Search results

  1. Atkins Mendel

    Uchaguzi 2020 Mnataka tuendelee kuwa na Rais wa miundombinu? Ingekuwa miundombinu ndiyo kipaumbele cha mtu wachina wasingekamatwa kwenye makontena wakizamia Ulaya

    Ulitaka serikali ifanye nn labda zaidi ya kuweka miundombinu wezeshi na rafiki ili wananchi wapate wepesi katika shughuli zao??, je hizo hospital zinajengwa na kuachwa tu bila watu na vitendea kazi??? Je ni kweli kwamba serikali imejikita kwenye hivyo vitu tu ulivyovitaja na huku kwenye sekta...
  2. Atkins Mendel

    Magufuli na ndege, siri nyuma ya pazia?

    mm akili yangu iko timamu Kabisa, hivi unataka kuniambia kwamba hata Kama kusoma hujui na kusikia pia husikii au hata kuona pia umeshindwa, nimekuambia kwamba kila awamu ina vipaumbele vyake, huko ambako serikali inawekeza nguvu zake basi huko lazima tu ajira nyingi zitazalishwa either directly...
  3. Atkins Mendel

    Hotuba ya Rais Magufuli haikuwa hotuba ya Mgombea Urais, ilikuwa Hotuba ya Mgombea Uwaziri wa Miundombinu. Imekosa mvuto mpaka mwisho

    Mnaongea as if vitu vingine vimesimama, yaan Kama vile kwenye sekta nyingine hakuna vitu vinavyofanyika. Hivi ni kweli kwamba kwenye sekta ya afya, Kilimo, elimu, maji, na zingine ukiachana na sekta ya miundombinu mawasiliano na uchukuzi hakuna kilichofanyika Kabisa?? Halfu mnaposema kodi...
  4. Atkins Mendel

    Magufuli na ndege, siri nyuma ya pazia?

    Unachopinga nn hasa?? Kwamba hizo sio ajira?? Kwan aviation industry ni pilots tu na air hostages??, alfu muelewe kuwa kila awamu au serikali ina vipaumbele vyake, kwahyo Kama vipaumbele hivyo havikugusi moja kwa moja haimanishi kwamba hakuna anayenufaika navyo.
  5. Atkins Mendel

    Uchaguzi 2020 Uchambuzi wa hotuba ya Lissu - Kawe

    Hapo kutaka kuleta imbalance
  6. Atkins Mendel

    Uchaguzi 2020 Uchambuzi wa hotuba ya Lissu - Kawe

    Lissu siyo mzalendo hata kidogo, ukiangalia sera zake zipo kujenga taifa tegemezi na sio taifa linalojitegemea. Tunataka Tanzania yenye uwezo wa kujitegemea kwa kila kitu katika siku za usoni, na sio taifa tegemezi.
  7. Atkins Mendel

    Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Tunaka namna ya kufanya hayo yote, hatuki mbwembwe, eleza sera na namna utakavyoitekeleza
  8. Atkins Mendel

    Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

    Leta picha, acha kutema mashudu, tunataka picha hatutaki maneno, Mbona kamera zipo high table tu? Tupelekeni kwa raia
  9. Atkins Mendel

    Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

    Aisee leteni picha, maana jana walitia aibu, gari imeishapoteza muelekeo hata kabla haijashika main road
  10. Atkins Mendel

    Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

    Mungu wangu, watu hawa ndio wampeleke Lissu ikulu??, hata jua litokee wapi, halfu hapo wanadai DAR eti ndio ngome yao
  11. Atkins Mendel

    Tuliahidiwa laptop ikashindikana, tazama wanafunzi wa Kenya wanatumia tablet

    MI nauliza tu hivi mtarudi tena mbagala kuzindua sera??
  12. Atkins Mendel

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Atarudi kwa kishindo, tena kishindo cha radi, Magufuli ni sauti ya Simba aungurumapo hakuna wa kusima. Tukutane trh 29/08/2020, Dodoma. Safari hii ni mwendo wa kuwatimulia vumbi, tena vumbi la jangwani. Ilisikika sauti ikisema hakika limebarikiwa tumbo la mama aliyemzaa Magufuli. Tunahitaji...
  13. Atkins Mendel

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Naona Mr drama anaendeleza drama, the fact is, hata Magufuli ikitokea amepata dharula gani akashindwa kushiriki kampeni, na Lissu akabaki yeye na wagombea wa vyama vingine, He can't win election. I can see him leaving after this election, he won't forget this year ever
  14. Atkins Mendel

    Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani

    Hahhha, upinzani dakika ya kwanza tu chalii 10-0
  15. Atkins Mendel

    Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Pongezi kwake, watu mlitaka kuilisha NEC maneno, ache akapambane kwenye box sasa.
  16. Atkins Mendel

    Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Mmmmmh! Yupo nje ya muda, kulikoni?? Na alikuwa wapi? Tuwe makini na huyu mtu
  17. Atkins Mendel

    Mgombea ubunge jimbo la Mufindi kupitia CHADEMA, Titho Emanuel atekwa akiwa njiani kurudisha fomu

    Chadema imejaa uhunu, ni watu washari, hawana uzalendo, wako cheap sana, kwahiyo wanauza fomu halfu wanasingizia kutekwa.
Back
Top Bottom