini serikali haitambui hizo taaluma ni kwa sababu ni za kufikirika. Cha pili, ni TCRA haohao na serikali ndio wamelakubali maudhui ya kidini ya enezwe kwa njia ya redio na tv. Kwann...
  12. Patallo95

    Sijamuelewa mke wangu

    We miaka yote hyo 17 mbao zote umezimaliza umebakiza mabanzi pekee halafu unaogopa kumwachia upenyo. Huwez kupambana na mtu anayekulisha kaa kwa kutulia atakuua kizembe
  13. Patallo95

    Sijamuelewa mke wangu

    Ukimchunguza nyuki hutakula asali. Mwanamke huyo anakushemu sana sasa usimbane mpaka akakuonyesha makucha yake. We mwache aende kokote anakotaka na kama anachepuka jua ameweka heshima sana kutumia huo utaratibu wa kukuaga. Na ye ni binadamu atajirudi tu ila ukidhan unaweza kumdhibiti utakosa...
  14. Patallo95

    Msanii Jotta aliyebadili jinsia alijizolea umaarufu kwa kuimba nyimbo za injili

    Ivi ukibadiri jinsia unapewa ya nani na yako inatupwa wap
  15. Patallo95

    Mungu yuko wapi?

    Maswal rahsi sana ukiwa muislam. Mungu yupo mbingun na wachawi wako gamboshi na mizimu iko kuzimu
  16. Patallo95

    Ngoma za kisukuma special thread

    Mfalme inaga mlyambelele utampenda na ngoma yake ya bana mbeya
Back
Top Bottom