Search results

  1. H

    Waziri Kigwangalla amemteua Miss Journalism 2018 kuwa balozi wa Pori la Akiba Selous

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla amemteua mshindi wa taji la Miss Journalism Tanzania, 2018, Witness Teddy Kavumo (21) kuwa balozi wa utalii wa Pori la Akiba Selous. Amefanya uteuzi huo mwishoni mwa wiki Jijini Dodoma baada ya mazungumzo na mwanamitindo huyo aliyemtembelea...
  2. H

    Dk. Kigwangalla: Mashindano ya Olimpiki 2020 nchini Japan kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania

    MASHINDANO YA OLIMPIKI 2020 NCHINI JAPAN KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA TANZANIA - DK. KIGWANGALLA Mashindano ya Olimpiki yatakayofanyika nchini Japan mwaka 2020 yatatumika kunadi vivutio vya utalii vya Tanzania kupitia timu ya Taifa ya riadha na banda la maonesho ya utalii. Hayo yameelezwa...
  3. H

    Dk. Kigwangalla: Ujangili nchini wapungua kwa zaidi ya asilimia 50

    UJANGILI NCHINI WAPUNGUA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 50 - DK. KIGWANGALLA Serikali imefanikiwa kudhibiti vitendo vya ujangili hapa nchini kwa zaidi ya asilimia 50. Hayo yameelezwa jana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla wakati akizungumza na Balozi wa Uingereza hapa nchini...
  4. H

    Dk. Kigwangala aitaka kamati ya inayochunguza tuhuma za mauaji ya tembo Ruaha-Ruangwa kutenda haki

    DK. KIGWANGALLA AITAKA KAMATI INAYOCHUNGUZA TUHUMA ZA MAUAJI YA TEMBO KATIKA IKOLOJIA YA RUAHA-RUNGWA KUTENDA HAKI Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameitaka kamati inayochunguza tuhuma za mauaji ya tembo katika Ikolojia ya Ruaha-Rungwa ambazo zilitolewa mwishoni mwa mwaka...
  5. H

    Salamu za PASAKA kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla, Naibu Waziri, Mhe. Japhet Hasunga, Menejimenti na Wafanyakazi wote wa Wizara wanawatakia Watanzania wote PASAKA njema. Tunawashukuru kwa kutuunga mkono katika jukumu letu la uhifadhi na usimamizi wa maliasili na malikale, na kuendeleza...
  6. H

    Agizo alilolitoa Waziri Kigwangallah mkoani Manyara kwa wananchi walioko ndani ya hifadhi

    SERIKALI italipa fidia na vifuta jasho kwa vitongoji ambavyo vipo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na Pori la Akiba Mkungunero ili viweze kupisha maeneo hayo yaendelee kuhifadhiwa kwa mujibu wa sheria. Hayo yameelezwa jana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla katika...
  7. H

    Tanga: Waziri Kigwangalla aagiza mbinu mpya kudhibiti madini kwenye chanzo cha maji ya mto Zigi

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameuagiza uongozi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania TFS kujenga kituo cha ulinzi cha kudumu katika eneo la chanzo cha maji ya mto zigi kilichopo ndani ya Hifadhi ya Mazingira Asilia Amani kwa ajili ya kulinda chanzo hicho. Dk...
  8. H

    Waziri Kigwangalla amaliza mgogoro wa hifadhi na vijiji wilayani Rufiji.

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla amemaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka minne baina ya Hifadhi ya Msitu wa Utete maarufu kama Msitu wa Kale na vitongoji vinavyopakana na hifadhi hiyo vya Siasa, Nyawanje, Kindwitwi na Utunge katika wilaya ya Rufiji mkoani...
  9. H

    Hifadhi ya taifa ya Mikumi imeiomba Serikali kuchepusha barabara ya lami inayopita ndani ya hifadhi hiyo

    HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI IMEIOMBA SERIKALI KUCHEPUSHA BARABARA YA LAMI INAYOPITA NDANI YA HIFADHI HIYO Serikali inafikiria namna bora ya kubadilisha uelekeo wa eneo la kilometa hamsini za barabara ya lami inayopita ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi au kutoza kodi ya utalii kwa watu...
  10. H

    Chuo cha usimamizi wa wanyamapori (Mweka) kuanza kutoa mafunzo maalum kwa wanaongoza watalii nchini kuanzia kesho.

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga (wa tatu kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori-Mweka, Brightone Mbilinyi kuhusu mafunzo ya silaha yanavyotolewa chuoni hapo katika mahafali ya 53 ya chuo hicho yaliyofanyika jana katika wilaya ya...
  11. H

    Naibu Waziri wa Maliasili atimua wananchi hifadhi ya Katavi

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga, amewataka wananchi wa Kitongoji cha Situbwike ambao wamevamia Hifadhi ya Taifa ya Katavi na kuanzisha shughuli za kibinadamu kinyume cha sheria waondoke kwa hiari ndani ya wiki mbili zijazo kabla ya kuondolewa kwa nguvu. Naibu Waziri Hasunga...
  12. H

    Prof. Maghembe atoa wito kwa wananchi kuunga mkono juhudi za serikali za kupambana na ujangili

    Iringa 30 Septemba, 2017 Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe jana tarehe 29 Septemba, 2017 amefungua rasmi Maadhimisho ya Siku ya Utalii Duniani yanayofanyika kitaifa mkoani Iringa na kutoa wito kwa wananchi kushirikiana na Serikali katika kupambana na Majangili kwa kutoa taarifa za...
  13. H

    Prof. Maghembe afungua mkutano wa kimataifa wa nchi 21 Duniani kujadili upandaji wa miti kibiashara

    Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza mkoani Morogoro jana wakati wa ufunguzi wa mkutano wa pili wa Mashirika yanayohamasisha upandaji wa miti kibiashara na uzalishaji wa mazao ya misitu barani Afrika, mkutano huo wa siku mbili umewashirikisha wajumbe kutoka nchi 21 duniani kwa...
  14. H

    Prof. Maghembe atoa siku 40 kwa waliolima ndani ya hifadhi ya taifa ya Arusha waondoke kwa hiari, laa sivyo...

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe ameliagiza Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kupitia Hifadhi ya Taifa ya Arusha kuhakikisha kuwa wananchi wote waliolima ndani ya eneo la hifadhi hiyo kinyume cha sheria wanaondoa mazao yao pamoja na kusitisha kabisa shughuli...
  15. H

    SportPesa yatambua mchango wa Wizara ya Maliasili na Utalii katika kufanikisha ujio wa timu ya Everton Nchini Tanzania

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe (kulia) akimkaribisha Meneja Mahusiano wa Kampuni ya SportPesa Tanzania, Sabrina Msuya ofisini kwake mjini Dodoma jana ambapo alifika kukabidhi Cheti cha Shukurani kutoka kwa kampuni hiyo kwa Wizara yake kufanikisha ujio wa timu ya Everton...
Back
Top Bottom