Search results

  1. Blessed wild

    Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    Hajielewi huyo Mkuu. Fuatilia post zake za nyuma utaelewa ninachokisema. Ushamba ni mbaya Sana.
  2. Blessed wild

    Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    We ndio unapaswa u behave Kama mwanaume kwa sababu una sifa za kike. Mara unajitia unaakili. Mara chuo sijui bata. Mara PCM na PCB. Yaani kwakifupi hujielewi.
  3. Blessed wild

    Mgombea wa Uholanzi aahidi kufunga misikiti na kuwazuia Waislamu

    Angekuwa muarabu ndio kasema anafungia makanisa yote na kutimua Wakristo katika nchi ya kiarabu ungesikia watu humu wakisema; Waislam/waarabu ni wabaguzi.
  4. Blessed wild

    Ndoto hii ina maana Gani?

    Haina maana yoyote. Nadhani aliingia katika mawazo ya mimba au uzazi au mlikuwa mnaongelea habari hizo. Au anaujauzito
  5. Blessed wild

    Muda wa kujitegemea umefika kwa wale wa 1980s

    Unajidanganya mkuu. Hakuna Uhuru wa mtu pekee. Kama hujaolewa Fanya hima mkuu
  6. Blessed wild

    Wasichana /Wanawake wenzangu

    na hiyo ndo dawa kuu ya ndoaa
  7. Blessed wild

    Nini kinamliza mwanamke kitandani?

    its their own way
  8. Blessed wild

    Utunzaji wa nywele za asili

    watu tunapenda ila mahelaaaa
  9. Blessed wild

    “True Love Doesn’t Care If You’re In A Relationship! He’s Fair Game Until I See A Ring”

    aaaaah sikubali kabisa mana kama anasinda kusimama kabla hatujaingia kwenye ndoa tukiingia c ndo itakua tatizo?
  10. Blessed wild

    Mtafutaji hachoki akichoka basi kapata.

    aisee ajira nowdays ni ngumu ila mtafuta hachoki ni kuomba mungu
  11. Blessed wild

    Hii ni kwenu wasichana

    Tumekusikia
Back
Top Bottom