Search results

  1. Jembebutu

    God reverence between The Glorious Quran and the Currently Partially Corrupted Bible

    Anayetumia muda wake kujenga chuki au kubaguana kwa misingi ya dini, ni mpumbavu tu.
  2. Jembebutu

    Mungu hayupo? Atheist njooni mthibitishe

    Hakuna yeyote anayeweza kuthibisha uwepo wa Mungu kwa ushahidi wa aliyotenda yakionekana na yeye akionekana pia. Unless tutaleta tu story, mapokeo ya nadharia na vifungu vya dini. Kama yupo aliyewahi kukutana na Mungu , athibishe. Nje ya hapo ni blah blah tu. Mungu ni imani, na uwepo wake ni...
  3. Jembebutu

    Mizimu na madhababu za Ukoo inatesa Maisha yangu

    Hawa ndo wasomi wenyewe sasa. Hata Kiswahili hawakijui. Duuh!
  4. Jembebutu

    Njoo tuelekezane jinsi ya kupiga hela Burundi

    Ndugu zangu. Naomba msaada zaidi kuhusu Burundi. Nataka kwenda sasa kupeleka viatu, yebo, pochi na bidhaa kadhaa za urembo za akina dada. Kwa mujibu wa taarifa za mabadiliko ya fedha, Franc ya Bururundi ipo juu yetu X2. Na CRDB wapo Burundi. Nauliza hivi, Je nikiuza bidhaa zangu kwa Franc alafu...
  5. Jembebutu

    Nina wasiwasi na mke wangu...

    Inaonekana huu ni ugonjwa ulioulea mwenyewe na ndio unakutafuna sasa. Mkeo anakuaga usiku kuwa anasafari asubuhi na we unamuitikia tu? Hahaa! Safari ya siku kadhaa nje ya mkoa na it's okay with you? Unajua kinachiendelew huko Dom na inauma sana but kwa mtazamo wangu, Deal with it.
  6. Jembebutu

    Mtaani kwako Bajaji inalaza bei gani kwa siku?

    @polokwane We unapiga route za wapi kaka. Kwa sababu inategemea. Kuna sehem huwezi ona hela sana hasa sehemu ambazo bajaji zimekuwa nyingi.
  7. Jembebutu

    Mtaani kwako Bajaji inalaza bei gani kwa siku?

    Trust me bro. Madereva bajaj wanaupiga mwingi sana. Take it from me kama ukiweza kuiendesha bajaj yako mwenyewe, asee hela ipo.
  8. Jembebutu

    Mtaani kwako Bajaji inalaza bei gani kwa siku?

    Mkuu vipi kuhusu barabara? Ni rough road au lamilami?
  9. Jembebutu

    Mtaani kwako Bajaji inalaza bei gani kwa siku?

    Mimi nipo Dar ndugu zangu. Nataka route sehemu yeyote nje au ndani ya mji. Msaada please madereva wanasumbua sana.
  10. Jembebutu

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Vipi biashara ya udereva wa Bajaji? Mi naendesha mwenyewe na bajaji ni yangu. Nipeni location nipige hela
  11. Jembebutu

    Mtaani kwako Bajaji inalaza bei gani kwa siku?

    Habari wadau. Nimeamua kununua bajaji ili kujikimu na maisha. Hapa nilipo Bajaji ni nyingi na biashara imekuwa ngumu mno. Vipi we ukwapi na biashara ya Bajaji imekaaje pande hizo? Nipo tayari kutimba popote coz naendesha mwenyewe. Msaada tafadhali.
  12. Jembebutu

    USA tells Russia : If you are wise America is a phenomena to avoid in war, if you want war with USA prepare someone to raise your Children

    Hahaa Wamarekani bhana,, Wamesahu walichofanywa na Gerneral Mohamed Farah Aidid wa Somalia 1993 kwenye the battle of Mogadishu? Hiyo ngoma iliitwa ' The black hawk down' Walitafutana.
  13. Jembebutu

    Hatimaye Academy yaanza taratibu za kumchukulia Will Smith hatua za kinidhamu

    Wengi hawajaulewa utani wa Chriss. Ji jane ni movie inayomuelezea mwanamke aliyekuwa anakatishwa tamaa na jamii kumwekea vikwazo kutokana na imani kwamba atafeli mazoezi magumu ya kikosi maalumu cha jeshi alichojiunga nacho. Ji Jane alipambana kufa na kupona mpaka akanyoq nywele zake na akatoboa...
  14. Jembebutu

    Wajasiriamali wenzangu, huwa mnaikabili vipi hii Changamoto?

    Na doubt mshahara wake. Unamlipa vizuri? Mpe onyo akiendelea mpunguze mshahara kutokana na muda anaochelewa kufungua biashara. Ila njia rahisi ambayo hata kwangu huwa inafanya kazi japo biashara zangu ni tofauti kidogo ni kumlipa kwa commission. Yaan mwekee asilimia kadhaa kwenye kila anachouza...
  15. Jembebutu

    Ninunue simu gani kati ya hizi kwa bajeti yangu isiyozidi 600k?

    Samsung sitaki kuisikia. Spare ghali mno.
  16. Jembebutu

    Nakutafuta Annrosse nikuone mara ya mwisho

    [emoji23][emoji23][emoji23] Sio hiyoo,,,
  17. Jembebutu

    Nakutafuta Annrosse nikuone mara ya mwisho

    Niimbie kwanza forever young kiduuuchu!
  18. Jembebutu

    Nakutafuta Annrosse nikuone mara ya mwisho

    [emoji23] We njoo tu mama. Utaikuta ya kujia na kurudia [emoji23]
Back
Top Bottom