Search results

  1. P

    Aptitude test ya Alistair group

    Wakuu kama kuna mtu yoyote alishafanya aptitude test ya alistair anijuze inakuaje.
  2. P

    Naomba msaada, Yahoo mail yangu haifunguki

    Msaada wadau. Najaribu kufungua email address yangu lakini nashindwa kwa sababu sina simcard niliyoitumia kuregister kwenye hii email address. Nikisign in, nafika sehem natakiwa kuingiza baadhi ya namba ya namba ya sim yangu ili nitumiwe code. Hii code ndio niitumie kwenye hatua ya mwisho ili...
  3. P

    Hii ndio sababu watu wamemmiss JK

    Nimeanza kumuelewa JMP pale aliposema tumeibiwa sana. Tumechezewa sana. Alafu issue kama hizi ndio za kudiscuss kuliko umbea. Hebu angalieni CAG hapa
  4. P

    Oil and gas opportunities/issus

    Wadau na watalam wa mafuta na gesi tukuta hapa. Issu kama za kazi, local content, mikataba ya mafuta na gesi n.k
  5. P

    Casio scientific calculator inauzwa

    Casio scientific calculator inauzwa kwa bei ya shilingi 45000 tu. Mpya ipo kweny box. Dukani inauzwa 60000. fx-991MS, 2-line display
  6. P

    Nauza toyota allex

    Nauza gari aina ya toyota allex. Namba c. Ina rim, radio, tairi bado mpya na bado ipo bomba kabisa
Back
Top Bottom