Search results

  1. AVRAM

    Uchaguzi 2020 CUF hakuna watia nia?

    Habari zenu waungwana. Naomba kuulizia kuhusu watia nia wa Chama cha Wananchi CUF. Sijasikia taarifa yoyote kutoka katika vyombo vya habari kuhusu wachukua fomu za Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani au mara hii CUF imeamua kuunga mkono juhudi za Chama chengine. Kama ndivyo kwa nini wasitoe...
  2. AVRAM

    Uchaguzi 2020 "Bao la mkono" uchaguzi 2020 lina nafasi bado?

    Hivi Watanzania mnahisi kulingana na mazingira ya kisiasa yalivyo hivi sasa, hili linaloitwa "Bao la mkono" linaweza kutumika kuhakikisha ushindi wa chama tawala katika uchaguzi wa mwaka 2020? Hoja kuhusu Bao la Mkono, imeibuka ghafla kutoka kwa Mbunge wa Tandahimba kupitia tiketi ya chama cha...
  3. AVRAM

    Adabu ni dhahabu, hebu hifadhi mdomo wako kidogo, waswahili wanasema Heri kujikwa dole kuliko ulimi

    Adabu ni dhahabu, hebu hifadhi mdomo wako kidogo, waswahili wanasema Heri kujikwa dole kuliko ulimi, kuwa na staha unapoamua kusema, tafadhali nakuomba ufahamu; hasira hasara, wewe kila unapoamua kusema mineno yako inakuwa kama moto, mdomo nyumba ya maneno; jiangalie; Gome la udi, si la mnuka...
  4. AVRAM

    Diaspora na hoja ya uraia pacha Tanzania

    Ni muda mrefu umepita watanzania wanaoishi nje ya nchi yao (Tanzanian Diaspora) wamekuwa wakizungumza na kupigia chapua kwa nguvu suala la sheria ya uraia pacha; yaani uraia wa nchi mbili "Dual citizenship", kwa upana na wasaa zaidi suala hili tayari limejadiliwa na kutolewa uchambuzi wa kutosha...
  5. AVRAM

    Maskini Dar es Salaam imeanza kushikwa shikwa sasa

    ......Waamerika ni watu wabaya, wameanza kutia mdomo Dar es salaam ya Watanzania, maskini wee, mji mzuri kwa jina lake, ila sasa unatafutiwa sababu kuchafuliwa. Waamerika ni ndumi la kuwili, ni watu wenye choyo na hasada sana kwa mafanikio ya wenzao, na hasa pale wasipokuwa na maslahi ya moja...
  6. AVRAM

    Naomba mvurugikiwe

    .......... Hakika mkivurugikiwa ntafurahi, naelewa tuko wengi huko na tushajichanganya vya kutosha, na vurugu lenu nasi linatuhusu, ila kwa mnavyotufanyia na msivopenda hata kutuona machoni penu; mnatuombea mabaya na kututafutia sababu tuu mtuangamize. Naomba mvurugikiwe. Natamani mngelichapana...
  7. AVRAM

    Mabeberu wameanza fyokofyoko DR Congo

    Vyombo vya habari vya kimataifa vimeripoti kuwa taarifa zilizovuja kutoka matokeo kamili ya uchaguzi wa Desemba 30 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, zinaonyesha kuwa mgombea aliyetangazwa katika nafasi ya pili, Martin Fayulu, alikuwa ndiye mshindi wa wazi. Taarifa hizo zimetolewa na...
  8. AVRAM

    CCM Zanzibar jipangeni, ni aibu kushinda katika namna mnayoshinda

    Sio kwa Zanzibar, kama ni makali ya Mheshimiwa Mwenyekiti wa CCM kuimarisha chama basi ni huko huko Tanganyika kwa Zanzibar CCM iko hoi si kwa mbinu zozote za kisiasa zitakazotumika ikaweza kushinda, mbinu pekee inayoweza kuipa ushindi CCM Zanzibar ni matumizi ya nguvu, na kutumikisha Askari...
  9. AVRAM

    NANI ZAIDI KATI YA HASSAN MWAKINYO NA KELL BROOK

    Bondia kutoka Tanzania Hassan Mwakinyo ametangaza nia ya kutaka kupambana na bondia maarufu kutoka Uingereza Kell Brook. Mwakinyo mwenye umri wa miaka 23 ambae aliushangaza ulimwengu wa masumbwi kwa kumtandika Mwingereza Sam Eggington mwenye miaka 24 katika raundi ya pili. Pambano la Mwakinyo...
  10. AVRAM

    Najikausha tuu kama hainihusu lakini inaniuma moyoni

    Habari zenu wadau, Hivi hii timu ya taifa huwa inakosea wapi, katika hali ya kawaida si mshabiki sana kiasi ya kuwa napoteza muda kuangalia game za mpira, hata pale inapocheza timu ya taifa ya tanzania. lakin huwa napata taarifa kwa bahati kuhusu maendeleo ya hii timu yetu. Ila kila nikijidai...
  11. AVRAM

    Kuna kipi cha kufanana kati ya Angelina Jolie na Irene Paul?

    Pengine nilikua najidanganya, mara zote ninapoangalia picha ya msanii mmoja kati ya hawa wawili, nilijisemea moyoni kwamba kuna kitu wanafanana, sio kwa rangi kiasi lakini kipo wanachoshare kama wasanii wa maagizo. Kuna kipi cha kufanana kati ya hollywood movie star Angelina Jollie na nyota wa...
  12. AVRAM

    Natamani vyama vya siasa Tanzania vifikie kiwango hiki cha mashirikiano

    HABARI Wanachama wa chama cha Social Democrats (SPD) cha Ujerumani wameridhia chama chao kujiunga kwa mara nyingine tena katika serikali ya mseto na muungano wa vyama vya kihafidhina - Christian Democratic Union (CDU) cha Kansela Angela Merkel na Christian Social Union (CSU), baada ya matokeo...
  13. AVRAM

    Ukweli ni upi kuusuta uongo?

    ...
Back
Top Bottom