Ukiona tovuti za wenzetu za kusaidiana kwa mawazo mbalimbali hutashangaa sana ukija apa jf kwetu.
watu wanafoka kama vile hawana wakuwagombesha uko makwao.
mjinga ni wewe unaejifanya unajua kumbe mtupu. anayetaka kujifunza unampiga shushu.
embu badilika man
Uo ni upuuzi! Unataka vitambuliwe na nani? Cha msingi ni ELIMU iwe Bora na Vijana wetu waelimike. Hii tabia yakuwa tegemezi hadi "mind-set" zetu zinakua tegemezi ni UJUHA wa kutupwa.
Tunapaswa kujivua Gamba. Tuimarishe vyuo vyetu kwa faida zetu. Watutambue kinanani? Kwa maslai gani? Wanatupa boom?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.