Search results

  1. T

    Live kutoka TBC 1: Sherehe ya kuchangia ujenzi wa vyoo mashuleni

    Umezunguka koote sasa kwanini Kichwa chako cha Habari usingesema tu kwamba Mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muugano wa Tanzania Hayati Samuel Sitta Mama Magreth ana ugomvi wa miaka mingi ambao unaendelea kudumu na lugha ya Kiingereza ( hajui Kiingereza? )
  2. T

    Mnaijeria wenu ana bahati sana ameomba pooo mapema kwa Simba SC kwani tulichokuwa tumemuandalia angesimulia Kwao!

    This is Simba na katika hili bado Simba SC ndiyo Washindi. Na tunamtaka Mnaijeria wenu safari ijayo asiishie tu Kuita Wachezaji Saba wa Simba SC bali kutokana na uzuri wa Wachezaji wa Simba SC na ukubwa wa Timu ya Simba hasa Kihistoria anatakiwa awe anaita Wachezaji wa Simba SC kama 14 halafu...
  3. T

    Mkurugenzi wa fedha na mpango hospitali ya Rufaa Bugando, mtawa Suzan Bathlomeo ajirusha Ghorofani na kufariki

    Ngoja nichague jibu sahihi kati ya haya mawili.. a) Mimba b) Upungufu wa Kinga ndani ya Mwili wa Binadamu
  4. T

    Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inapaswa kuwa tulivu inapotoa taarifa zake kwa umma

    Gerson Msigwa siku hizi kabadilika kuanzia tabia ( hulka ), muonekano hadi maelezo yake pale akiwa anazungumza. Nilikuwa mbishi sana kuamini ile kauli kwamba Kipato kikubwa na cha ghafla hasa Kikienda kwa Mtu ambaye 97% ya maisha yake yote amekulia katika taabu, dhiki na shida humbadilisha...
  5. T

    ITV nani aliyewadanganya huu mtindo wenu mpya wa kutuonyesha kwanza makalio yenu kabla ya habari unafaa?

    Natamani sana nimjue huyo aliyewabunia huu mtindo mpya mliouanzisha kama mwezi sasa wa kusimama wakati mkisoma muhtasari wa habari kisha mnatugeukia na kutuonyesha makalio yenu ambayo wengine mna pasi tupu huku wengine mkiwa na matofali. Taarifa ya habari iheshimiwe na hamko hapo kutuonyesha...
  6. T

    Mahakama ya Kijeshi yamuondolea Bobi Wine mashitaka! Akamatwa tena sasa kushitakiwa Mahakama ya kiraia

    Nakubaliana nawe kwa 100% kwamba tayari watakuwa wameshammaliza. Hapa ujuzi wa Kijasusi wa Kirusi utakuwa umetumika mno dhidi ya Msanii Boby Wine. Haiwezekani ghafla tu hivi wajifanye wameona hana makosa wakati ni hao hao ndiyo walimkamata, kumtesea, kumjeruhi na kumuumiza vibaya huku wakisema...
  7. T

    Mahakama ya Kijeshi yamuondolea Bobi Wine mashitaka! Akamatwa tena sasa kushitakiwa Mahakama ya kiraia

    Mnaodhani kuwa mkiwa madarakani basi mnaweza kufanya kila mnalolitaka mmekosea sana kwani sasa ni rasmi kwamba Mitandao ya Kijamii ndiyo kimbilio pekee la upatikanaji wa Haki hapa duniani ambapo nguvu ya Kimaoni ya Wachangiaji wake inaweza hata kumfanya Mtawala aliyepo madarakani akimbie kama...
  8. T

    Kwa Mwanamke atakayevutiwa na huu ukweli wangu namkaribisha rasmi tuanzishe uhusiano wa uhakika na wa kudumu hadi milele

    Naitwa Walter Frank . Nina miaka 33, Kabila ni Mkara na Mpogoro. Dini yangu ni Mkristo wa Dhehebu la Katoliki. Elimu yangu ni Shahada ya Mawasiliano na sasa naendelea na Shahada yangu ya Uzamili ya Masoko. Naishi Mwenge jijini Dar es Salaam. Kwa sasa sina Ajira baada ya Kampuni niliyokuwa...
  9. T

    Manyara: Msafara wa Waziri Kigwangalla wapata ajali. Waziri ajeruhiwa na Mmoja afariki dunia

    Kama kuna Wizara ambayo ushirikina unafanyika kuanzia kwa mlinzi wa getini, mfagiaji, mtu wa masijala, msafisha vioo na makabati hadi kwa wenye mamlaka ya Wizara nzima ni hii. Wala sishangai sema tu Kijana nae ameaga vizuri kwao vinginevyo leo maturubai yangekuwa yameshawekwa Dar es Salaam na...
  10. T

    Kwa nini Chatu anajifanya anajua sana kubana Wanyama?

    Kwanini Polisi wanajifanya wanajua sana kukamata Wahalifu?
  11. T

    Uhamiaji washikilia passport ya Mkurugenzi wa Twaweza, Aidan Eyakuze

    Na Waha wengi wana asili ya Burundi na DRC hapa Tanzania wako tu kwa muda.
  12. T

    Uhamiaji washikilia passport ya Mkurugenzi wa Twaweza, Aidan Eyakuze

    Wawe under surveillance mara ngapi?
  13. T

    Ni suala la muda tu. Hili la Davis Mosha litaondoka na mtu

    Yaani Tanzania kila mtu yupo jikoni. Upuuzi mtupu!
  14. T

    Hassan Ngoma: Mwambieni Mange Kimambi wenu nina 'free pass' ya kuingia Ikulu akitaka nitampeleka

    Akizungumza katika kipindi chao cha 360cloudstv mtangazaji Hassan Ngoma amewashangaa sana wale Watanzania ambao hujifanya kumsema vibaya Rais Dr. Magufuli wakiwa mbali lakini siku wakikutana nae katika hafla mbalimbali huwa wanabaki tu kutetemeka na kubabaika. Mtangazaji huyo katika hali...
  15. T

    Mtangazaji Hassan Ngoma wa Clouds punguza ushamba, sifa, dharau na majivuno

    sijaanza kumfuatilia jana wala leo kataa kubali ila ukweli ni kwamba mtangazaji hassan ngoma ana ulimbukeni fulani hivi na mambo kama ya kike kike. ajitahidi tu abadilike tafadhali itamuharibia
  16. T

    Mtangazaji Hassan Ngoma wa Clouds punguza ushamba, sifa, dharau na majivuno

    mwenye uwezo anaweza akaachana na kushindwa hata kukiendesha tu chuo chake cha uandishi wa habari mbezi kimara na kuanza kwenda kuomba kazi clouds media group na kuanza kuwa mbwatukaji katika television? labda siku hizi kuna maana nyingine ya neno lako hilo la ni watu wenye uwezo
  17. T

    Mtangazaji Hassan Ngoma wa Clouds punguza ushamba, sifa, dharau na majivuno

    ila inavyoonekana sasa ni kama vile hassan ngoma ndiye kafurahi kuliko hata mhusika mwenyewe mzee jumanne ngoma na wanafamilia wake
  18. T

    Mtangazaji Hassan Ngoma wa Clouds punguza ushamba, sifa, dharau na majivuno

    Ulivyoanza kutangaza leo kwa mikogo huko Zanzibar ulipo umefanya watu waanze kujiuliza je zile hela shilingi milioni 100 ulipewa wewe kama Hassan Ngoma au alipewa baba yako mdogo na mgunduzi wa madini ya Tanzanite mzee Jumanne Ngoma. Ni mtangazaji ambaye japo huwa sipo humu JF mara kwa mara ila...
  19. T

    Hawa Raia wa Malawi wamekuwa kero huku Tegeta, uhamiaji wamelala?

    unaonekana labda una bahati mbaya sana ya kutongoza wanawake wa kimalawi na wanakukataa au unazidiwa pesa na wanaume wa kimalawi wanaojua kuchapa kazi hivyo una wivu na hasira nao kwakuwa vyuma vimekaza mno sasa kwako.
Back
Top Bottom