Search results

  1. Indume

    TANESCO Nyamagana ni wazembe na wabovu kiutendaji

    Gari wanazo! Tunaongea kwenye uhalisia!! Labda tuseme wanataka rushwa tu! Mbona Ilemela na maeneo mengine hakuna usumbufu huu?? Hebu jaribu kupiga huduma kwa wateja kama utasikilizwa! Maafisa wa TANESCO Nyamagana wana kauli mbaya sana kwa wateja! Imebaki kuwarekodi tu na kumtumia JPM.
  2. Indume

    TANESCO Nyamagana ni wazembe na wabovu kiutendaji

    Hii ofisi ya TANESCO Nyamagana ni wabovu kiutendaji. Kuanzia kitengo cha huduma kwa Wateja; Mafundi na Uongozi mzima wa hiyo ofisi. Mteja akiwa na fault ukitoa taarifa inazidi masaa 48 na bado tatizo la mteja halitatuliwi. Hata ukiomba namba za mafundi hupewi na hata Meneja hawataki kutoa...
  3. Indume

    Nimrod Mkono aanza kuweka timu yake CHADEMA Jimbo la Musoma Vijijini

    Lakini si habari ya kupuuzwa hii.
  4. Indume

    Maana (symbolism) ya rangi na nembo za bendera hizi za vyama vya siasa Tanzania

    Nyundo kwenye bendera ya CCM inamaanisha kupiga meno ili yalegee kasha kuyang'oa kwa urahisi.
  5. Indume

    Kikwete kwenda Mwanza kuzindua barabara ya Usagara - Kisesa

    Kuna watu ni waongo sana na wapumbavu. Mimi ninakaa Usagala. Hiyo barabara ni VUMBI, sasa anayesema imekamilika kwa 91% sijui kama akili zake zipo sahihi.
  6. Indume

    Kikwete kwenda Mwanza kuzindua barabara ya Usagara - Kisesa

    Kuna watu ni waongo sana na wapumbavu. Mimi ninakaa Usagala. Hiyo barabara ni VUMBI, sasa anayesema imekamilika kwa 91% sijui kama akili zake zipo sahihi.
  7. Indume

    Ratiba ya mikutano ya CHADEMA katika Mkoa wa Mara

    Ni muhimu sana kufuata ratiba hiyo. Nilikuwepo huko kuna masuala ya kuongelea. Mwamko ni mkubwa
  8. Indume

    Katiha mpya itapatikana tu kwa kutathmini hatua tulizopitia

    Ni hakika kuwa mchakato wa kupata katiba mpya umeshindwa na jibu ka katiba mpya mwa huu halipo. Kwa wanaojua hesabu kama unakokotoa kupata jibu ukigundua kuwa jinsi unavyokokotoa kuna ugumu unajitokeza ni busara kuanza kufuatilia wapi umekosea ma mwishowe unagundua na kurekebisha sehemu...
  9. Indume

    Serikali na Viongozi wake hawakujiandaa na Katiba mpya

    Ndugu zangu, nimefuatiia sana namna ambavyo mchakato wa kuipata Katiba mpya unavyokwenda. Kila anayepata nafasi ya kuongelea katiba anakuja na mtazamo wake. Tukianzia jinsi Tume ilivyoundwa tulisikia malamishi kibao tu. ukaja muda wa kutoa maoni pia tulisikia makundi mbalimbali yakiwa na...
  10. Indume

    Wimbo wa Taifa urekebishwe!!!

    Sasa kama "viongozi wake" wanabarikiwa, Je ambao siyo "Viongozi" je???? Nchi hii imelaaniwa.
  11. Indume

    Wimbo wa Taifa urekebishwe!!!

    Nimekuwa nikiimba sana wimbo wa Taifa toka nikiwa mdogo ninasoma chekechea hadi sasa hivi. Kuna maneno ambayo katika wimbo huo nadhani unahitaji marekebisho. Pale panapoimbwa........" Wabariki Viongozi wote". Kwa jinsi ilivyo hata kama kiongozi ni Fisadi, ,mwizi, muuza madawa ya kulevya, mtoa...
  12. Indume

    Live kutoka SAUT Mwanza mkitano wa hadhara wa kamanda Mbowe!

    Mbowe forever. Wanachama tuna imani na wewe
  13. Indume

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

    Kwa wasio mjua Mabina mtadhani kaonewa. Ni jambazi, mwizi, mnyanga'nyaji wa ardhi ya wananchi. Cha kushangaza hata Kikwete ameshawahi kutembelea ardhi hiyo wananchi wakamlalamikia lakini akauchuna. Nguvu ya umma nimefurahi imefanya kazi. Bado Kabwe aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Mwanza, bado...
  14. Indume

    Mhe. Mbowe azidi kuimarisha msingi wa Chadema kanda ya Ziwa

    Kuna watu aina ya Sixgate ni wa ajabu akili zao zimeganda. Hawajui kinachoendelea katika siasa wao ni kulipuka tu na maneno ya uongo. Penda usipende tayari process ya kuunda kamati imeenda vizuri. Kuna wasomi, wataalamu wa fani mbalimbali na watu tunaowaita influencial katika jamii. Hakika CDM...
  15. Indume

    Mhe. Mbowe azidi kuimarisha msingi wa Chadema kanda ya Ziwa

    Sasa hivi kamati zinaundwa na zoezi linaendeshwa kwa ushirikishwaji wa hali ya juu sana. Bila ubaguzi wa aina yeyote na ametoa wito wa yeyote mwenye nia njema ya kujenga chama awe tayari kuimarisha chama. Zoezi hili ni mwanzo tu na tuna imani tutapata team nzuri na imara. It is a very...
  16. Indume

    Mhe. Mbowe azidi kuimarisha msingi wa Chadema kanda ya Ziwa

    Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe Mbowe amezidi kuimarisha msingi imara wa Chadema Kanda ya Ziwa. Kuna mambo ya msingi namna ya kuwashirikisha wadau mbalimbali ambao ni committed and competent ili kuendelea kuhakikisha kuwa chama kinakuwa imara zaidi. Mkakati wa...
  17. Indume

    Mbowe kuanza Ziara Mwanza Tarehe 14 Desemba!

    Chama kinazidi kuimarika kanda ya ziwa. Mbowe ni mwanasiasa makini sana , ukilinganisha na akina Kinana, Nape na mavuvuzela wengine wa CCM
Back
Top Bottom