Search results

  1. Mkenazi

    Prof Kabudi: Ufafanuzi kuhusu makubaliano kati ya Serikali na Barrick

    MIMI SIJUI KIINGEREZA VIZURI LAKINI MNAOELEWA PITIENI HII HABARI ILIYOTOLEWA NA MWENYEKITI MWENZA HUKO TORONTO JE ZINAFANANA? Barrick Comments on Proposed Framework for Acacia Mining plc Operations in Tanzania PDF | All amounts expressed in U.S. dollars TORONTO, October 19, 2017 —Barrick Gold...
  2. Mkenazi

    Polisi Wavamia Mkutano wa Halima Mdee na Kuvunja Vibanda pamoja na Vifaa vya Matanganzo

    Kuna jamaa yangu yuko eneo la tukio anasema poilisi wametumia mabomu ya kutoa machozi muda huu wa kati ya saa nane na tisa kutawanya umati wa watu waliokuwa wameanza kusikiliza hotuba za akina Mdee, Watu wanakooa sana sababu ya moshi wa mabomu, Ilikuwa ni Isingiro wilaya ya Kyerwa.
  3. Mkenazi

    Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Attachment in pdf format hii hapa
  4. Mkenazi

    CCM Tuwe Macho na Mbinu Mpya ya CHADEMA

    Hii ni mbinu nyingine ya CCM ya kutaka kibaraka wao abakizwe kwenye chama ili wazidi kumtumia. Maana wanaona akifukuzwa watakuwa wamefail mpango wao akibakizwa kwa propaganda hizi kwao ni kicheko. Dawa ni moja tu ZZk afukuzwe kama ni kweli jembe aanzishe chama chake ambapo atakiendesha kwa mfumo...
  5. Mkenazi

    Chadema tumieni kanuni ya " pain pleasure principle"

    The secret of success is learning how to use pain and pleasure instead of having pain and pleasure use you. If you do that, you're in control of your life. If you don't, life controls you." ILI CHADEMA MFANIKIWE INAWABIDI MSIRUDI NYUMA KATIKA HATUA MLIYOFIKIA, KUBALINI MAUMIVU YA MUDA YA...
  6. Mkenazi

    CHADEMA Mwanza walaani upotoshaji unaofanywa na maadui wa chama...

    Wale walikuwa vifaranga kwa hiyo CCM walijua mama yao bado yuko kazini, sasa mama anatoswa ndio maana povu linawatoka. mpango mkakati umeharibiwa. Hata asiyejua masuala ya siasa atajua ZZK alikuwa kibaraka wao (CCM). Maana walijua akiishaukwaa uenyeketi wa chama itakuwa mission complete. Kama...
  7. Mkenazi

    Wakati wanasiasa wanaitana wasaliti (TRAITOR) Tuone wasaliti 10 mashuhuri duniani katika historia.

    10 of History's Most Notorious Traitorsby Laurie L. Dove Basketball Pictures After basketball star LeBron James returned to Cleveland for the first time since his defection to the Miami Heat, Cavaliers fans let him know how they really felt about him. © Damon Higgins/ZUMA Press/Corbis 10 of...
  8. Mkenazi

    Wakati wanasiasa wanaitana wasaliti (TRAITOR) Tuone wasaliti 10 mashuhuri duniani katika historia.

    Msaliti ni nani? - Kupitia hii historia utaweza kumjua msaliti na anavyofanya kazi. kwake muda si kitu hata akitumia miaka 20 au 30 hata 100 ili mradi anatimiza lengo lake. 10 of History's Most Notorious Traitorsby Laurie L. Dove Basketball Pictures After basketball star LeBron James returned...
  9. Mkenazi

    Weka taarifa yako toka Mkoani, wilayani,tarafa,Kata, Vijiji na Vitonoji hali ikoje huko?

    Huku ni furaha na nderemo wanasema big up kamati kuu Chadema. tena nilikuwa nawauliza vijana kuona wanasemaje kuhusu kijana mwenzao, wanasema maamuzi ya cc ni sahihi kabisa.
  10. Mkenazi

    Nani Naibu Katibu Mkuu CHADEMA mtarajiwa?

    Ongezea Kamanda Mawazo, Prof. Abdalah Safari
  11. Mkenazi

    No Ambassador Lu Yuoqing, this is totally wrong and unacceptable!

    Pia Ikumbukwe kuwa BOMU lililotumika kwenye hitimisho la Mkutano wa CHADEMA Arusha lilitoka CHINA. Je tunaweza kuamini kuwa walifadhili hiyo kazi (uhalifu)?
  12. Mkenazi

    Ex-Rail Minister in China Gets a Suspended Death Sentence!

    China ex-rail minister given suspended death sentence Liu Zhijun was was dismissed from his ministerial A Chinese court has given former Railways Minister Liu Zhijun a suspended death sentence for corruption and abuse of power, state media report. Liu was accused of accepting bribes totalling...
  13. Mkenazi

    Obama: There will be time to test your faith, but no matter how old you grow...

    Rais Obama akiongea na wanafunzi huko SA 5 things Obama wants young South Africans to know - CNN.com "There will be time to test your faith, but no matter how old you grow, I say ... don't lose those qualities of youth: your imagination, your optimism, your idealism, 'cause the future of this...
  14. Mkenazi

    CHADEMA "achaneni" na Dr.Slaa (Ushauri)

    Chui katika ngozi ya kondoo.
  15. Mkenazi

    Kuna haja ya kupingana na Mbowe kwa baadhi ya mambo

    Mbona Ana Makinda (Speaker) aliacha Bunge akaenda Arusha wakati wa Bomu la Olasti?. Kwa nini zamu hii hakwenda? Ilibidi Mbowe na timu yake waende.
  16. Mkenazi

    Tabia ya chadema kukumbatia na kuwatetea wahalifu kwa ku pre empty mahakama

    Ungekuwa hujajiunga siku 12 zilizopita na kuwa na post nyingi hiyo ningeweka mawazo yangu.
  17. Mkenazi

    Je, WEWE umesoma RASIMU YOTE (siyo sehemu) ya katiba ya JMT ya 2013?

    Soft copy mbona zinapatikana maeneo mengi tu hebu nijaribu kukuwekea hapa
  18. Mkenazi

    J.M.Kikwete, B.W.Mkapa, A.H.Mwinyi ni ruksa kugombea Uras wa Muungano Kwenye muundo wa Serikali 3

    Ok, pengine mko sahii kwani maraisi walio tangulia walikuwa ni wa Muungano katika serikali mbili, ndio uzuri wa kuchangia mawazo. Lakini swali kwa nini tunatafuta katiba ya serikali ya tatu wakati mdhirika mmjawapo (Tanzania bara-Tanganyika) hana katiba?
  19. Mkenazi

    J.M.Kikwete, B.W.Mkapa, A.H.Mwinyi ni ruksa kugombea Uras wa Muungano Kwenye muundo wa Serikali 3

    Ndugu wadau hii imekaaje? au ndiyo siri ya kutaka serikali tatu? SURA YA SABA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO SEHEMU YA KWANZA SERIKALI, RAIS NA MAKAMU WA RAIS Haki ya kuchaguli wa tena 76 .-(1) Mtu ambaye ni Rais anaweza kuchaguliwa tena kushika kiti hicho kwa kipindi kingine cha miaka...
Back
Top Bottom