Search results

  1. ububudu

    Naweza kutumia Mkataba wa mauziano ya Serikali ya Mtaa kupata hati miliki ya kiwanja?

    Nilinunua kiwanja kutoka kwa mmiliki wa awali ila mikataba ya mauziano nilifanya na ndugu yake katika Serikali ya Mtaa. Hii ilikuwa ni baada ya kudhibitisha yeye mwenyewe kwa njia ya simu mbele ya uongozi kuwa atumiwe pesa kwa njia benki alafu mchakato wamauziano nimalizane na nduguye. Hivyo...
  2. ububudu

    Chadema acheni kupigania musicho kiamini.

    Si kweli kwamba chadema ni chama kinachosimamia na kuamini juu ya misingi ya demokrasia. Angalau hata chama tawala pamoja na madhaifu yao lakini wana chembe chembe za kuiishi demokrasia. Hakuna utaratibu ulio wazi unaotumika kumpata mwenyekiti wa chama kama ilivyo kwa ccm. Mbowe ameshikilia...
Back
Top Bottom