Search results

  1. mnyonge wa hali ya chini

    Msaada kwa wenye ufahamu

    Je, kuna faida gani kwa mwalimu wa primary mwenye certificate kusomea diploma in primary Education? Wakuu mimi siyo mwalimu lakini mke wangu ni mwalimu wa primary sasa anataka kwenda kusoma diploma in primary ninaomba kujuzwa faida zake kabla sijatumia fedha zangu bila kujua faida zake. Maana...
  2. mnyonge wa hali ya chini

    Marekani imeamua kumwekea vikwazo kiongozi mkuu wa nchi ya Iran

    Habari,nimesikia na kuona juu taarifa ya kuwa nchi ya Marekani imeamua kumwekea vikwazo kiongozi mkuu wa nchi ya Iran hivyo ningependa kupaka ufafanuzi juu athari za hivyo vikwazo kwa huyo kiongozi wa Iran. Pili kwanini nchi ya Marekani inaweza kuziwekea nchi nyingine vikwazo ilihali yenyewe...
  3. mnyonge wa hali ya chini

    Ufisadi katika wilaya ya Kigoma (v) Idara ya Elimu

    Kwa wahusika, tarehe 10 na 11 kulikuwa na mitihani ya Mock drs la 7 ambapo kila shule iliamliwa kutoa sh. 5000/= kwa kila mwanafunzi wa darasa la 7. Kuna shule moja ina wanafunzi 60 wa drs la 7, hivyo walitoa Tshs 300,000/= kutoka kwenye fedha ya uendeshaji wa shule kifungu cha mitihani ambacho...
  4. mnyonge wa hali ya chini

    Upi ni msimamo wa UVCCM juu ya tukio la kutekwa kwa wasanii!?

    Nilsubili kwa hamu sana kusikia msimamo wa viongozi wetu wa UVCCM na kauli yao juu ya swala la kuvamiwa na kutekwa kwa wasanii na kisha kuonekana wakiwa ktk hali isiyo ya kawaida. Lakini mbaya zaidi baadhi ya watu hasa kwenye mitandao ya kijamii wanajaribu...
Back
Top Bottom