Search results

  1. Samatime Magari

    BMW X1 aka Baby BMW SUV

    Hii ni Crossover SUV, Tena ni subcompact Luxury cross over kutoka BMW, Yani Baba Mama Watoto walitaka kupata SUV ndogo na luxury inayotumia mafuta vizuri ndo X1 akazaliwa, saa andaa kifungua kinywa then kaa nikupe madini ya hii gari.. 2009 ndo BMW X1 amezaliwa na alitambulika kama moja ya SUV...
  2. Samatime Magari

    Je, umesikia habari za Uhakiki wa Leseni na Cheti Uliposomea Driving kwa Madereva ?

    Je unajua kwamba kwa sasa ukitaka kurenew leseni ni mpaka uwe na cheti cha udereva, Yani cheti cha uliposomea udereva, sasa kama leseni ilikufata nyumbani jiandae. Sasa naweza jiuliza hii issue imetokea wapi, iko hivi.. . Duru zinasema kuna mwamba mmoja maarufu kwenye ndondi alikua anapiga...
  3. Samatime Magari

    🚨 Ndio Ilikuwa Ijumaa…

    . Siku ambayo vijana wengi wala bata wanaikubali sana sababu ni siku weekend inaanza, wanaachana na kazi then wanapumzika, Ijumaa hii Agnes alikuwa bado yuko ofisini anamalizia vimeo vyake, Wenzake walikuwa washatoka wanaelekea Kidimbwi kula bata.. . Agness akawa bado anapambana na hesabu zikae...
  4. Samatime Magari

    🚨 Mazda Verisa aka Dogo Janja

    Verisa amekua kwenye uzalishaji 2004-2015 na ni moja ya gari ndogo ya kitofauti. Huko Japan wanakiita master of deception yani kukiwa na wageni hakikombi ukoko wa uji kwenye sufuria ila wageni wakiondoka kinalamba kabisa, ka vizuri twende pamoja utanielewa tu.. . Verisa kimuonekana amekaa...
  5. Samatime Magari

    🚨 Toyota Rav 4 Miss TZ moja ya Karata nzuri walizocheza Toyota

    . Rav 4 hii ni generation ya 3 kwa Rav 4 ambayo ina generation 5, Rav 4 Miss Tz Coded XA Imeanza 2005-2012. Na naweza sema ni moya ya gari ambayo imefanikiwa kuwapa watu feeling kama wanaendesha big SUV.. . Kama ile old gari ni ngumu na himilivu aisee ndo maana wakaiita Land Cruiser mtoto na...
  6. Samatime Magari

    Utajuaje Brake Pads za gari yako zimeisha?

    Kuna madereva huwa wao wakishaweka D ndo nitolee mwendo mdundo, unakuta Brake pads zinaisha hajui zinakula disc mpaka inakua nyembamba utafikiri CD. . Sasa Basi nimekuandalia Tips rahisi kwa ufupi kabisa zitakazokusaidia kujua Brake Pads zimeisha na utazijua ndani ya sekunde 60 tu, Kwanza Taa ya...
  7. Samatime Magari

    🚨Shikamoo Mpemba

    . Ilikua December Mwaka jana 2021 Ijumaa Usiku Boni alinitext WhatsApp, Akanambia anatafuta Toyota Harrier ya mkononi Tako la nyani yenye hali nzuri. Akasema budget yake ni Million 18 Net hapandi wala hashuki, akipata white au silver itakua safi.. . Akasema yuko Dodoma ila ikipatikana hata...
  8. Samatime Magari

    🚨 CHEKI HII: Passo inauzwa $ 240, Kama Laki Tano na Nusu tu

    Hii Laki Tano na Nusu ni kwa Pesa ya Mama Samia + usafiri kikipanda meli mpaka bandarini nauli kinalipa $1500 kama Million Tatu na Nusu, Yani nauli ni mara sita ya gharama halisi ya msafiri mwenyewe, kama ni wasee wa ku import manzi unaweza amua kukomaa na mshindi tu... . Kikifika hapo...
  9. Samatime Magari

    🚨Boni akauliza Hivi Mazda Atenza Upatikanaji wa Spear na Body parts ukoje, wajumbe wakamjibu Dunia ishakua Kijiji we nunua tu usiwaze..

    Hili jibu alipewa Bonilove wakati anataka kununua Mazda Atenza na Boni Bila hiyana akavuta mzigo na picha ndo likaanzia hapa,.. . Boni ni mkazi wa makao makuu ya nchi wenyewe wanapaita Dodoma na ni mmoja wa wasirikali waliotoka Dar wakaenda Dom Kikazi, Ni kijana flani mtu wa maji, misosi na...
  10. Samatime Magari

    🚗 IST ilivyoleta kizaa zaa Coco Beach

    Siku moja miaka ya nyuma kidogo Jamaa mmoja aliingia pale Coco beach mida ya mchana na IST yake, sasa alipofika alikuta parking imejaa ila katika kutafuta jamaa wa parking akamuita, Kulikua na spot moja kwenye mchanga mchanga na kulikua na gari za juu zimepark pale.. . Yule jamaa wa parking...
  11. Samatime Magari

    ⛽Hivi Ushawahi kuazima gari au umenunua gari halafu hujui pa kuwekea mafuta [fuel tank cap] ni upande gani?

    Yani unaingia kituoni unapark gari uwekewe mafuta unajikuta umegeuza pump iko kulia wewe umeweka gari kushoto, Fuel attendant anakuona kama dish lako linayumba hivi hafu hakuelewi elewi. . Kuna wale wasee huwa hawataki aibu ndogo ndogo huwa wanashuka wanachungulia kwanza, Yani kabla hajafika...
  12. Samatime Magari

    🚨Subaru Trezia a.k.a "treasure"

    Mnamo mwaka 2008 kwenye Bar flani Japan mitaa ya Shibuya Maboss wawili walikua wanamwagilia moyo, Hawa ni [Ikuro Sugawara wa Toyota na Teiko Kudo wa Subaru] wakiwa na wapenzi zao.. . Wakiwa wanamwagilia moyo wapenzi wao wakawa wanabishana, mabishano yalikua kuhusu gari nzuri kati ya Toyota...
  13. Samatime Magari

    Mark 2 Grande Gx 110 aka Jini Mkata Kamba

    . Hii ni moja ya sedan za Toyota nzuri kuwahi kutokea, huyu na Crown ni kama wanashare Baba sema Mama tofauti, Hii ndo zile gari unasikiaga zinakopa speed yani zinafika 180 hafu mshale unaenda mbele zaidi, kaa vizuri ule madini.. . Mark II kama Mark II ina generation 9 ni gari flani old school...
  14. Samatime Magari

    Nissan X Trail aka Kimeo

    Samahani kwa kuita gari yako pendwa Kimeo ila twende pamoja utanielewa huko mbele, Kaa vizuri andaa Juice yako bariiidii ule MADINI.. . X trail ni moja ya SUV [compact crossover] ya Kijapan iliyoingia sokoni November 2000, Ikiwaa ni crossover SUV ya Kwanza kutoka Nissan. Nissan X trail mpaka...
  15. Samatime Magari

    🚨 Mitsubishi Outlander a.k.a Kenge kwenye msafara wa Mamba

    . Mitsubishi Outlander ni compact crossover [medium sized] SUV inayotengenezwa na kampuni ya kijapan ya Mitsubishi Motors, Mwanzoni ilikua inajulikana kama Mitsubishi Airtrek ilipokua introduced Japan mwaka 2001.. . Mpaka sasa Outlander ina generation 4, Generation ya 1 ikianza [2001-2005]...
  16. Samatime Magari

    Nikupe siri kidogo ya Kudumisha Maisha ya AC ya gari yako na Maisha yako Binafsi

    Kwenye mfumo wa AC kuna kitu kinaitwa Cabin Air Filter, Hichi kifaa kinasaidia upate hewa safi kwa kuchuja vumbi, uchafu na chochote kisichotakiwa kufika ndani ya gari[harmful pollutants]. . Sasa watu wengi hatukijui so huwa kinakaa kinajaa uchafu kinaziba au kinafanya upenyo wa hewa kuwa wa...
  17. Samatime Magari

    🚨ONYO: Ukinunua gari used kabadilishe Jina

    Ni Mwishoni mwa mwaka 2021 Kipindi cha sikukuu Kabla hatujaupokea mwaka Kimario alinipigia simu asubuhi asubuhi akaniambia kuna issue very sensitive anahitaji msaada wangu, Nilijaribu kudadisi issue ni nini akaniambia ni muhimu tuonane kwanza ndio ataniambia. . Alisisitiza issue ni sensitive...
  18. Samatime Magari

    Yajue madhara ya kutumia Maji kwenye Radiator [Rejeta]

    Kumiliki gari na kumaintain gari ni vitu viwili tofauti, ndo maana unaweza kuta mtu ananunua gari kwa furaha anafanya na sherehe mambo ya maintenance yakianza inakua balaa.. . Unaanza kuona gari kama JINI Kabula, Sasa Leo nataka tuguse kidogo issue ya kutumia maji ya Bomba [tap water]katika...
  19. Samatime Magari

    NAITAMBULISHA Kwako Vitz ya Mjerumani BMW Series 1

    . BMW Series 1 [Coded E87] ni moja ya subcompact executive cars inayotengenezwa na BMW toka kwa 2004 ikitokana na BMW 3 Series Compact, Series 1 tunasema ni solid athletic design [ngumu yenye umbo la sport]... . Features za hii gari imeifanya kuwa moja ya gari ndogo nzuri imara na inayovutia...
  20. Samatime Magari

    Jua tofauti ya Unleaded na Super/Premium Unleaded Petrol

    Nakujuza Ili siku nyingine ukiona hii usitoe macho kama Jamaa wa Masters aliyeapply kazi ya sensa na akakosa, kabla hatujafika mbali unatakiwa kujua unleaded petrol ni petrol isiyokuwa na kiambata [additive] cha lead... . Hiki ni kiambata ambacho kilikuwa kinaongezwa kwenye Petrol ili kuongeza...
Back
Top Bottom