Search results

  1. LiverpoolFC

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naulizia bet hii.......kuna uwezekano wa kutoa pesa?
  2. LiverpoolFC

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nani ameweza kutoa pesa Paripesa?
  3. LiverpoolFC

    Askari Polisi mstaafu, Saba Sita anafukuzana na kivuli cha mauti yake

    Na ningetamani azamie kwenye bahari na mwili wake usionekane tuone lile jeneza na kaburi atawekwa nani..........kuna kitu kinamfuatiia huyo.
  4. LiverpoolFC

    Kwanini Kenya ni maarufu kuliko nchi nyingi za Afrika

    Naombeni msaada kwa yeyote aliyeko Nairobi Njoo in box kuna kitu nataka unisaidie nataka kukwama. Asante!
  5. LiverpoolFC

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mitandao yote wametoa siyo tigo tu. Wameona huduma kwa mitandao ya hapa nchini ni ya magumashi wamebakiza wakala tuu.
  6. LiverpoolFC

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni Nimewapata hawa selcom WhatsApp na wameniambia wanalishughulikia tatizo hilo na ngoja niwe na subira niwaone
  7. LiverpoolFC

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unajua nimewapigia vodacom waniambia pesa wao wameshafikisha selcom na niwasiliane nao, sasa kupata namba ya hao selcom ndiyo tabu nyingine ila naamini humu humu nitapata msaada ngoja wadau waamke
  8. LiverpoolFC

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Niwa tumie email hawa 888star siyo?
  9. LiverpoolFC

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hauna namba yao hao selcom niwavute hewani aisee? Na nimeona kweli 1XBET wameondoa ule mfumo wa mobile payment tena.
  10. LiverpoolFC

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nani anatumia bet ya kampuni ya 888star anisaidie jama? Kuna hii pesa tangu jana nimedepost mpaka sasa empty account ALR2BQ19DFW Imethibitishwa. Tsh5,500.00 imetumwa kwa SELCOM DUKA DIRECT kwenye akaunti namba 80076664-9459953355 tarehe 27/12/23 saa 12:44 PM Ada Jumla Tsh500.00 (M-Pesa Ada...
  11. LiverpoolFC

    Kwanini walioomba mikopo ya diploma hawajapangiwa?

    Hivi ni kwamba mpaka leo mikopo ya wale waliomba awamu ya pili hamjalipwa? Ama mmesahaulika aisee! Kama kumbukumbu yangu sii mbaya nakumbuka walisema mpaka taehe 19/11/ 2023 mtakuwa mmejichukulia tayari? Hii serikali ina watu wa ajabu haijawahi tokea๐Ÿ™Œ๐Ÿป
  12. LiverpoolFC

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ๐๐š๐ง๐ข๐ค ๐Ž๐ฌ๐ญ๐ซ๐š๐ฏ๐š ๐•๐ฌ ๐€๐œ ๐’๐ฉ๐š๐ซ๐ญ๐š ๐๐ซ๐š๐ ๐ฎ๐ž ๐˜๐ฎ๐ฅ๐ž ๐ฆ๐ฐ๐š๐ฆ๐›๐š ๐ฐ๐š ๐“๐ž๐ฅ๐ฅ๐ž๐ ๐ซ๐š๐ฆ ๐š๐ฆ๐ž๐ฐ๐ž๐ค๐š ๐ก๐ข๐ฒ๐จ ๐ ๐š๐ฆ๐ž ๐ฅ๐ž๐จ ๐ข๐ฅ๐š ๐ฌ๐š๐ฌ๐š ๐ฌ๐ข๐ฃ๐ฎ๐ข ๐š๐ฆ๐ž๐ฐ๐ž๐ค๐š๐ฃ๐ž ๐ฆ๐š๐ญ๐จ๐ค๐ž๐จ ๐ฆ๐š๐š๐ง๐š ๐ค๐š๐Ÿ๐ฎ๐ง๐ข๐ค๐š๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
  13. LiverpoolFC

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Portimonense Vs Chaves Hii mechi yule mwamba wa Tellegram ameweka fixed Kaweka stake $500
  14. LiverpoolFC

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbona kwangu inakubali mapema sana tuu, Ila kwangu kutoa ndiyo tabu mbaya kabisa
  15. LiverpoolFC

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ๐Š๐ฎ๐ฆ๐›๐ž ๐ง๐š๐ฐ๐ž ๐ฎ๐ฆ๐ž๐จ๐ง๐š๐ž๐ž,๐ค๐ฎ๐ง๐š ๐š๐ฉ๐ฉ ๐š๐ฆ๐›๐š๐ณ๐จ ๐ก๐š๐ฎ๐ฐ๐ž๐ณ๐ข ๐ฐ๐ข๐ง ๐ฉ๐ž๐ฌ๐š ๐ฒ๐š ๐ฆ๐š๐š๐ง๐š ๐ค๐š๐›๐ข๐ฌ๐š
  16. LiverpoolFC

    Petroli yashuka kwa Tsh. 7, Dizeli Tsh. 74 Dar

    ๐“๐ฎ๐ญ๐š๐ฃ๐ฎ๐š๐ง๐š ๐ฆ๐›๐ž๐ฅ๐ž ๐ค๐ฐ๐š ๐ฆ๐›๐ž๐ฅ๐ž
  17. LiverpoolFC

    Fiston Mayele anazidi kutetema Misri

    Kwani alikuwa na bao moja hata sii ndiyo ana haya mabao mawili tu kwa sasa tangu ahamie hapo.
  18. LiverpoolFC

    Amnyonga Mwanaae Hadi Kufa Huku Akijirekodi, Kisha Apiga Selfie na Mwili Wake

    Kuna tabu kubwa mahala haya tunayoyaona na kusikia ni mazito mno jamani๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ฅ
  19. LiverpoolFC

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimeombeni odds 3+ ama hakuna aliye naye ni mpka tuliwe๐Ÿ˜ญ
  20. LiverpoolFC

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naombeni odds 3+ wadau wenzangu 1XBET
Back
Top Bottom