Search results

  1. ophthalmic doctor

    Msaada wa location

    Samahanini wadau naombeni location ya Manga high school iliyoko Tarime, nipo Singida ntapanda gari za wapi nifike dogo kapingwa huko A level,
  2. ophthalmic doctor

    Tetesi: USAFIRI WA NOAH,

    Hatimaye serikali yasitisha usajili wanoah katika biashara. Huu usafiri unasaidia sana vijijini, umerahisisha maendeleo na mambo mengine , figusu katika nchi yetu haziishi, hatimaye wamesitisha huduma za kusajili noah katika biashara, sijui hii imechukuliwa kwa mtazamo gani. Hivi wanaopitishaga...
  3. ophthalmic doctor

    Barua ya wazi kwenda kwa Waziri wa Afya

    Kutokana na kuungua kwa jengo la UTAWALA chuo cha MAAFISA TABIBU KILOSA, mwaka 2018, kulipelekea baadhi ya WAHITIMU kutopata vyeti vyao ambavyo viliungua vikiwa katika jengo hilo. Wahitimu waliokosa vyeti wamefatilia bila kuwepo na jitihada za kupata haki zao za vyeti ili waweze kuajiriwa au...
  4. ophthalmic doctor

    Msaada nimekosea kujisajili watumishi portal

    Habari wapendwa, Nitafanyaje kama nimekosea kujisajili Watumishi portal ili niweze kupata salaryslip? Yan nimekosea email kwa hiyo sijapata ujumbe wa kuhakiki, Nikipiga namba zao kwa msaada hawapokei nyingine hazipatikani.
Back
Top Bottom