Search results

  1. N

    Maoni ya wananchi: Suluhu ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam

    Si UCLAS tu yenye suluhu za traffic jam pia hata UDSM nk. Weak linkages kati ya tafiti za vyuo na governance ya serikali inapelekea udumavu wa maendeleo yetu. Pili kupoteza masaa ya wakati wa kufanya kazi kwa ajili ya movements za hapa na pale ni ongezeko la umasikini na kero kazini hadi kwenye...
  2. N

    Foleni za barabarani serikali ilaumiwe kwa 97%

    Inasadikika kuna study za kutosha zilizofanywa na Ardhi university na pia UDSM ziko makabatini zote hizi zina majibu yakinifu ya kulipunguza tatizo hili kama si kulimaliza. Just imagine ili mtu afike kazini anatakiwa aondoke saa10 alfajiri na akijaliwa kuwahi ni masaa3, jioni safari yake kurudi...
  3. N

    Mnyika; njoo kimara haraka

    Bila hata ya upendeleo wa chama au mtu, kwa hakika mbunge wetu yuko mbali na wapiga kura wake. @50+ Kwembe na Kibamba tunanunua maji ya madumu, barabara za mradi wa viwanja Kwembe hazijaandaliwa, wananchi wanajihangaikia tu. We want effective constituency representation that touches the lives of...
  4. N

    Kingunge: Wanaomtukana Warioba wanaitukana CCM

    Mzee Kingunge you have said it all, nilikuwa nasubiri kwa hamu atokee kiongozi wallao 1 tu atamke kuwa wale wote waliorusha maneno machafu kwa tume ya Waryoba kwa kweli hawakuwa na haki ya kufanya hivyo kwani tume hii imeteuliwa na Mheshimiwa Rais akiwa kazingatia weledi wa wajumbe wote. Kama...
  5. N

    Mashine ya kukatia na kusagia nyama inahitajika

    Andika contacts zako au email
  6. N

    Orodha ya Majina ya Wajumbe wa Bunge la Katiba hii hapa

    Kila la kheri wateule katuwakilisheni kwa maslahi ya taifa
  7. N

    Ujenzi kwa tekinolojia ya hydraform ni bora na madhubuti.

    Piga namba 0767338767 utapata tofali za hydraform za kiwango. Hawa wako kibamba kwa Mangi barabarani karibu na kituo cha maji. DAWASCO. Kila chumba kinatumia wastani wa tofali 800 za inch 9 kwa 5.
  8. N

    Waziri Muhongo na dharau kwa wawekezaji wazalendo

    Sera ya madini iwe shirikishi, watz vichwa wapo na taasisi za kufanikisha azma ya undwaji wa sera nzuri na shirikishi zipo, punguza kidogo safari ukae na wadau utafanikisha tu. Swallow your pride for the sake of Tanzaniansx first then wengine watafuata. Cv yako nzuri ila itumie kwa manufaa ya...
  9. N

    Lukuvi na jumba la zaidi ya 1 b tsh

    When poverty is shared evenly no one would question this. I guess Si lake ni mwadilifu sana Mhesh by his composure
  10. N

    Waziri Muhongo na dharau kwa wawekezaji wazalendo

    My take Prof angalia kauli zako zitakubomoa kisiasa, ulipata position hio kutokana na crisis ya leadership iliokuwapo, hujahenya kupata ticket ya kuwa waziri wewe. Mhesh rais amekula chakula siku chache zilizopita na TPSF na akaahidi serkali yake kutoa ushirikiano wa Hali ya juu,vivo waziri...
  11. N

    Ushuhuda Airtel Yatosha-Wizi mtupu

    Kwa hakika si airtel tu Vodacom ndo zaidi, kwanza huwezi kujirusha kama huna extra salio la shs 1000, pili hizo sms wanazodai za bure ndizo wanakata kwenye salio lako kero kubwa ni pale unapodanganywa umezawadiwa elfu1 kumbe sio. Pasipo chombo cha kuwa monitor mwenendo wa kampuni hizi tutaibiwa...
  12. N

    Ugomvi wa JK na Kagame kuiathiri vibaya Tanzania kiuchumi. Rwanda, Uganda kutumia bandari ya Mombasa

    Bandari yetu iongeze ufanisi na kupunguza milolongo isiyo na tija kutawarudisha hawa jamaa haraka kwani mwisho wa siku kila biashara inahitaji gharama nafuu mapato zaidi. Kwa upande mwingine wivu ama chuki ni sehemu ya mataifa mengi ya kiafrika na hata huko ulaya, bila kutafuna maneno nchi...
  13. N

    President Obama's Schedule in Senegal, South Africa and Tanzania

    So lucky and blessed to have Obama here; we would like to hear about the outcomes of this noble visit at some point to quench our thirst on our expectations of a better and internationally recognized Tz.
  14. N

    Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Mi nadhani kama kweli Team ya NHC ilifika wizarani na ikapata maswali kama hayo ambayo ni ya msingi sana; basi tuone majibu yake then tutoe maoni yetu hapo. Vifo vya wananchi ni very painful hakuna replacement hata kidogo ya watu hao; hasara ya jengo pia ni painful kwa local or foreign investor...
  15. N

    This is serious sasa!

    If all leaders do not experience the traffic jam then none of them will be part of the solution am afraid
  16. N

    I apparently it's women's day, so what do women do on women's day aside from being women?

    Indeed women will remain women and men will remain men however the quest for gender equality will continue
  17. N

    Wajumbe wapya wa Kamati Kuu CCM hawa hapa...

    Timu nzuri ila kwanini regional distribution ingeangaliwa ili isaidie kuimarisha chama huko mikoani kinyume cha mkoa mmoja au kanda kuwa na zaidi ya mmoja? Deal done just thinking aloud
  18. N

    Wajumbe wapya wa Kamati Kuu CCM hawa hapa...

    Naamini watakuja na trans-formative ideas for the Party ili kuileta mabadiliko yaendanayo na mahitaji ya wanachama na wananchi kwa ujumla
  19. N

    Wakuu wa wilaya wakimbia vituo; PINDA ABAINI ATISHIA KUWATIMUA KAZI

    Naamini hakuna haja ya kutangaza tishio kama hilo kwani akitaka kuwafahamu wale wote wasioishi kwenye maeneo yao hachukui hata nusu saa, hapo ndipo angetekeleza adhabu anayoitaka. Njia ndefu za kurekebisha mienendo ya watumishi hata pale pasipohitajika si lazima. Naungana pia na wale wanaoshauri...
  20. N

    Ushauri wa bure kwa Mhe. Lowassa: Ili kuilinda Heshima yako, Jiondoe kugombea NEC ya CCM!

    Tusubiri matokeo ya Tume ya Katiba na fursa za kugombea urais zitakavyokuwa kwa maana njia si moja tu kwa hivo kuanguka kwa Sumaye na hofu ya EL si mwisho wa mchakato huu. Nitaanza kuweka msimamo wangu baada ya chaguzi zote za CCM kumalizika na pia kuona matokeo ya Tume ya Uchaguzi. Pasco na...
Back
Top Bottom