Sijaelewa mlalamikaji kama anataka vituo vya mafuta viwe nje ya miji au analalamikia vituo kuwa karibu. Au hata anasema mabadiliko ya hati ya matumizi hayaruhusiwi.
Analalamika zaidi kama vile hataki ushindani kuliko kuonesha taratibu hazikufuatwa!!
Kujifunza kuchukua pesa za serikali kumpatia mtu? Ninaona kula lawama kwa Chadema, au kwa kuwa hawatangazi wanachofanya kwa Jay?? Ni kweli unataka Chadema ichangie taasisi binafsi ya Jay? Vipi na taasisi nyingine za watu wengine? Nazo pia wachangie? Watafute nyumba upanga halafu walipoe pango...
Swali zuri kwa sababu naona jamaa kaelezea maana tu ya jambo zima bila kufananua faida za credit yenyewe.
Kiasi cha gesi ukaa kinachonyonywa na misitu kitapewa thamani ya kifedha na fedha hizo hazitakuwa fedha za kukabidhiwa serikali bali credit kwa bidhaa za nishati zinazozalisha gesi ya ukaa...
Huo ndio ukweli!! Safari, makongamano, warsha, mafunzo ndio vyanzo vikuu vya matumizi makubwa ya serikali.
Hatujaweza kuthibiti matumizi, na ikiendelea hivi - hakutakuwa na mapato yatakayoweza kutuletea maendeleo!!!
Sini ilitumika kama hadaa toka mkoloni anajiandaa kutukalia. Itaendelea kutumika kwa hadaa na watu wanaotafuta public sympathy!
Tukumbushane! Wakati wa mambo ya bandari - viongozi wa dini waliambiwa siasa na siasa zisichanganywe! Leo ni hao viongozi wa dini wakitumika kuombea shughuli za...
Kwani hakuna idadi ya juu kabisa ya kujisahihisha halafu tukasema basi? Au ni saba mara sabini? Nisiambiwe hapo nimechanganya siasa na dini!!
Ukweli ni huu - imeshaonekana wazi hata tunapopigwa hakuna anayeadhibiwa, watu wetu wenyewe wameweka mikataba yenye masharti dhaifu ili kutengeneza...
Kwani jamaa ndio karudishwa kazini? Hivi vijana wengine uhovyo wa kiwango hiko mnaupata wapi? Unarukia jambo nusu katika kutaka kuelezea jingine kwa ukamilifu. Kwa akili yako unaona hili linafanana hata na kesi ya Mbowe?? Unaona Yona na Mramba waliopotezea 232B ni sawa wakahukumiwa kifungo cha...
Mkuu, uko na kiwango cha kutojua na kujipendekeza cha kiwango cha juu sana!! Katika hali ya kawaida kabisa, unawezaje kulinganisha embe na chungwa na kusema moja ji tamu kuliko lingine?? Nilidhani ungekuwa na ufahamu na ukalinganisha embe ya Tabora na ya Morogoro, kwa mfano! Kwq mantiki...
Unafiki wa serikali ndio chanzo cha matatizo! Inakubali uwepo wa dini mbali na hata kufikia kuzisajiri. Inazitumia katika maendeleo ya jamii. Inazitumia katika chaguzi. Serikali inatumia “muogopeni Mungu”. Inaita hata viongozi wa dini katika shughuli zake. Dini nazo zinaita viingozi wa serikali...
Ni kama ukienda kucheza miaka mitatu SAUTI. Walipoenda walienda kama TEC, BAKWATA na CCT. Hawakwenda kama taasisi moja bali tatu. Unatarajia kwa utofauti wao pia watoe maoni yao kwa njia moja, wakati mmoja, namna moja?? Huku wakiwa hawana ushawishi wa aina moja, msukumo mmoja na ujasiri wa aina...
Uko sahihi kuwa hawawezi kuipangia serikali cha kufanya! Ninaamini utasema hivo hivo kwa kikundi chochote, hata wananchi wenyewe!! Na msiwatumie kuzungumzia uasherati, ushoga, kuomba mvua, sala wakati wa shughuli nk. Hili ni moja tu kati ya makundi mengi ya watu. Haki hii ya kutoa maoni ni yao...
Kaka Paskali, bado ninataka kuwa na heshima na wewe. Mada yako ni ndefu sana lakini nitajikita kwenye kichwa cha habari. Nauliza tu, ndio hawa hawa ambao mvua ikipotea huwa mnawaita kufanya sala?? Ndio hawa mnawatumia katika kuelimisha jamii kuhusu ushoga, uasherati na hofu ya Mungu?? Ndio hawa...
Hii ndio husababisha mkwamo! Hata katika wabaya, kuna mwenye nafuu. Ninatamani anguko la CCM na mwingine achukue uongozi. Bila mwingine kuchukua, CCM haitajifunza wala mwingine hata kama atakuwa na uwezo kuliko CCM naye pia hatahifunza. Akiondoka CCM atarekebisha kutaka kurudi, kadhalika...
Mleta mada anaweza kuwa sahihi kutaka Lissu alete ushahidi wa au IGA au/na HGA kuwa na vifungu vinavoonesha mgawanyo, muda wa mkataba nk.
Lakini, kwa kuwa nia yake ni kutaka tupate kuona - naye pia ana wajibu wa kuleta kikataba ya IGA na HGA ambayo nchi yetu iliwahi kuingia ikiwa haina mambo...
Sijaona nia yako ya kumpongeza Rais. Je ni sahihi lawama za TTCL, ATCL, TRL na wengine kufanya vibaya pia zikaelekezwa kwa Rais? Au ni sifa tu ndio kwa Rais na lawama zinyamaziwe au zipelekwe kwa wakurugenzi wakuu??
Ninadhani pongezi zipelekwe kwa watendaji - Tanesco management na board!!
Hii...
Nilidhani unakusudia kunionesha Tanzania haikuhudhuria huu mkutano. Official photos zinamuonesha Kassim Majaliwa akiwa nyuma ya Putin!! Rais kawakilishwa!!!
Ntarudia tena - ngano sio chakula kikuu cha watanzania. Kwa hiyo kwa kuwa Tanzania si moja ya nchi sita zitazopatiwa ngano bure, fao pekee...
Ngano haijawahi kuwa chakula kikuu sehemu yoyote Tanzania!! Kama Putin mwamba atoe mafuta tena kwa mpaka vita ikiisha!!
Ni ujinga sana kudanganywa kwa chakula hasa kama chakula chenyewe sio kikuu (staple).
Tumeingia na agent (sio hata waziri) na agent atafanya hivo “individually” (yaani sio kama taasisi). Huku sisi tuna sahihi ya Rais kule wana agent!
Inasikitisha sana!!
Kusubiri mpaka kitu kitokee - ndio huitwa “kukosa maono”. Wengi wanaopinga wanataka kuona matarajio katika units ili kupima matarajio iwe rahisi. Kukosekana kwa units ni shida kubwa. Hakuna mkataba mzuri unaokosa units!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.