Search results

  1. OPERATION ENTEBBE

    MSAADA KATIKA HILI

    Naomba mwenye namba za simu masijala ya UTUMISHI (OFISI YA RAISI UTUMISHI ) DODOMA Very urgent.. Nisaidie!
  2. OPERATION ENTEBBE

    Rais Magufuli ruhusu ajira sasa

    Rais Magufuli ruhusu ajira kwa vijana Tu naingia mwaka wa pili sasa, Rais yuko kimya kuhusu AJIRA, as if hakuahidi, wizara husika nayo haina kazi ipo ipo tu na wimbo wa uhakiki mwaka wa pili hhuu Mbaya zaidi Magufuli amekuwa ndio kila kitu, Wizara zinahitaji vijana wajiriwe lakini...
  3. OPERATION ENTEBBE

    Mtungi wa gesi (Umejaa) ORYX na jiko la plate 2 kioo

    Vinauzwa jointly bei 200 Cash , Mtungi UMEJAAA kampuni ya orynx kilo 32.5kg , jiko ni used for 4 months plates 2 KIOO safi na, pipe na gas meter yake, njoo ubebe mzigo sawa na bure! Nipm uwahi Kimara asbh maana nitaondoka.... My
  4. OPERATION ENTEBBE

    Nairobi ni Jiji kubwa East and Central Africa but......

    Nairobi, Magari yamezagaa hovyo the so called matatu, the city is overcrowded with matatu making it busy and noisy. Walitakiwa watafute sehemu huko peripheral for all matatu to park rather than entering the core of the city kama Tanzania All public transports (matatu) zilikuwa ziwe na stand...
  5. OPERATION ENTEBBE

    Daktari huyu hapa (MD)

    Wakuu soko la ajira limekuwa gumu, anaehitaji Daktari(MD) Dar au sehemu yoyote Tanzania iwe permanent au part Time nipo.... Ni PM.. Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom