Search results

  1. B

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Hahahaha ndo mwisho wako wa kufikiri unazani wauza unga ni watoto kama nchi zilizoanza zamani kupambana na wauza unga kama kina escobar hadi leo nchi hizo bado dawa zinaingia angalia sheria kali za china juu ya wauza unga na bado unga unaingia angalia england marekani wameimarisha ulinz wa...
  2. B

    RC Makonda aamuru nyumba 36 kubomolewa bonde la mto Msimbazi

    Hivi leo ndo anaanza kuwa kiongoz?? Gwajima alikuwa wapi makonda alipokuwa. Mkuu wa wilaya baada ya kutajwa kwenye unga gwajima ndo anaapa atahakikisha makonda hawi Rc
  3. B

    RC Makonda aamuru nyumba 36 kubomolewa bonde la mto Msimbazi

    Mtu ana F D C ndo vimejaa kwenye cheti et nae ndo anaomba chet cha makonda hivi hujioni na wewe una uwezo mdogo wa akili halafu wenye vimatokeo vidogo na wenye 4 mbaya ndo wanaomba vyet mbona kuna watu wenye mabanda yao na md zao kama kina kigwangala na wengine wamekaa kimya aseee wewe unaeomba...
  4. B

    RC Makonda aamuru nyumba 36 kubomolewa bonde la mto Msimbazi

    Yaani bongo ndo tunaithamin elimu baada ya makonda kufatilia unga hivi kama tunajali elimu prof lipumba tungekuwa tumemchagua miaka mingi leo tumeangalia midomo ya wanaojua kuongea na sio wenye elimu mi ata siilewi bongo
  5. B

    Uongozi ni kipaji siyo vyeti hata Dr Slaa hana degree!

    Elimu ya bongo buanaa mtu unajisifu una kadigri ila uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sanaa et vyeti
  6. B

    RC Makonda aamuru nyumba 36 kubomolewa bonde la mto Msimbazi

    Piga kaz mkuu achana na maneno na hamna haja ya kuwaonyesha vyeti ni udhaifu wa hali ya juu kuanika elimu yako kwa kuonyesha vyeti watu badala ya kuwaonyesha kazi kwani wangapi wana vyeti na kazi zao mbovu
  7. B

    CCM Vs CHADEMA nani kutamba 2020??

    Watanzania wengi tuna hatujui siasa hufata mikumbo mtu anabadilika ndani ya wiki moja kabla ya uchaguz so majority will say
  8. B

    Nataka kuoa mwanamke wa kiarabu

    Nimejifunza kitu apa
Back
Top Bottom