Search results

  1. MfalmewaKiha

    Nimenyimwa hati ya kusafiria kisa mi ni wa Kigoma

    Yeah ni kweli ila sasa km nimetoa zaid ya 3K huoni bado tu nimejiongeza, Anyway'Ulakoze
  2. MfalmewaKiha

    Nimenyimwa hati ya kusafiria kisa mi ni wa Kigoma

    Nilisha jiongeza mpaka kufikia Lack 3 na point
  3. MfalmewaKiha

    Nimenyimwa hati ya kusafiria kisa mi ni wa Kigoma

    Nilitumia ile ya Ya miezi 3 ya karatasi
  4. MfalmewaKiha

    Nimenyimwa hati ya kusafiria kisa mi ni wa Kigoma

    Kwa hyo maoni yako ni yapi,Nipe mbinu basi wanirudishie pesa zangu
  5. MfalmewaKiha

    Nimenyimwa hati ya kusafiria kisa mi ni wa Kigoma

    Ohh kumbe?Tatizo sisi waha wafupi na WA nene,siunajia Hakuna msomali WA hivi
  6. MfalmewaKiha

    Nimenyimwa hati ya kusafiria kisa mi ni wa Kigoma

    Hahahahaha Hahahhaha natoa bro
  7. MfalmewaKiha

    Nimenyimwa hati ya kusafiria kisa mi ni wa Kigoma

    Kiukweli bro inanimate Sana,Yani kusema kweli Kigoma Ni kama tulisha laaniwa
  8. MfalmewaKiha

    Nimenyimwa hati ya kusafiria kisa mi ni wa Kigoma

    Yeah ni km wote tynaonekana wakimbizi Anyway
  9. MfalmewaKiha

    Nimenyimwa hati ya kusafiria kisa mi ni wa Kigoma

    Nimemwachia mungu,Acha wale pesa yangu Sina namna
  10. MfalmewaKiha

    Nimenyimwa hati ya kusafiria kisa mi ni wa Kigoma

    Hahahahaha not tomorrow,it's just any time
  11. MfalmewaKiha

    Nimenyimwa hati ya kusafiria kisa mi ni wa Kigoma

    Hapana bro sio hivyo,Gharama nimesha tumia zzaid ya lack 3 na point ila sikutaka kusema tu
  12. MfalmewaKiha

    Nimenyimwa hati ya kusafiria kisa mi ni wa Kigoma

    Bro uhamiaji kufikia hatua ya mteja kupiga picha na kuchukuliwa alama za vidole it means document zimekamilika,Lakini pia walio let's shida sio wa mikoani ni way pale Dar
  13. MfalmewaKiha

    Nimenyimwa hati ya kusafiria kisa mi ni wa Kigoma

    Kumbuka wazazi wangu walikua wanafanya kazi za kuhamishika mkuu
  14. MfalmewaKiha

    Nimenyimwa hati ya kusafiria kisa mi ni wa Kigoma

    Ina Manisha mtu WA ngara na Kigoma anakua sio mtanzani?
Back
Top Bottom