Search results

  1. S

    Combination gani inafaa kati ya CBG na EGM?

    naomba kujua kati ya CBG na EGM kwa mwanafunzi wa A-LEVEL ni Comb gani nzuri msaada tafadhari
  2. S

    Anayeijua shule ya Alfagems Morogoro

    Tafadhali naombeni msaada, Anayefahamuvizuri shule ya Alfagems Morogoro anisaidie mawasiliano ya shule au hata namba za mwalimu aliyeko pale ili niweze kuwasiliana nae kupata taarifa na muda kwa kujiunga kidato cha tano shuleni hapo pamoja na taratibu za hapo shuleni. MSAADA TAFADHALI
  3. S

    Msaada: Nahitaji kujiunga na kidato cha tano kama private condidate

    Naomba msaada, Naitaji kujiunga na kidato cha tano kama private condidate mchepuo wa EGM ila ningependa kusoma katika mkoa kama Morogoro na Arusha, Moshi au Mbeya mwenye kujua shule nzuri yenye gharama nafuu. Msaada tafadhali
  4. S

    Natafuta cream ya kuondoa kovu usoni

    Nataka cream ya kufuta kovu upande wa shavu niliungua ukubwa kama sh.100 duara sehemu ile ilipona na kuinuka so i feel badly nilienda hospitari wakachuna ngozi ya juu lakin hakusaidia ilipona na kubaki raised up kama mm 2 so naitaji cream nifute kabisa hio kovu kwani ni ugly sasa kulingana na...
  5. S

    Muda wa kutuma maombi NACTE huwa ni upi?

    Naomba kujua kutoka kwenu wapendwa mimi nahitaji nitume maombi NACTE ngazi ya Cheti. Ufaulu wangu ni division IV ya 28 ambayo nina D katika masomo yafuatayo:-English, Kiswahili, Math, Geography, History, Chemistry, Physics na Biology. Pia nina F katika somo la Civics. Shule nimaliza 2012...
  6. S

    Naomba ushauri kwa matokeo haya

    Naomba kuuliza mimi nimemaliza Form 4 mwaka 2012 nikawa na 28 mwaka nilichelewa kwenda kuchukua matokeo ivyo nikajikuta nimeshindwa kwenda chuo mwaka 2013 wakabalika na kuwa GPA nikashindwa ku apply mwaka jana 2015nimerudia masomo matatu nimepata c2 Je nifanyeje nipate hata chance ya kwend...
  7. S

    Anatafuta mchumba

Back
Top Bottom