Search results

  1. W

    Rais Magufuli amekaribisha upinzani Serikalini mwake

    Tatizo letu wa bongo wivu tunaona ni bora apate mzungu kuliko mswahili mwenzio
  2. W

    Mgawanyo Rasmi wa Majimbo kwa vyama vinavyounda UKAWA

    Ni kweli Zumbemkuu Mlalo na Lushoto kuna kosa la kiufundi
  3. W

    Zitto Kabwe: "Wekeni akiba ya maneno"

    Maneno hayajabadilka yanabaki kama yalivyo m1 ni msaliti no moja
  4. W

    CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

    Mbona mnalilialia kwani nyinyi mmejipangaje! !
  5. W

    Dkt. Reginald Mengi: Kamukara amefariki dunia katika mazingira yaliyosheheni utata sana

    Wauwaji utawajua wanavyotumia nguvu nyingi kujibu hoja
  6. W

    Absalom Kibanda, usitumie kutekwa, kuteswa kwa mavuno toka kwa wanasiasa

    Poor Mussa Allan kazi yako ni kuharbu mada humu janvini lkn sikulaumu njaa mbaya 7000×...
  7. W

    Mgombea Urais John Pombe Magufuli afuzu Usaili aliopewa Bungeni leo

    Kwanza ni mbabe haheshimu vyombo vingine vya dola kama Mahakama ilishatoa hukumu kwamba wananchi wanaoishi pembezoni mwa barabara ya morogoro wameshinda kesi waliyofungua miaka kadhaa iliyopita na mahakama kuamuru kwa upana wa barabara utakuwa mita 60 na sio 120 kama anavyolazimisha lkn yeye...
  8. W

    Mgombea Urais John Pombe Magufuli afuzu Usaili aliopewa Bungeni leo

    Ccm wenyewe hawamuamini mzee pombe anaweza kuwabadilikia any time
  9. W

    Wanasiasa vijana ni wanafiki, wajivuni na wapenda sifa

    Harikaa! hahahahaha
  10. W

    Dr.Slaa na Freeman Mbowe nendeni mikoani mkaizime ACT

    Exactly tu deal na mwenye mbwa
  11. W

    Updates: Mkutano mkubwa wa Dr. Wilbroad Slaa Tanganyika Packers DSM

    Chadema ni moto aisee people's ........
  12. W

    Dr.Slaa na Freeman Mbowe nendeni mikoani mkaizime ACT

    Hatutakiwi kurusha mawe kwa kila mbwa anayebweka safarini maana twaweza tusifike tuendako
  13. W

    Dr.Slaa na Freeman Mbowe nendeni mikoani mkaizime ACT

    Moto mbele kwa mbele dhidi ya Magamba hakuna kudeal na sisimizi
  14. W

    Dr.Slaa na Freeman Mbowe nendeni mikoani mkaizime ACT

    Ritz kumbe unamfuatia Rais mtarajiwa ee safi sana
  15. W

    BAWACHA wafanyiwa fujo mkutanoni Tanga

    Nasisitiza hatuko hivyo
  16. W

    BAWACHA wafanyiwa fujo mkutanoni Tanga

    Aunt Nasma una matatizo kichwani huwezi kuwa mtu wa Tanga wewe hatuko hivyo
  17. W

    BAWACHA wafanyiwa fujo mkutanoni Tanga

    Mkuu Hayaland nasikitika sana kwa kutujumlisha watu wote wa Tanga kwa ujinga wa mjinga mmoja inauma lakini ukombozi unakuja soon
  18. W

    BAWACHA wafanyiwa fujo mkutanoni Tanga

    Wewe Asmapesa acha kujitoa akili unaongea ujinga na unatudhalilisha watu wagosi wenzio!!
Back
Top Bottom