Search results

  1. Kajole

    Member wanaongoza kwa kuwa weupe kwenye maswala ya mpira wa miguu.

    Vitisho vya kizamani sana hivi. Umeonyesha ulivyo mpumbavu
  2. Kajole

    Je goli la 4 la Yanga vs Mtibwa ni la Skudu au la beki wa Mtibwa aliyejifunga?

    Jiulize mfano ule mpira uliopigwa na Skudu usigeguswa na beki ulikuwa unaingia nyavuni au lah??? Halafu ndo uje na maswali yako ya kijinga
  3. Kajole

    Kwanini Pacome hakumuachia Max Nzengeli ile penati?

    Utadhani hata kupiga danadana unajua.
  4. Kajole

    Live and let die: James Bond 007

    Ahsantee
  5. Kajole

    Live and let die: James Bond 007

    Habari?? Wakuu wapi naweza kuipata hii movie ya James Bond live and let die. Mweny link au mweny nayo kweny device yake msaada.
  6. Kajole

    Naomba maelezo mafupi kuhusu viagra

    4500 kwa kidonge. Nauza mimi DLDM zimepanda mwez huu tulikuwa tunauza 3500
  7. Kajole

    Dawa ya erecto - 20mill, 50mill na 100mill, je zinachelewesha kufika haraka?

    Haina madhara mi ninazo dukan kwangu na ninaziuza kwa sasa ni 4500 kwa kidonge cha mg yoyote. Mwanzoni Kama mwezi wa 8 nilikuwa nauza kwa 3500 vimepanda maana pharmacy anayoniletea kapandisha toka 2200 mpaka 3100
  8. Kajole

    Adam Mchomvu ampiga msanii Q Chief

    Akamchokoze Majani yeye si muhuni. Hivi yeye nan anakorofishana na kila mtu refer list ya watu aliowapiga kweny comments juu hapo
  9. Kajole

    California Center University

    Habar? Nani anaweza kunisaidia hiki chuo kipo accredited na mamlaka za huko? Na je TCU wanakifaham maana kuna ndugu yangu anataka kusoma hapo kwa online
  10. Kajole

    Nyaraka muhimu kusafiri nje ya nchi

    Asante sana,hii yellow fever card inapatikana wapi. Na nina uhakika sijawahi kupimwa hii kitu
  11. Kajole

    Nyaraka muhimu kusafiri nje ya nchi

    Asante sana,ngoja nijiandae mkuu
  12. Kajole

    Nyaraka muhimu kusafiri nje ya nchi

    Habari wakuu? Nimepata safari ya kwenda Zambia kuna shughuli halali naenda kuifanya huko ktk kujitafutia kipato. Swali: 1. Je, ni nyaraka gani muhimu niwe nazo na ninazipata wapi? 2. Zitanigharimu kiasi gani kuzipata hizo nyaraka? Asanteni sana.....
  13. Kajole

    Msaada: Mafao yameingia kwenye account ya mahakama ya wilaya Temeke, tumezungushwa mpaka tumechoka

    Usipojiongeza utakoma. Mi nilikuwa na tatizo fulani hivi kweny hii mitandaon yetu kwakweli nilizunguka kufuatilia kwa zaidi ya miezi miwili. Jana nikaenda ofisini baada ya salam nikamwambia "sema nijiongeze vipi maana najua hili tatizo si la kuchukua muda mrefu hivi,sema nifanyaje?" Akajibu acha...
  14. Kajole

    Naomba ushauri wa muda sahihi wa kufanya mapenzi na mke wangu baada ya kujifungua

    Yaan hata mimi nmeogopa sana. Miez mitatu mi nipo hoi batsman balaa mpaka huwa nalala chumba cha wagen au sebuleni
  15. Kajole

    Naomba ushauri wa muda sahihi wa kufanya mapenzi na mke wangu baada ya kujifungua

    Alijifungua salama kbs kwa njia za kawaida mkuu
  16. Kajole

    Naomba ushauri wa muda sahihi wa kufanya mapenzi na mke wangu baada ya kujifungua

    Nijikaze mpaka lini?? Mbona nataka kuchepuka sasa maana duh
  17. Kajole

    Naomba ushauri wa muda sahihi wa kufanya mapenzi na mke wangu baada ya kujifungua

    Jaman Mungu ni mwema katujaalia mtoto wa kiume tarehe 13/5/2021. Naomba kujua sasa ni zaidi ya miezi mitatu je naweza kumrudia mama mtoto maana hali ishakuwa mbaya najitahidi kukomaa lkn uzalendo utanishinda. Na kama ndio je kuna vitu gan nizingatie ili kulinda afya ya mama na mtoto?
  18. Kajole

    #COVID19 Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

    Kwan yule afisa elim sijui Arusha mbona alichoma feki?? Unataka kusema sio kiongozi yule?
Back
Top Bottom