Wakuu habari zenu wote kiumjula, bila ya kupoteza muda. Rejea kichwa cha habari hapo juu kinavyosema, nakumbuka mwaka huu mwezi wa 7, nilienda wilayani liwale mkoa wa lindi. Sasa wakati huo nina kama siku tatu tangu nifike liwale, na safari yangu ilinichukua wiki nzima hapo liwale. Sasa...
Sie huku mtaani kwetu, vyuma vimekazwa! Mpaka mbuzi wanakula chips, na Mbwa wanakula mahindi ya kuchoma, na miwa. Sijui Uswaz kwenu kukoje huko wakuu....!
Daktari wa timu ya soka ya Simba Sports Club, yassin gembe amempa wiki moja zaidi beki wa timu ya Simba, Shomari kapombe kabla ya kurudi rasmi uwanjani, kuitumikia timu yake, mchezaji huyo aliumia. Nyonga wakati anaichezea timu ya taifa dhidi ya rwanda, kwenye mashindano ya kufuzu chan, kwa...
Tajiri kijana barani Afrika, Mo dewji amepata changamoto kwa mfanyabiashara mwenzake. Katika ununuzi wa hisa za club ya Simba Bw, Said Salim Bakhresa, ameweka dau la shillings za kitanzania Billion 25 huku Bw, Mo akidhani yupo peke yake.
Kwenye huo mchakato wa kuinunua Simba, vigezo vya...
Tarehe ya leo Simba alimfunga 2 - 1 Yanga na mashabiki wa simba wakang'oa viti, baada ya kuona na kuhisi mwaamuzi, anafanya Upendeleo kwa yanga, magoli ya simba siku hiyo yalifungwa na Laudit Mavugo na Shiza Kichuya, lile la yanga lilifungwa na mzambia Chirwa.
Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama...
Nawakumbusha tu mkae nakuelewa Hakuna kipengele kigumu kama pale linapokuja swala padre au baba mchungaji atakapowauliza waumini na watu waliokuja kuhudhuria sherehe yenu ya harusi, Je hakuna mtu alie na kipingamizi kwenye harusi hii??? Sasa shughuli inakuwaga hapo na kasheshe
Wana jukwaa habari za saa hizi. Bila kupoteza muda jana mishale ya saa tisa alasiri nilikuwa maeneo ya Uchumi supermarket pale nyerere road kaja Jamaa simju anijui "namnukuu" Kaka naomba nikupe namba umpigie jamaa nataka kuongea nae. Mwisho wa kumnukuu mimi sasa nikamjibu Sitoi simu nishaibiwa...
Natafuta mwanasheria wa kunisaidia nataka kuwafungulia kesi ya madai tigo wanilipe fidia million mia mbili kwa kunisababishia Usumbufu. Ni hivi ilikuwa Jumapili ya tarehe 12 mwezi huu wa tisa 2017 majira ya saa tano na dakika 16 hivi au 17. Nilienda kufanya muamala wa kutoa pesa kwa wakala wa...
Lipo maeneo ya Ukonga kipunguni moshi bar. Ni hivi ilikuwa ni nyumba kubwa lkn mwenyewe watu aliowaachia wantuzie hiyo nyumba upande mmoja wa nyumba walikuwa wamechimba mchanga nyumba ikabomoka upande mmoja. Upande mmoja uko fresh aujabomoka. Umeme aina Ipo mtaani gari linafika na sehemu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.