Search results

  1. LiverpoolFC

    Mauaji ya kinyama yapelekea wananchi wenye hasira kuchoma nyumba na magari - Olasiti, Arusha

    Mtu moja anajulikana kwa jina la "Blakii" au "Baba Tony" ambaye ni dereva tours alimwua kijana wa kimasai baada ya kumfumania na housegirl wake, amempiga kama mnyama amesaga kizazi chote. Vijana wa kimasai wakakusanyika wamechoma magari yake mawili na nyumba. Na kama vipi mwili wa marehemu...
  2. LiverpoolFC

    Ajali mbaya Jijini Arusha yaua watu 5 papo hapo! Inasikitisha sana!

    Ajali iliyotokea Jana usiku majira ya saa tatu kasoro usiku imesababisha vifo ya watu 5 papo hapo akiwepo dereva.Ajali hii imehusisha gari ya abiria aina ya Noah iliyokuwa inafanya safari yake Kati ya Namanga na Arusha Mjini! Noah ilikuwa inatokea Namanga na ilipofika karibu na Redio Maalum...
  3. LiverpoolFC

    Tanzia: Member mwenzetu Marejesho amefiwa na mdogo wake wa Kiume

    Wana jukwaa napenda niwasalimu wote. Napenda kuwajulisha ya kwamba rafiki wetu,member mwenzetu marejesho amefiwa na mdogo wake WA Kiume juzi tarehe 10/10/2014 katika hosptali ya Rufaa ya KCMC alikopelekwa kwa matibabu baada ya kuugua kwa muda [siku chache sana] na ndipo mauti ikamfika. Ni...
  4. LiverpoolFC

    Polisi watumia mabomu kutuliza vurugu Himo

    Habari Wanajukwaa! Habari nilizonazo kupitia s.imu yangu ya mkononi Ni kwamba kuanzia saa mbili ya asubuhi hii Wanafunzi WA sh.ule ya ms.ingi hapo Himo njia panda Mkoani Kilimanjaro wamefunga barabara kuu ya Dar es salaam,Arusha kwa sababu ya wenzao wawili waliogongwa juzi na bila ya serikali...
  5. LiverpoolFC

    PICHA; Hebu pitieni tangazo hili kwa mtazamo mzuri!

    Nilikuwa maeneo ya Mianzini hapa Jijini Arusha na mara katika pitapita yangu nikakuta tangazo hili...........! Kwa kweli sijajua maana yake ni nini nikatamani niwajuze WanaJf tujadili angalau kidogo!
  6. LiverpoolFC

    Mhanga wa bomu la hapo Arusha night park bar afariki dunia

    Amefariki majira ya saa kumi oo nusu hapa Mount Meru Hosptali Marehemu Said Ally (SUDI) ni mmoja kt ya wahanga wa bomu hilo lililojeruhi wanainchi wengi tu. Ntarudi muda. Marehemu Sudi alipatwa na mkasa huu ambao hata imempelekea mauti tarehe 13/04/2014 na akafariki dunia tarehe...
  7. LiverpoolFC

    Vita mbaya inaendelea Wilayani Kiteto

    Habari zilizonifikia ni kwamba mpk hivi kuna watu watatu wameshauawa baina ya wakulima na wafugaji. Mapigano haya yameanza tangu jana na mpaka sasa yanaendelea. HABARI MBAYA SANA HII. Mapigano haya yanaendea katika kijiji kiitwacho Poripori.
  8. LiverpoolFC

    Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta ndani ya Jiji la Arusha.

    Nimemwona kwa macho yangu Rais huyu wa Kenya ndani ya Jiji la Arusha majira hii katika msafara mkubwa uliosababisha jamu kubwa barabara ya Ngaramtoni hata hapa Arusha mjini. Sijajua anaishia hoteli gani hapa jijini ila hakika ameimarishiwa ulinzi wa kutosha kwa jinsi nilivyomwona. Wenye...
  9. LiverpoolFC

    Mgomo wa Wachinjaji wa Arusha Meat wanukia siku chache sana!

    Nipo kwenye mkutano unaoendelea kwenye ukumbi wa Arusha Moden Carwash mchana huu na wachinjaji wote ndani ya Arusha meat. Sitoweza kuorodhesha majina ya waliopo ila hakika wote wamekutana kwa dharura na chanzo yote ya hii makutano ni moja tu KUPANDA KWA KIWANGO KIKUBWA YA GHARAMA YA UCHINJAJI...
  10. LiverpoolFC

    Kwa sasa USHABIKI wa soccer inatupeleka siko. MSHABIKI WA CLUB YA LIVERPOOL FC AUAWA NCHINI KENYA.

    Habari nilizopata kupitia vyanzo mbali mbali vya habari ni kwamba mshabaki wa soccer wa club tajwa hapo juu ameuawa hapo juzi wakati timu hizo mbili zilipokutana juzi jumamosi Liverpool Vs Arsenal ambapo Arsenali waliangukia pua. Mshabiki wa Arsenal ambaye ni mwendesha boda boda hapo wilaya Meru...
  11. LiverpoolFC

    Hatimaye kampuni mama ya Mtei Express yagomea route ya Mkoa wa Singida.

    Habari zilizonifikia ni kwamba baada ya jana Wanainchi kujichukulia sheria mkononi na kulichoma moto Bus lote na kuanzia leo kampuni ya usafiri wa abiria ya Mtei Express imegomea safari zake ndani ya Mkoa huo baada ya jana basi lake lililosababisha ajali ya watoto watatu waliokuwa wamepakizwa...
  12. LiverpoolFC

    Hili la kiongozi hajamaliza hata chai tunaanza kuwekewa jam hapa A town sasa ni KARAHA tupu.

    Ni dk yapata 30 nipo kwenye jam barabara ya Arusha Nairobi kuna foleni yapata karibu mji mzima. Tetesi katika foleni ni kwamba Mkuu yupo njia moja kuelekea Monduli TMA kuwapa nishani maafisa. Sasa jam yote karibu lisaa bila hata tukio ya kupita kwake ya nini?
  13. LiverpoolFC

    Pigo kubwa Club ya Barcelona & Timu ya Taifa la Agentina. L. MESSI nje miezi kadha!

    Ckupata bahati ya kuangalia mechi ya juzi baina ya Real Betis ambapo Barca waliibuka kidedea kama kawaida yao.......mabao ya Barca ilifungwa na Neymar dk 35,Pedro dk 37,Cesc Fabregas dk 63,79 na lile moja la Real Betis ikifungwa kwa penati dk 90 ya lala salama na Jorge Molina. Katika dk ya 20...
  14. LiverpoolFC

    Matokeo haya Man Utd 1 Arsenal 0 yamenirudishia matumaini ya Liverpool FC kuwa BINGWA 2013 - 2014

    Baada ya matokeo haya hakika nikiwa kipenzi wa Liverpool Football Club hakika matokeo haya yamenirejeshea matumaini ya kwamba Liverpool FC waweza wakawa BINGWA msimu huu. Maoni kwa member hawa ni muhimu. Asprini Mbu na wengine wote wenye mapenzi mema na Liverpool Fc
  15. LiverpoolFC

    Ni jeuri ama ulevi wa Madaraka kwa M/kiti wa Mkoa wa Geita.

    Ni jumatano ya wiki iliyopita M/kiti wa chama cha mafisadi a.k.a CCM Mkoa wa Geita Ndg Msukuma..........alifika na kundi la wachimbaji wadogo wadogo eneo halali la mgodi wa Geita Gold Mine liitwalo Kukuruma na kuwaamuru wale wachimbaji wachimbe kwani hakuna mtu yeyote atakayewabugudhi kwani yeye...
  16. LiverpoolFC

    Nipo safarini lakini lakini niliyoyaona HAKIKA inaweza ikakupa mawazo tofauti..........FUATILIENI!

    Niko safarini ndani ya bus la Saratogaline linalotoka Urambo kwenda Kigoma. Tulipofika mahala Nguruka tukamkuta kijana mmoja anaomba msaada wa usafiri wa kwenda kwao Malagarasi na akajitambulisha kwa jina moja la Dashina.....kachanjwa chale karibu kila mahala na kupakwa dawa nyeusi sehemu...
  17. LiverpoolFC

    ILBORU SEC SCHOOL chini ya jeshi la polisi kuanzia muda huu!

    Nipo hapa mtaa wa Ilboru sec school na naona wanafunzi wanatoka na mabegi na naona kuna magari matatu ya polisi na wamejiandaa kwa lolote lile. Ngoja niifuatilie na nitarudi hapa hapa kwa maelezo zaidi. Sijui ni nini imewasibu hawa wadogo zangu hapa shuleni.
  18. LiverpoolFC

    Baba mkwe agomea ndoa ya mtoto wake hapa Azania Front Church...........!

    Jamani kuna majanga hapa jijini. Baba mkwe pamoja na familia yake yote amegomea harusi ya mtoto wake baada ya kufika kanisani hapa na kukuta ndoa imeshafungwa bila ya wao kuwepo. Sakata hili limekuwa gumzo sana hapa Kanisani ila naona kama noma inapoozwa.
  19. LiverpoolFC

    Mazishi ya Marehemu Erasto Msuya kufanyika kesho tar. 13/08/2013 Bwana ametoa na Bwana ametwaa!!

    Mazishi ya Marehemu Erasto Msuya aliyeuawa na watu wasiojulikana Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro karibu kabisa na njia ya kuelekea Uwanja wa Ndege KIA tarehe 7/08/2015 yatafanyika kesho nyumbani kwao kijiji cha Cairo Wilaya Arumeru kwa Mbunge Mh. Nassari. Mwili wa marehemu uliwasili leo...
  20. LiverpoolFC

    Magwiji wa soccer wa Brazil........Romaria & Ronaldo De Lima wakumbana na sheshe!

    Katika kile kinachoaminiwa ya kwamba Brasil ni Taifa lenye washabiki wakubwa wa soka magwiji hawa wamekutana na kutokubalika kwa raia wa Nchi hiyo baada ya Ronaldo De Lima kukubaliana na serikali yao katika ujenzi wa viwanja vya soka na kuacha wanainchi wakiteseka pasipo na huduma ya lazima...
Back
Top Bottom