Search results

  1. B

    huu ni mgao wa umeme au ni nini?

    Hahahaaa..kweli tunasaidiwa kusave unit....hata mimi naliona hili.
  2. B

    Sema chochote kuhusu wachaga

    Wachapa kazi,na wanajituma ile mbaya.....big up kwa wachaga wote..
  3. B

    Mistari kwenye hip hop ya Bongo ilitia fora

    Mwanadamu ameacha dira moyoni anaona fahali, mwongozo ameupa kisogo hatari, walai kama kamali makaburi yanaongezeka mabwanyenye wanavinjari, kama mchezo wa kidali, pambano si la hatari sasa harufu ya damu inanuka kila mahali, mpaka akili zinafyatuka kama ngedere wa mochwari, watawala...
  4. B

    Mistari kwenye hip hop ya Bongo ilitia fora

    Tokea nimeanza msuba sijawahi kuwa soba, sijawahi kushikwa na homa wala sijawahi kuacha kuchoma, niko fiti mpaka noma...... Lodii
  5. B

    Mistari kwenye hip hop ya Bongo ilitia fora

    Nakatisha kwenye shamba la pamba huku najiuliza tatizo ni nini, viwanda au umasikini mbona tunamadini? Mola anasema nini..... Hasheem
  6. B

    Kiwanja na nyumba vinauzwa

    Kiwanja cha metre 50 kwa 50 kinauzwa Goba, kwa maongezi zaidi piga no 0753 097863. Pia nyumba inauzwa tabata chama(segerea) kwa maongezi zaidi piga no 0713 334711. Kuona picha ya kiwanja na nyumba angalia www.nunuakiwanja.blogspot.com
  7. B

    Hashim a.k.a Dogo yupo wapi?

    yeye pamoja na mwenzake karama masoud aka kalapina kwa pamoja ndio walianzisha kundi la kikosi cha mizinga, kundi ambalo lilikuwa likiangaliwa kwa mtazamo wa tofauti kuanzia na media mpaka jamii kiujumla. Nadhani maneno makali waliyokuwa waiyaongea hawa jamaa yalikuwa hayapokelewi kwa mtazamo...
  8. B

    Duh Bondia ndo nani hapa?

    Hamjui mnachokiongea, hao ni mbwana matumla na francis miyeyusho wote wawili ni mabondia wazuri tu na weshaipeperusha bendera ya Tanzania huko nje kwa kupigana international games, na kufanya vizuri pia. Bondia ipo ya uzito mbalimbali huwezi kumpiganisha david heys na floyd mywether japo wote ni...
  9. B

    Mauaji ya Profesa Jwani Mwaikusa: Kesi ni geresha tu?

    asante mkuu, basi tuwe wapole na imani kwa serikali yetu labda tutajua ukweli, kwenye hili nadhani kufahamu fika ni nini kilitokea ndio muhimu zaidi
  10. B

    Mauaji ya Profesa Jwani Mwaikusa: Kesi ni geresha tu?

    Hivi mdau, kuna uwezekano mtu mwenye umuhimu kwa serikali kama alivyokuwa prof mwaikusa akauwawa na serikali ya nchi jirani bila ya serikali yetu kupitia vyombo vyake vya usalama kupata fununu?
  11. B

    Mauaji ya Profesa Jwani Mwaikusa: Kesi ni geresha tu?

    Tusihukumu tu jamani, labda kama una lolote la kutwambia, aliuwawa na system kwa uratibu wa jk kwa faida ya nani? Huyo jk ana maadui wangapi na wangapi amewaua kwa kutumia hiyo system? Kumbuka prof mwenyewe alikuwa na msaada mkubwa kwa serikali, je alikosana nini hasa na jk mpaka aamue kumhukumu...
  12. B

    Mauaji ya Profesa Jwani Mwaikusa: Kesi ni geresha tu?

    Kwakweli mwenyewe ni hivo juzi ndiyo nimesikia kuna watu walishakamatwa na wapo ndani, kesi inaendelea lakini ndio kwa mwendo wa kutajwa tu hivyo. Kuhusu chanzo cha kifo wanafamilia hawajui pia, sijaweza kufukunyua sana kutokana na mazingira ya tukio lenyewe lakini inaonyesha wazi kutofahamu...
  13. B

    Mauaji ya Profesa Jwani Mwaikusa: Kesi ni geresha tu?

    Unajua kilichonisukuma kuandika thredi hii ni baada ya kusoma thread moja kwenye jukwaa hili kuhusu ile kesi ya Babu Sea. Sina uhakika lakini naona kama kesi yao ilikwenda haraka sana kulinganisha na hii, naomba mdau anayefahamu ile kesi ya wakina babu seya ilitumia muda gani atujuze, au hawa...
  14. B

    Mauaji ya Profesa Jwani Mwaikusa: Kesi ni geresha tu?

    Jana nilikuwa kunduchi salasala kwenye kumbukumbu ya mwaka mmoja tokea kifo cha profesa Jwani Mwaikusa aliyeuawa kwa kupigwa risasi katika mazingira ya kutatanisha nyumbani kwake kama mnakumbuka wadau. Katika maongezi ya hapa na pale nikapata kuambiwa kuna watuhumiwa walikamatwa wamewekwa...
  15. B

    Mahaba ya Pwani yananichanganya

    omba uzima upate story
  16. B

    Kivazi cha Lady Gaga akiimba wimbo wake-'Juda'

    hivi huwa mnavosema mtu ni freemason mnatumia vigezo gani wakuu? na huyu dada mnamjumuisha vipi kwenye hilo kundi ikiwa mwenyewe hajakili hivyo? nijuavyo mimi freemason ni 'secret brotherhood' sasa huyu dada kaingia vipi hapo? nahoji tu jamani
  17. B

    haya bwana bado nipo nipo, mabaharia mpo

    hii ni naftal mpangala ama? baabkubwa, 'makabuli yanaongezeka mabwanyenye wanavinjari kama mchezo wa kidali' by kalapinna.....
  18. B

    Una fanyaje?

    mkuu naomba utumie kale kasoftware unako kadevelop alafu uje utujuze
  19. B

    Madee amekufuru!

    'unadhani utapata zali kama yesu alivyopaa?'......... Dogo Dito, darubini kali
  20. B

    Kizuri kula na mwenzio!!!! itakufaa na wewe.

    kweli omba uzima upate stori
Back
Top Bottom