Search results

  1. Mnyanyembe wa Mboka

    TRA, E-filing System inarudisha nyuma kasi ya uchumi wa Biashara

    Straight to the point, mfumo wa taarifa za marejesho (e-filing System) unarudisha nyuma kasi ya maendeleo ya uchumi na kuikosesha serekali mapato kwa wakati. Mfumo huo umezidiwa nguvu na umekua kero kubwa inayorudisha nyuma maendeleo ya uchumi wa biashara hasa kwa wafanyabiashara wadogo...
  2. Mnyanyembe wa Mboka

    Hii sasa imekuwa kero! TRA, chukueni hatua kurekebisha tatizo la taarifa za marejesho mtandaoni (e-Filling Returns)

    Jamani watu wa mamlaka tafadhalini hebu chukueni hatua za makusudi kurekebisha hili tatizo la taarifa za marejesho mtandaoni (e-Filling Returns) Kusema ukweli imekuwa kero isiyovumilika tena, inapofika tarehe za marejesho mtandao unazidiwa inaweza kuchukua zaidi ya siku moja mpaka 5 pengine...
  3. Mnyanyembe wa Mboka

    Binafsi kuanzia sasa siweki tena pesa benki

    Mwigulu Nchemba! Raisi wa Mawe na Majabali ya milimani(Ng'ongo) utabaki kuwa Raisi wa Ng'ongo nakuombea upate pigo urudi uswahilini. Ama kweli Mungu huwa anamnusuru binadamu kwa njia anazozijua yeye, eti wewe ndio ulitaka uwe Raisi wa watanzania! [emoji849][emoji849][emoji849] Hivi Mwigulu...
  4. Mnyanyembe wa Mboka

    Vifo vya Samaki Mto Mara: Mvua ilitibua tope na Mafuta yanayoelea ni mafuta ya mimea iliyo chini ya Mto Mara

    Hii ndio hali ilivyo kwasasa to cut the story short ni yaleyale hayana tofauti ile riporti ya yule mwananchi mwenzetu aliepoteaga halafu akaokotwa viwanja vya Gymkhana Club Japo badae alijistukia akasema kweli watanzania sio wajinga baada ya kuona kavurunda. Sasa tumerudi tena kulekule...
  5. Mnyanyembe wa Mboka

    Madhara ya dua la kuku kwa mwewe: Kuku na yeye ni kiumbe wa Mungu

    Ndugu zangu, mnakumbuka hadithi za MAZIMWI WALA WATU na kelele za AGANO JIPYA? Hadithi hii nilihadithiwa na Baba. Katika hadithi hiyo alisikika mtu mmoja akisema Enyi mateka wenzangu kwenye nchi ya MAZIMWI WALA WATU wenye uchu wa damu zetu, tusikate tamaa MUNGU anatuona na kutusikia tuzidi...
  6. Mnyanyembe wa Mboka

    Historia ya mnara wa babeli na siasa zetu za utu wa mtu katika ufalme wa Mungu

    Ni kwamba sote tunajua au tumesha sikia kuhusu habari ya MNARA wa BABELI aidha kutoka kwenye vitabu au makongamano ya DINI Katika historia hilo lipo wazi kuwa mnara ule ulijengwa kwa nia ya kuwawezesha watu wa BABELI kufika MBINGUNI aidha labda kwa lengo la kuweka alama ili wasipoteane baada ya...
  7. Mnyanyembe wa Mboka

    Historia ya mnara wa babeli na jinsi corona ilivyowatesa watu wa zama zao

    Ilipofikia watu wa BABELI walupokuwa serious kuujenga MNARA uwafikishe MBINGUNI ili waongeze himaya ya utawala waweze kuwatawala mpaka MALAIKA huko MBINGUNI, hapo MUNGU akaona hii ni kufuru imefika kumzidi hata SHETANI. Maana SHETANI mwenyewe alibaki anashangaa. Kilichofuatia MUNGU MKUU...
  8. Mnyanyembe wa Mboka

    Kaburi la Sokoine: Mapambio ya Legacy ya Hayati Magufuli

    Nakumbuka dakawa paliwekwa walinzi wa kulinda kaburi la aliejulikana kama jabari la kimasai E.M. Sokoine na watu waliimba sana mapambio Cha ajabu leo hii hata kupaka rangi kaburi lake wamesahau pamechakaa yamekua malisho ya Ng'ombe. Yangu macho nasubiri hichi kiherehere cha legacy ya JPM baada...
  9. Mnyanyembe wa Mboka

    UVCCM wanahangaika kuchanganya maji na mafuta, Haiwezekani!

    Salam kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KAZI IENDELEE !!! Ama baada ya salam waswahili wanasema Muungwa akivuliwa nguo huchutama ... !!! UVCCM chutameni kwanza na muinamishe vichwa chini Nawasihi msiwe kama M/Kiti wenu mtazidi kujidhalilisha kwa unafiki usio na uelekeo, tafuteni uelekeo...
  10. Mnyanyembe wa Mboka

    Hili la Nyungu Season 3 kwani Season 2 ilikuwa lini?

    Samamahni ninejaribu kuuliza kupitia nyuzi husika sijapata wa kunijibu. Nimeona niulize kwa uzi labda ntapata majibu ya wachangiaji kuna kampeni imeanzishwa kwa kauli mbiu ya Nyungu Season 3. Je, Season 2 ilikuwa lini? Hamasa ya kampeni hiyo nimeiona jana kupitia picha ya mtu ambae ni kiongozi...
  11. Mnyanyembe wa Mboka

    Mrisho Gambo na Sinema za Amsha-Amsha

    Sasa tunaanza kushuhudia watu wanajitekenya wenyewe na kujichekesha wenyewe, ni kama watu wanalazimisha hamasa ila kama ilivyo ada hamasa ya kutunga haiwezi kuonekana kamwe na itabaki kuwa sinema tu kama sinema zingine. Watendaji kama wamepoteza mvuto, sikwambii hao wafuatiliaji ndio kabisa...
  12. Mnyanyembe wa Mboka

    Kumbe kwenye Siasa kuna "KUYABHULA"

    KUYABHULA ni neno la kinyamwezi linalomaanisha namna mchawi anavyojiumbua mwenyewe baada ya kula nyama ya mtu. Nilidhani KUYABHULA hutokea baina ya mtu na mtu kumbe hata kisiasa mchawi anaweza KUYABHULA. Nawaona CCM wanavyo YABHULA kila kukicha baada ya kula nyama mtu kwa kuiba kura katika...
  13. Mnyanyembe wa Mboka

    Imani ya Utawala kwa Mtiririko wa Tabia za Namba

    1. AWAMU YA KWANZA: Mtakumbuka awamu ya kwanza katika utawala wa Mwl. J.K Nyerere inchi ilipitia maisha magumu sana kwa sababu ulikua ndio mwanzo hali ya maisha na mfumo wa utawala ilisukumwa na kauli ya "UJAMAA NA KUJITEGEMEA" Kama wahenga wasemavyo " ... mwanzo mgumu ..." Hivyo kwa sababu...
  14. Mnyanyembe wa Mboka

    Wasafi TV: Ubora wa habari unaanzia Chumba cha Habari

    Chombo kwa hewa nyie ni chombo kikubwa sana cha habari na tunaamini katika ubora wa habari tunazopata kutoka kwenu hasa michezo, tafadhali hebu wekeni mambo sawa achaneni na mafundi wa mtaani. Nafikiri picha inajieleza.
  15. Mnyanyembe wa Mboka

    Je, ni nini asili, sababu, chanzo cha Jina la Rufita?

    Mimi ni mkazi, mzaliwa na mwenyeji wa mkoa wa Tabora kutokea sehemu za Igalula Mkoani kwetu kuna hili jina la RUFITA: Jina hili limedhihiri katika maeneo/vitu vitatu kwa miaka mingi sana. Kuna shule ya msingi inaitwa RUFITA, pia kuna mtaa maarufu sana kwa miaka mingi kwa jina rasmi unaitwa...
  16. Mnyanyembe wa Mboka

    XENOPHOBIA: Afrika Kupeperusha Bendera za Mabalozi China ni Kujivua Nguo Mchana Kweupe

    Kichwa cha habari kinajieleza, kwa hapa kwetu mpaka sasa sijamsikia Kabudi akiongea lolote juu ya kadhia hii as if jambo hili halina athari yeyote ya ndani ya nchi kwa mahusiano ya nje. Japo nimemsikia Balozi wa awamu ya 5 katika serikali ya JPM akisistiza urafiki na China wakati dhahiri...
  17. Mnyanyembe wa Mboka

    Sasa sio tu kuligawa taifa na kujenga matabaka miongo mwa wananchi bali sasa ni kuanza kugombanisha na kufitinisha familia za wananchi

    Jamani wale Ndg. Zetu sasa wamekula ya mbuzi na kuota mapembe kama ya yule muasi alie washawishi wale binadamu wa kwanza kula tunda lile kwa mara ya kwanza kbs. Kama ilivyo ada na tabia ya mshawishi yule kadiri anavyofanikiwa katika uovu wake ambao kwake ni sifa kuu kutika kushindana na muumba...
  18. Mnyanyembe wa Mboka

    NHIF mnatuvuruga wananchi mbona kama hamjielewi tatizo ni nini?

    Tuliambiwa vifurushi vya zamani vimefutwa kabisa ukaja utaratibu wa virushi vipya ambavyo Ni 1. Najali Afya 2. Wekeza Afya 3. Timiza Afya Lakini baada muda mchache navyo hivyo vimesitishwa kwa Sasa mpaka hapo tutakapo tangaziwa tena ambapo hatijui Ni lini tangazo litatoka Kwa kifupi kwa Sasa...
  19. Mnyanyembe wa Mboka

    CCM Someni: Ufunuo wa kijani 8: 7-10

    UFUNUO WA KIJANI 8: 7-10 7. Na alipotokea kiongozi katika nafasi ile ya walio ongoza kisha akawanajisi na kuwadharaulisha mbele ya jamii yao na familia zao kwa kuwaita wapumbavu, kisha wakajawa na hasira kwa maumivu ya kidonda cha kudharauliwa, kubezwa na kunyanyaswa kwa kutukanwa kuwa...
  20. Mnyanyembe wa Mboka

    CCM: "Muda na Wakati" Vimeanza Kutoa Majibu

    WAKATI ni kipindi cha MUDA fulani mpaka MUDA fulani, kwa hiyo basi MUDA Ni sehemu ya WAKATI T. Lissu aliwahi kusema kwa kumaanisha kuwa CCM wakimalizana na sisi wataanza kumalizana wao kwa wao kwa sababu hakuna alie salama katika awamu hii lakini hawakumuelewa ... Tulishuhudia jinsi UBATIZO...
Back
Top Bottom