Search results

  1. M

    Nimeitwa kweny usaili DUCE ila sijapewa namba ya mtihani.

    Samahani nimeitwa kwenye usaili ambao utafanyika tarehe 14/09/2022 chuo cha DUCE, Kwenye tangazo la walioitwa kwenye usaili nipo kwenye nafasi nne nilizoomba ila mpaka muda huu kwenye akaunti yangu ya ajira portal sijaandikiwa namba ya mtihani nimejaribu kuwapigia lakini simu zao hazipokelewi...
  2. M

    Naomba kujuzwa kuhusu hili la kuhama ukiwa na mkopo mpya

    Habari wakuu? Naomba kuuliza hivi mfano mtumishi amechukua mkopo Nmb mpya baada ya siku nne au wiki anapata barua ya uhamisho kutoka kwa katibu mkuu utumishi anahama kutoka kwa DED kwenda kwenye shirika la serikali je ule mkopo hauwezi ukaathiri uhamisho wake kwenda kwa mwajiri mpya?
  3. M

    Hatua gani inatakiwa ili nihame kwenda kwa mwajiri mwingine?

    Habari za muda huu? Samahani naombeni msaada wenu,,mimi niliajiriwa katika halmashauri fulani na mwajiri wangu ni DED lakini baadae nikaomba ajira sekreteriati ya utumishi wa umma hiyo barua ya maombi nikapitisha kwa mwajiri wangu akaipitisha baadae nikaitwa interview nikafaulu zote mbili na...
  4. M

    Kazi ya 'Janitor ii' inahusiana na nini?

    Habari za mchana?samahani nimeona tangazo kupitia page ya sekreteriati ya ajira on behalf of mzumbe university wametangaza nafasi mbali mbali miongoni mwa post iliyonigusa mimi ni janitor ii naomba kuuliza maswali mawili; 1.kazi kubwa ya janitor ii ipi mana wengine wanasema ni wafanya usafi wa...
  5. M

    Nacte wametoa selection zote

    Habari za mchana nacte wametoa selection zote kwa urahisi sana ingia kwenye page yao kwa wale ambao walikuwa wanasema haoni chochote. Mlete mrejesho pia kila laheri
  6. M

    Wanafunzi waliodahiliwa chuo zaidi ya kimoja awamu ya pili na ambao hawakuthibitisha kujiunga awamu ya kwanza

    Habari za asubuhi?Tcu wametoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja awamu ya pili na ambao hawakuthibitisha kujiunga awamu ya kwanza.
  7. M

    Nacte wametoa selection.

    Habari za asubuhi ?selection za nacte zimetoka angalieni account zenu kwa aliyeomba ualimu na afya kwa kulogin utaona status yako ilivyoandikwa.
  8. M

    kwa nini nacte mfumo wa maombi ya vyuo wamefunga kabla ya tarehe husika

    Habari za asubuhi ndugu zangu? Ningependa niende moja kwa moja kwenye mada ,nina mdogo wangu nilimwombea vyuo kupitia mfumo wa udahili nacte sikukamilisha kuomba yani niliomba course nne nikawa nimebakiza course moja ila nikatuma hivyo hivyo course nne nikiwa na mana kuwa hiyo nafasi moja...
  9. M

    TCU na Udsm sijawaelewa kwa hili

    Niende moja kwa moja kwenye mada kuna mdogo wangu alichaguliwa mkwawa univerty awamu ya pili course ya bachelor of education in science lakini leo natumiwa sms kuwa katika majina yaliyotumwa kwao na tcu hayumo kutokana na chuo alichodahiliwa kuzidisha wanafunzi kulingana na uwezo wao wa kudahili...
  10. M

    Prof. Ndalichako tusaidie kutatua kero hizi chuo cha ualimu Tarime

    Habari wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale ningependa niende moja kwa moja kwa habari yangu kuhusu changamoto kubwa inayokikabili chuo cha ualimu tarime kilichochopo mkoa wa mara hiki chuo ni miongoni mwa vyuo vya ualimu vya serikali vikongwe kabisa walio soma hapa watakuwa mashihidi lakini...
  11. M

    Naomba kufahamishwa kuhusu Tarime TTC

    Mwenye kukijua hiki chuo anisaidie mazingira yake kwa ujumla na kama kuna mtu ana namba za mawasiliano za mtu yeyote anayesoma hapo au anayefanya kazi hapo, nimechaguliwa kwenda kusoma hapo stashahada ya ualimu, Natanguliza shukrani.
  12. M

    Wanasimba wenzangu yu wapi mghana Nicolas Gyan?

    Niende moja moja kwenye mada, awali tuliambiwa ana mkataba huko kwenye timu yake ya zamani ambao tuliambiwa ungeisha tatehe 20/08/2017 lakini mpaka Leo hakuna taarifa za uhakika wa taarifa zaidi ya tetesi za magazetini kila kukicha anakuja kesho mara siku mbili mara mwezi wa huu wa nane...
  13. M

    Salumu mbonde ajitia kitanzi simba

    Aliyekuwa beki wa mtibwa sugar na mchezaji wa timu ya taifa stars salumu mbonde ametia wino wa kuitumikia simba miaka. Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
  14. M

    Aveva, kaburu kukaa rumande mpaka July 13

    Wakuu poleni na majukumu ya kila siku, habari kutoka kisutu ni kuwa kaburu nyange pamoja na Aveva watakaa rumande mpaka July 13 baada ya mashtaka matatu kati ya matano kukosa sifa za kuwa na dhamana likiwemo la kutakatisha fedha lakini pia rais wa shirikisho la mpira Tanzania na katibu mkuu wa...
  15. M

    Mkemi naye kama Manara

    Bodi ya usimamizi wa ligi tanzania imemuita Mkemi ili ahojiwe na kamati ya nidhamu ya tff hatua hii imekuja baada ya mkemi kutoa kauli kuwa bodi ya ligi wanajihusisha na rushwa na kutishia kwenda mahakamani pia hatua ya Mkemi kuitwa kwenye kamati ya nidhamu imekuja baada ya wadau wa michezo...
  16. M

    Mashabiki watano wa yanga wamwagwa manoti kwa Toto Africa

    Katika hali isiyo ya kawaida mashabiki wa yanga ambao wako watano kwa pamoja wameamua kuingilia mchezo wa toto Africa dhidi ya simba utakaofanyika Leo pale uwanja wa ccm kirumba, mashabiki hao wametoa sh million 30 ili toto waifunge simba na endapo watatoa sare basi wachezaji hao watapewa sh.ml...
  17. M

    Bachelor of education in policy, planning and management

    Wakuu naombeni msaada kwa mwenye uelewa zaidi juu ya shahada hii na vyuo gani vinatoa ukiachana na chuo kikuu cha dodoma .natanguliza shukrani
  18. M

    Naombeni msaada, kisheria ni nani anapaswa kumsomesha mwajiriwa?

    Wakuu poleni na kazi, Mimi ni mwajiliwa katika halmshauri ya moja hapa mkoani Kilimanjaro naomba kujua sheria ya mwajiri kumsomesha mfanyakazi ikoje maana halmashauri hii wanasema ukitaka kwenda kusoma maana yake ujigharamie kila kitu ila ukiomba mkopo bodi ya mikopo wanasema mwajiri wako ndio...
  19. M

    Uchaguzi mkuu TFF, wangapi wangependa Malinzi arudi?

    Kamati tendaji ya Tff imetangaza kuwa uchaguzi mkuu utafanyika jumapili tarehe 12/08/2017 ambapo uchaguzi huo utakuwa kuwachagua rais wa shiriko la mpira wa miguu Tanzania Tff na makamu rais wa Tff pamoja na kamati tendaji. Chanzo salehe jembe. Swali langu:wangapi humu wangependa Jamali...
  20. M

    Mpenzi wangu kaota nimekufa

    Wakuu poleni na majukumu ya kila siku, nina mpenzi wangu tuliachana naye kwa kwa muda wa mwezi mmoja kisa aliniambia sex mpaka ndoa basi bwana mimi nikasema isiwe kesi nakamkaushia mazima sikumtafuta wala nini nashangaa siku moja usiku wa manane saa nane akanitafuta na kuniomba msamaha kwa yote...
Back
Top Bottom