Nenda mahakamani ya mwanzo , ukifika pale wapo wale waheshimiwa yaani wapo tu, mwombe mmoja pembeni uongee naye akushauri, hope utamwachia ya ku brash viatu
Asante Mheshimiwa kwa kujali.
Nilishangaa kusoma malalako kwako wakati nakufahamu unavyowajibika haraka, inawezekana kulikuwa na namna ya kuficha habari hivyo muhusika akapewe watu fake.
Natamani uwe Mbunge wa jimbo la JF. 🤣🤣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.