Search results

  1. briophyta plantae

    Utata gharama za utengenezwaji uwanja mpya wa mpira Arusha

    Kumekuwa na utata juu ya gharama za ujenzi wa uwanja mpya wa mpira jijini arusha, wananchi wamehoji sana na kuonekana kutokukubalina na gharama na hasa wakilinganisha na gharama za Uwanja wa Benjamin Mkapa uliojengwa kipindi cha nyuma 2007 ukiwa na uwezo wa kubeba watu 60,000 kwa gharama ya 64...
  2. briophyta plantae

    Kazi ya ununuzi na ugavi

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30,nina diploma ya manunuzi na ugavi kutoka chuo cha utumishi wa umma. Nina uzoefu wa kutosha kutokana na kufanya kazi sehemu tofauti ikiwemo halmashauri ya busokelo,tarura pamoja na tazara. Pia field nilizozifanya wakati ninasoma chuo.mazingira rahisi kwangu...
  3. briophyta plantae

    Tunahitaji elimu ya aina gani kwa karne hii tuliyopo?

    Ni kwa muda mrefu sasa tumekuwa katika aina na mfumo ule ule wa elimu na mrejesho katika matokeo yake umekuwa mdogo sana.je tunahitaji kubadili nini na tunahitaji aina gani ya mifumo ya elimu itakayotuletea mabadiliko ya kweli? Tupo katika karne nyingine kabisa na kizazi tofauti kabisa, je elimu...
  4. briophyta plantae

    Hadhi ya jiji la Arusha na daladala zake

    Kwa hatua ambayo imefikiwa na jiji letu la arusha ni muhimu kubadilishia aina ya usafiri. Daladala tunazotumia ni ndogo na zinabeba idadi ndogo ya watu kwa wakati mmoja jambo linalopelekea usafiri huu kuwa na kero za hapa na pale. Naona ni wasaa wa kuanza kutumia basi kubwa zaidi kama coaster...
  5. briophyta plantae

    Sikukuu ya kwanza. Je, unaifahamu?

    IJUE #KWANZAA, SIKUKUU YA WAAFRIKA NA UAFRIKA Baada ya Ukoloni Waafrika tulivurugwa na tamaduni mpya na za kigeni na kutupa kabisa mila na desturi zetu. Tumepokea majina ya kigeni, mila za kigeni, vyakula vya kigeni mpaka dini za kigeni. Hii imesababisha waafrika kukosa vitu vya kujivunia...
  6. briophyta plantae

    Mwanaume katika kutamani na kupenda..

    Habari wana jamii, Ningependa leo tujifunze kitu rahisi tu katika mahusiano, huwa dada zetu wanapenda kufanya mambo kuwa magumu jambo linalopelekea kuingia katika mahusiano ya hovyo sana. Mwanaume huwa hapendi bila kutamani na hii ni kawaida sana hata katika maisha ya kawaida tu, kitu...
  7. briophyta plantae

    Kuna kubwa sana la kujifunza hapa

    TANZANIA INATISHA! Ukisoma hii stori hapa chini ndio utajua ni vipi Tanzania inatisha! Biashara ya madini Duniani, imekamatwa na familia MBILI tu za Kiyahudi.Moja ikijielekeza kwenye madini ya dhahabu (na jamii zake) ambao ndio BARRICK na moja katika madini ya almasi ambao ndio DE BEERS.Hawa...
  8. briophyta plantae

    Kwanini tulidanganywa Obama ni Mkenya?

    #DUNIAYAKO No.1 Tuliambiwa kijana anaitwa Obama, kijana mweusi kutoka Afrika Mashariki, Kenya. We! Utachekwa. Muulize aliyekuwa makamu wa raisi Dick Cheney atakuambia Obama ni nani, mbele ya macho ya wapiga kura watu hawa wawili aliyekuwa makamu wa rais Dick Cheney na raisi wa Marekani kwa...
  9. briophyta plantae

    Kati ya kalenda na biblia kipi kilitangulia?

    Kumekuwa na utata mwingi kuhusu siku maalum hasa kwa ibada pale unapokutana na watu wanaosema sabato ni Jumapili na wengine wakisema ni Jumamosi na wote wakiwa sababu zinazowafanya waamini katika hizo siku. Pia masuala mbali mbali ikiwemo sikukuu zetu (mfano sikukuu ya Christmas ambayo huwa...
  10. briophyta plantae

    Ya wahenga..

    MAMA NA BABA MAMA: anakupenda mpaka ukimtazama machoni unauona upendo wake. BABA: anakupenda bila kuonesha dalili yoyote machoni. MAMA: amekutambulisha duniani. BABA: ameitambulisha dunia kwako. MAMA: amekuonesha thamani ya uhai. BABA: amekuonesha thamani ya kuishi. MAMA: anahakikisha...
  11. briophyta plantae

    Ya wahenga..

    MAMA NA BABA MAMA: anakupenda mpaka ukimtazama machoni unauona upendo wake. BABA: anakupenda bila kuonesha dalili yoyote machoni. MAMA: amekutambulisha duniani. BABA: ameitambulisha dunia kwako. MAMA: amekuonesha thamani ya uhai. BABA: amekuonesha thamani ya kuishi. MAMA: anahakikisha...
  12. briophyta plantae

    Mpende na umjali sana mpenzi wako.

    MPENDE NA UMJALI SAAANA MWENZI WAKO! NAKUHAKIKISHIA HAINA KUFELI IPO hekima kwamba usioneshe unampenda sana mwenzi wako; awe mume au mke, rafiki au mchumba. Hekima hiyo inatoa angalizo kuwa anayependwa akijua, basi hujaa maringo, kiburi na dharau kwa anayempenda. Ooh, ni ile shukurani ya punda...
  13. briophyta plantae

    Matumizi ya dawa bila kuzingatia ushauri.

    MATUMIZI YA DAWA BILA USHAURI. Tabia ya kujinunulia dawa bila ushauri wa daktari, (self medication) kwa mtu asiye mtaalamu wa afya inazidi kuongezeka. Wapo watu wanajinunulia dawa kwa sababu ya uzoefu wa kipindi kilichopita. Mfano mtu aliumwa tumbo, akapewa dawa aina ya Fragyl. Siku nyingine...
  14. briophyta plantae

    Kipaumbele katima michezo mbali mbali.

    Kama tukiamua kuweka nguvu zetu kwenye mchezo mmoja ambao watanzania wenzangu mnaona tunaweza kuumudu na kutufikisha mbali kimataifa mnadhani ni mchezo gani tungeuwekea nguvu kubwa na kuupa kipaumbele..?
  15. briophyta plantae

    Utaratibu wa kudai fidia ya bima kwa abiria aliyepata ajali

    UTARATIBU WA KUDAI FIDIA YA BIMA KWA ABIRIA ALIYEPATA AJALI (CLAIM PROCEDURE) Imeandikwa na BINTI MAKINI 0714351954 Abiria anapaswa kuandika barua kwenda kampuni husika ya bima iliyokatiwa hilo Bus. Katika barua hiyo aambatanishe vifuatavyo 1.TIKETI YA SAFARI. 2.CHETI CHA MATIBABU YA...
  16. briophyta plantae

    Mwanaume katika kutamani na kupenda

    Habari wana jamii, Ningependa leo tujifunze kitu rahisi tu katika mahusiano, huwa dada zetu wanapenda kufanya mambo kuwa magumu jambo linalopelekea kuingia katika mahusiano ya hovyo sana. Mwanaume huwa hapendi bila kutamani na hii ni kawaida sana hata katika maisha ya kawaida tu, kitu...
  17. briophyta plantae

    Mpinzani sio adui...

    Hebu tuwe serious muda mwingine. Sisi ni watanzania halafu sisi ni binadamu pia. Hii nchi yetu ina watu wengi. Kuongoza nchi sio shughuli ndogo kwakua huongozi mbuzi bali watu wenye utashi tofauti tofauti. Kuwatenga watu katika makundi kutokana na tofauti zao kutokana na akili ya kujitambua...
  18. briophyta plantae

    Kujitambua na siasa ni ndugu mmoja.

    Kitu kikubwa kinachowaburuza wengi katika upande usio sahihi wa kisiasa na matokeo ya siasa ni kutokujitambua. Ila kujitambua pia ni ndugu mmoja na elimu sahihi. Hivyo inaposisitizwa elimu elimu elimu ujue ndiko mwanga wa kukumulika ili ujitambue unakotokea.. Ukikosa elimu nzuri na sahihi...
Back
Top Bottom