Search results

  1. mwananyaso

    Inasikitisha sana, yaani sekretarieti ya CCM inayofanya ziara mikoa sita imezidiwa na jeshi la mtu mmoja?

    Katibu mkuu Nchimbi,katibu mwenezi Amosi Makala,Alli Hapi wazazi,na Joketo Mwegelo vijana bado hata robo ya amshaamsha ya MAKONDA hata robo yake hamjamfikia kulikoni? Mngedoda sana, bahati yenu mnatembelea nyota ya Alli Hapi, mambo yangekuwa magumu sana. Pia style yenu ya utatuzi shida za...
  2. mwananyaso

    Msaada: Kuwashwa sehemu za magoti yote mawili

    Hii hali inaweza kusababishwa na nini hasa? wataalamu karibuni tusaidiane!
  3. mwananyaso

    Waraka wa wazi kwako Mkuu wa mkoa wa Geita ndugu Martin Shighela na wasaidizi wako

    Ndugu Martin Shighela mkuu wa mkoa wa Geita, habari za majukumu,? Imani yangu utausoma ujumbe huu au utaupata kupitia wasaidizi wako.na nategemea respond ya haraka sana toka kwako Mkuu. Lengo la waraka huu ni kukufahamisha kwamba kuna uzembe mkubwa kwa baadhi ya idara za serikali hapa mkoani...
  4. mwananyaso

    Rais Samia, nani anayekudanya namna hii kuhusu tatizo la kukatika kwa umeme nchini?

    Nikwambie Rais Samia ya kwamba January Makamba na management nzima ya Tanesco ndio imesababisha hii adha ya umeme tuliyonayo sasa, kwanini unaona aibu kusema hadharani failure ya waziri na management nzima? Kama ni suala la kukarabati miundo mbinu,Kulikuwa na haja gani ya kumuondoa mwenyekiti...
  5. mwananyaso

    Waraka wa wazi kwa Mkurugenzi wa Geita mjini

    Habari mkurugenzi, Ni matumaini yangu umzima wa afya ukiendelea kuchapa kazi barabara ili kuwaletea wana Geita mjini maendeleo. Ndugu mkurugenzi husika, kama ada,linapotokea jambo ambalo sisi wananchi wa eneo husika tukiona jambo haliko sawa basi kupitia jukwaa hili hupenda wewe ulifahamu na...
  6. mwananyaso

    Namsikiliza Rais ufunguzi wa baraza la vyama vya siasa, Rais Samia hayuko huru kabisa, kuna kundi linamburuza ndani ya CCM

    Inasikitisha sana, watanzania tutumie nguvu kupata mabadililko ya katiba mpya, CCM bila kuvunja amani hawataruhu katiba mpya. Katiba hii ikibadilishwa CCM itatoka madarakani,hivyo hawako tayari ibadilishwshe. Wajumbe wote karibu wamepigwa butwaa
  7. mwananyaso

    CCM tunakosea wapi? Hii tabia ya kusomba watu kwenye malori kwenye mikutano ya hadhara mpaka lini? Mbona Chadema wanajaza nyomi bila kusomba watu?

    Katika jambo ambalo linanikera ni hili la kusomba watu kuhudhuria mikutano ya hadhara ya CCM,tatizo hili limekuwa common sana, mfano ni mkutano wa Chongolo mwanza hivi karibuni.Ifahamike pia Hamonize alisaidia kuokoa jahazi. Nakumbuka enzi za hayati Magufuli akiwa ziarani mikoani njiani...
  8. mwananyaso

    Hoja zizijibiwe kwa hoja,vitisho ni dalili ya kukosa hoja

    Watanzania hawapingi mkataba wa DP World kwa ujumla wake, Ispokuwa wanapinga Baadhi ya vipengere ndani ya mkataba huo na wanavitaja waziwazi juu ya mapungufu wanayoyabaini,ni jukumu la waliosaini makubaliano ya mkataba huo kuvifafanua vipengere hivyo kwa ufasaha ili wanaovipinga vipengere hivyo...
  9. mwananyaso

    CCM mlipanda chati na heshima kwa Hayati Magufuli sasa mnaenda kugawana mbao na Watanzania

    CCM enzi za Jakaya Kikwete kuvaa sare za chama ilikuwa fedheha sana. Chuma, Hayati Magufuli aliposhika kijiti chama kilipata Imani a heshima kubwa sana toka kwa wananchi,sasa awamu ya sita ya Samia imeamua kwa makusudi kuturejesha kulekule kwa kuvalia jezi za CCM mkutanoni ,kisha baada ya...
  10. mwananyaso

    Ujumbe wa wazi kwa Mkurugenzi maendeleo Geita Mjini

    Salam Ndugu mkurugenzi wa maendeleo wilaya ya Geita mjini pole na hongera kwa majukumu yako ya kila siku katika kuwatumikia wanageita mjini. Naleta malalamiko ya wakazi wa Geita mjini, kata ya kalangalala, mtaa wa mbugani. Kuna ujenzi wa barabara za mitaa unaoendelea, Hapa nitazungumzia mtaa...
  11. mwananyaso

    Kipindi ITV, kijana Fahami Matsawili anatafuta uteuzi kwa nguvu kubwa sana

    Kijana mjinga sana, kakata tamaa, hatumii elimu yake ku-reason, kakata tamaaa, anasifia serikali kila anapopewa nafasi kutoa mchango wake. Je, ni msemaji wa serikali? Ana nafasi gani ndani ya serikali? Mwanzo mwisho haoni changamoto. Hiki ni kizazi cha nyoka, ili u survive hutakiwi kuwa...
  12. mwananyaso

    Kwenye hii kauli ya Kikwete dhidi ya Bashiru Ally ,alimaanisha nini?

    Alipopewa nafasi ya kuzungumza kutoa nasaha zake kuelekea kufungwa kwa mkutano mkuu wa CCM, aliongea mengi ya kuwaasa wanachama kujenga mshikamano, kadhalika alimtia moyo mwenyekiti mpya dhidi ya dhoruba ndani ya chama. Kauli ambayo napenda kwa aliemuelewa atusaidie ni kwasababu huyo ni mzee wa...
  13. mwananyaso

    Jakaya Kikwete: CCM ina maarifa mengi nina uhakika itashinda 2025

    Hapa kusema CCM ina maarifa mengi na anauhakika itashinda 2025. Haya ni maarifa gani? Naomba wataalamu wa kupembua kauli waje kwenye uzi huu tuyajue hayo maarifa mengi waliyonayo wana CCM
  14. mwananyaso

    Simskii tena Nape Nnauye akiongelea deni la taifa na lina shoot ile mbaya, kwanini?

    CCM imejaa unafiki wa hali ya juu,hakifai hata kidogo kuongoza dola. Pia soma > Nape ataka Akaunti ya Deni la Taifa ichunguzwe na iwekwe bayana Fedha hizo zilikopwa na kupelekwa wapi? Niwatakie jumatatu njema .
  15. mwananyaso

    Mahojiano ya Mkurugenzi Mkuu TANESCO ni usanii mtupu

    Hawa kina Maharage Chande kazi imewashinda kabsaa, wameandaa slide kuhadaa umma hatua za JNHP, wakati si kweli. Kigoma wamezima majenerata, umeme mdogo, unakatikakatika na kusuasua, katoa majibu ya kibabaishaji akimuingiza Ndalichako kutafuta huruma, nonsense kabisa. Mkurugenzi hilo la kigoma...
  16. mwananyaso

    Wazo linaniambia kwamba mgao wa umeme ni mbinu za maandalizi ya kuleta majenerata makubwa ya kina Symbion

    Nionavyo mgao wa umeme nchini unaendelea kwa sasa ni mkakati wa kuleta majenerata ya kina Agrekko, na Symbion walionyang'anywa tenda hizo na hayati Magufuli, japo watakuja kwa majina mengine kwa lengo la kuondoa dharura ya mgao wa kutengenezwa, Izingatiwe, kila sababu watawala wamesingizia juu...
  17. mwananyaso

    Naomba msaada kuhusu umiliki wa hii mirathi ugawaji na haki zake

    Marehemu bibi yetu alifariki kitambo sana, na alizaa watoto wawili wa kike, ambao walikuwa ni mama zetu mkubwa na mdogo nao pia walifariki kitambo sana. Nyumba aliyoiacha marehemu bibi yetu bado inasomeka kwa jina lake mpaka sasa. Nyumba hii ilileta mgogoro upande wa kodi inyopatikana, baadhi...
  18. mwananyaso

    Mabadiliko ya baraza la mawaziri hayajelenga kutatua matatizo ya wananchi, bali kujiimairisha kimkakati 2025

    Kwanza sijaona jipya kwenye sura za wateuliwa ,walioteuliwa utumishi wao na makandokando yao yanajulikana,wengine tuhuma za dawa za kulevya zunawahusu na wengine kuhujumu mamlaka za uteuzi wanahusika. Tutegemee kashifa na majungu kutawala. Wametangulia mbele ya haki Mkapa na Magufuli kimkakati...
  19. mwananyaso

    Kunani? mbona simanzi nyuso za washiriki na idadi ndogo ya wahudhuriaji ziara za rais Samia?

    Natembea na huu msafara wa rais Samia hapa Dar akiwa katika ufunguzi wa miradi mbalimbali ya kimaendeleo, zikiwemo barabara. Mwitikio wa wananchi ni hafifu sana na waliopo kwenye hafla hizi sura zao hazina raha kabisa, kulikoni? Anayeweza tujuza sababu za haya mapungufu atujuze. Enzi za...
  20. mwananyaso

    Swali kwa Serikali ya Awamu ya Sita kuhusu fedha za ufadhili toka kwa wahisani

    Kuna desturi ya hawa wahisani wanapotupatia pesa zao za misaada au mikopo yenye mashariti nafuu hutupangia pia na matumizi yake na kututaka tutii baadhi ya mashariti yao. Je, wakija taka kutupatia pesa kwa mashariti ya kuruhusu mapenzi ya jinsia moja tutazipokea? Nawasilisha kwa unyenyekevu...
Back
Top Bottom