Search results

  1. N

    Kafulila, Hamad Rashid..dhambi ya uasi bungeni inawatesa.!

    ...kama mtakumbuka hawa wabunge ndio walikuwa vinara wa uasi dhidi ya cdm kuhusu kambi rasmi bungeni..! Sasa wanakula walichovuna..! Ninamuonea huruma sana kafulila(kijana)..ndani ya miaka 2 umeshahama vyama vitatu(3)...kaka kafulila tuliaaaaaaaaa...kuwa kama mentor wako zitto.!
  2. N

    Picha: Viongozi wa CUF watinga Ikulu leo!

    ...Hivi CDM si walikataa kushiriki mchakato wa kupitisha sheria ya kuunda tume ya Katiba?..na baada ya kupitishwa wakasema watamshauri/mshinikiza Mh. Rais asi-sign??..walipokwenda Ikulu nini kiliwapata mpaka waka-sign makubaliano ambayo hayakuwa na kipengele cha kumzuia Rais asi-sign...
  3. N

    Lowassa ana dhambi nyingine zaidi ya Richmond?

    WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa jana alitoa kile kilichokuwa kikimsibu moyoni mwake kwa muda mrefu na kusema kuwa atashinda vita dhidi yake. Akitumia vifungu vingi vya Biblia, Lowassa ambaye amekuwa katika misukosuko mingi ya kisiasa tangu alipojiuzulu...
  4. N

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    man u 1..man city 6....poleni
  5. N

    Kulikoni mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga kuhamishwa mapema hivi?

    Takribani mwezi mmoja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuteua wakuu wa mikoa wapya, akiwamo Ludovick Mwananzila, aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, sasa amehamishiwa mkoa wa Lindi. Naye Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ally Nassoro Rufunga, amehamishiwa Mkoa wa Shinyanga. Rais Kikwete aliwateua...
  6. N

    TB Jshua ndani ya Ikulu Dar!

    misaada yote ilikuwa inapokelewa Znz kupitia kwa makamu wa pili wa Rais..kwa nn huu umepitia ikulu ya dar..?Tafakari na kesho pia
  7. N

    TB Jshua ndani ya Ikulu Dar!

    Leo mwakilishi wa mtumishi wa Mungu TB JOSHUA ametoa msaada wa Tshs 25mil kusaidia wahanga wa meli...swali langu kwa nini ni ikulu ya Dar na siyo Zanzibar..! ?source: michuziblog.
  8. N

    Bastola ya Aden Rage na CCM

    tuelewane kitu ki1..je kosa la rage ni nn..kutembea nayo au kuionyesha..?
  9. N

    Dalili za ushindi wa CHADEMA kuingia ikulu 2015 waonyeshwa huko Zambia leo

    Kiongozi wa upinzani nchini Zambia mh. Michael Sacha amechaguliwa na kutangazwa mshindi wa Urais nchini humo..Je cc tuko karibu hivyo..? Tunaye Michael Sacha hapa kwetu..?
  10. N

    Kumbe Halima Mdee ni breki ya Pinda.......................

    pinda kafundwa..hawezi kuangalia kifua cha bintiye..!
  11. N

    Kosa la David Mwakyusa ni nini?

    niliridhika na uteuzi..
  12. N

    Kosa la David Mwakyusa ni nini?

    niliridhika na uteuzi wake..!
  13. N

    Rais Kikwete adanganywa tena

    Tunahitaji Rais 2015 atakayetuepusha na matamko yanayopingana kama haya.....wakati mh. Rais jk ametangaza Nyamisisi Pinda anasema hivi...“Hata kama kuna mtu alitaka makao makuu yawe Nyamisisi, kwa kweli haikupaswa hiyo Nyamisisi kuchomekwa hivyo. Hata mngeniuliza mimi makao makuu yawe wapi...
  14. N

    Kosa la David Mwakyusa ni nini?

    Ni kawaida kusikia mh. Rais amefanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri..lakini c kawaida kwa mawaziri makini kutemwa kabisa. Prof. Mwakyusa (daktari wa mwl Nyerere) alitemwa.! jamani kama kuna mtu anadata zake kuwa kosa lake lilikuwa nini mpaka mh. Rais akaamua kummwaga atumwagie..!
  15. N

    JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    ...source TBC1 LIVE KUTOKA BUNGENI....via WAZIRI MKUU.
  16. N

    Tahadhari Tume Teule ya Bunge.!

    Naibu Spika ametangaza kuundwa kwa Tume(Kamati) Teule ya Bunge kuchunguza mchakato wa kurudishwa kwa Jairo kazini na kudhalilishwa kwa Waziri Mkuu pamoja na Bunge kulikofanywa na Katibu Mkuu Kiongozi Bw. Luanjo. Wana JF ninaomba tubainishe sifa za wajumbe wa hiyo kamati/tume maana ninahisi...
  17. N

    Bungeni: Mjadala wa dharura juu ya mgomo wa wauza mafuta

    ....ni kweli mh. Dr Masaburi alisema ni wa Wabunge wa Dar tu..ila Mh. Idd Azani amewaunganisha wabunge wote leo alipokuwa anaomba muongozo.!
  18. N

    Kibonde kuhamia Al-Jazeera tv...

    Al Jazeera walitangaza kazi..hivyo ana haki ya kuomba..! kama ni kweli tumtakie kila la kheri.
  19. N

    Bungeni: Mjadala wa dharura juu ya mgomo wa wauza mafuta

    Hoja yake ya dharura kuhusu hali ya mafuta nchini imemlazimu naibu spika kuitisha kikao cha dharura cha kamati ya uongozi ya bunge live..!
  20. N

    Meya wa Jiji la Dar Masaburi ajibu Mapigo ya Wabunge; Masaburi awatusi wabunge !!!!

    Wabunge wa mkoa wa Dar alisema matusi waliyotukanwa kuwa wanafikiri kwa kutumia makalio badala ya kichwa yamewadhalilisha katika chama chao, jamii, wapiga kura wao, wabunge wenzao pamoja na familia zao.
Back
Top Bottom