Search results

  1. jouneGwalu

    Nilitamani kuyajua haya - Ajira Mradi wa Bwawa la Umeme la Nyerere (Part - III)

    Natamani nakatishe nimalize!! Ila kuna details nashindwa kufupisha, maana itaondoa maana ya kisa. Tuvumiliane tu tunaelekea kumaliza.
  2. jouneGwalu

    Nilitamani kuyajua haya - Ajira Mradi wa Bwawa la Umeme la Nyerere (Part - III)

    Siku ya Jumapili, ofisi ya Kisaki (Kwa Dada Kulwa) huwa inafunguliwa jioni na hasa ni kwaajili ya kutoa vibali vya wanaoingia jumatatu. Hivyo ilipofika mida ya saa kumi na mbili kasoro ya jioni nilifika pale na bahati nzuri sana Dada Kulwa hakuwepo. Alikuwepo msaidizi wake kijana mmoja...
  3. jouneGwalu

    Nilitamani kuyajua haya - Ajira kwenye Mradi wa Bwawa la Umeme ( Part Two)

    Baada ya HR kusema hayo alitutoa nje ya ofisi yake, Hapo nikajiuliza kitu. Hivi yule "Dada Kulwa" alivyokuwa ananiambia kuwa amefunga kutoa vibali siku ile nilipofika na mimi kumkubalia hiyo kesho yake ningewezaje kuwahi hii interview? Pia nilichokiona mpaka hapo ni kuwa HR wa hii kampuni ya...
  4. jouneGwalu

    Nilitamani kuyajua haya - Ajira kwenye mradi wa Bwawa la Umeme la Nyerere (Part One)

    'Nilitamani ningeyajua haya kabla ya Kuomba ajira kwenye mradi wa "Bwawa la Nyerere" chini ya kampuni ya JV Arab Contractor & Elsewedy Electric' Kama ilivyo kwa vijana wengi wa kitanzania, katika pita pita zangu mitandaoni na kutafuta ajira nilikutana na tangazo ajira toka kwa hawa jamaa...
  5. jouneGwalu

    Rais Magufuli; ubanaji matumizi; na kujichanganya [contradict]

    Ahsante NN, Sio wewe peke yako, wapiga vigelegele wenzio wote wameanza kurejewa na akili zao!! Ni kitambo kidogo tu wote tutaongea lugha moja!
  6. jouneGwalu

    The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

    Sidhani kama hakuliona hilo; Mkuu The Bold huishi kutuchengua mashabiki zako!
  7. jouneGwalu

    I think I LOVE YOU!

    Dah Mpwa we acha tuu! Kikubwa tupo wazima ndugu yangu!!
  8. jouneGwalu

    I think I LOVE YOU!

    Mi nina hali mbaya zaidi... Tuzidi kuonana jamani!
  9. jouneGwalu

    I think I LOVE YOU!

    Wazee wa PM leo umejisema hahahaha
  10. jouneGwalu

    I think I LOVE YOU!

    Wewe!
  11. jouneGwalu

    I think I LOVE YOU!

    Ilikuwa family moja kuuubwa ilisheheni ujuvi, upendo .... Jiwe ndio limeleta hayo yoote
  12. jouneGwalu

    Kuna Kushinda na Kushindwa; CCM Inaposhindwa Iliposhinda...

    Wapuuzi na wanafiki wa dizaini hii ndio nguzo imara za ccm Wapo wengi sana kwenye hii mitandao
  13. jouneGwalu

    Speed Limit ya 50km/hr ni sheria ya hovyo iliyopitwa na wakati/ mabadiliko ya teknolojia!

    Umeeleza vyema sana Ahsante kwa ufafanuzi wa alama za msingi; ila cha kusikitisha sana haya uliyoeleza kwasasa hapa nyumbani TZ yameingia doa baada ya Idara ya Polisi Barabarani kugeuka kuwa kitengo kingine cha mapato cha serikali. Sheria nyingi za barabarani zinapinduliwa pinduliwa kwa...
  14. jouneGwalu

    Speed Limit ya 50km/hr ni sheria ya hovyo iliyopitwa na wakati/ mabadiliko ya teknolojia!

    Umenena vyema sana Mkuu.... Pia gharama za usafiri zimeongezeka zaidi! Kutoka Mbeya hadi Mwanza kupitia Mtera ni lami tupu ila hamna faida yake maana safari inachukua siku 2. Uwekezaji wetu kwenye miundombinu imekuwa kazi bure tu Tumeshindwa kuugeuza kwenye faida za kiuchumi kwa kuzingatia...
  15. jouneGwalu

    Mwigulu Nchemba: Aliyemtisha Nape kwa bastola sio Polisi. Uchunguzi wa Lissu kushambuliwa unaendelea, tutatoa taarifa

    Eti kuna watu wanafanya biashara ya binadamu.... Najaribu kujiuliza hiyo biashara ya binadamu imeanza kwenye awamu hii tu!!??
  16. jouneGwalu

    Spika upo uchi, chutama

    Ndio maana ikaelezwa kuwa "Tumekabidhi nchi kwa watu Washamba na Malimbukeni"
  17. jouneGwalu

    Lazaro Nyalandu, kinyongo cha Uwaziri kitakuponza

    Tupo kwenye zama za kijinga kupata kutokea
  18. jouneGwalu

    Picha: Ifahamu North Korea hakika kwa picha hizi utabaki kinywa wazi

    Mtu aliyefikia hatua ya kuunda Nuke ujue tu yupo vizuri kiteknolojia na sekta zingine
Back
Top Bottom