Search results

  1. SHAMAC

    Nahitaji logo yenye components / elements zifuatazo..

    Fursa kwa wale logo makers, Nahitaji logo yenye components zifuatazo. Iwe na circle ya Dunia ( world Map ), not detailed Iwe na ramani / map ya Afrika ( not detailed ) Iwe na sarafu ya fedha. Iwe na mchoro / picha ya mwanamke (Ntakutumia picha yake na si lazima afanane nae 100%) just an...
  2. SHAMAC

    Demokrasia hapa nchini imetuzidi maarifa, iko nje ya uwezo wetu wa kiakili.

    Nchi yangu hii pendwa imefikia hatua kufumbia macho uchafu unaofanyika kwa mgongo wa demokrasia. === Mashoga wamefikia mahali wanajiuza hadharani kama njugu. Tunawaangalia tu eti kisa demokrasia. === Dawa za kulevya imefika hatua zinauzwa kama sembe huku mapapa wake wakiogopwa kuguswa...
  3. SHAMAC

    Msaada: Mke wangu anaelekea kunifilisi

    " Yasini! Ingawa wazazi wangu wamekataa mimi kuolewa na wewe lakini moyo wangu umekuridhia wewe, nitaishi na wewe kwa shida na raha " yalikua ni maneno ya Saida kwa mpenzi wake Yasini miaka 10 iliyopita. Yasini ni kijana mwenye ulemavu wa macho yote ( kipofu ). Yasini amekua kwenye maisha ya...
  4. SHAMAC

    Wimbo mpya wa Mrisho Mpoto 'kitendawili" kakiri kweli wananchi wanalia.

    Nanukuu : ------ Kumbukumbu yako ikoje katika kukumbuka ? Nilikuita ili uingie ndani. Kwa sababu kila anayeingia lazima atoke nje Sizonje " sizo za nje" ------- Hapa ndipo walipovishana majoho yasiyoonekana. Walisoma hapa, walimaliza hapa, kila kitu kiliishia hapa. Walipokuja kwetu...
  5. SHAMAC

    Sanjay Dutt aitembelea Tanzania,

    Tanzania yazidi kujitangaza kimataifa : Mwigizaji hodari wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt alikuja Tanzania kwa mapumziko ya siku 21 ambapo alitembelea Mbuga za Wanyama ikiwa ni miezi kadhaa baada ya kuachiwa huru kutoka gerezani. Copy & Pest from Millardayo.com
  6. SHAMAC

    Tutoane ushamba.

    Ni stori inayotrend sana hapa TZ hasa hasa kwa social media, hadi inanifanya nijione TZ nimekuja kutalii na sio ninapoishi siku zote. Cha ajabu huwa najikuta kama niko mwenyewe nisiyekua na ufahamu kamili linapokuja swala la VUMBI LA KONGO. Linapokuja swala la mjadala wa vumbi la Kongo hua...
  7. SHAMAC

    Touching Motivational speeches ever ( Compilations)....!!

    Maneno yanaponya, maneno yanaumba. Sema huwezi na tayari umeshashindwa, sema uko maskini na tayari umeshakua.....!! Japo waza wewe ni Bakhresa na tayari ushakua, Japo fikiria kuacha ulevi na tayari yametimia, Japo tamani kuacha ukahaba na uhuni tayari mbingu imefunguka kwa ajili yako...
  8. SHAMAC

    Msaada wa hatua za maandalizi ya kitabu.

    Naomba kujuzwa hatua zote za kufuata kama machapisho, hariri za vitabu na zinginezo zinazofuata baada ya mwandishi/mtunzi kumaliza kazi yake. Na mahali kampuni zinazojihusisha na mambo hayo kwa dar es salaam, bei zake na mengineyo yanayoweza kusaidia kwa asiyefahamu kabisa kuhusiana na mambo...
  9. SHAMAC

    Msaada wa hatua za maandalizi ya kitabu

    Naomba kujuzwa hatua zote za kufuata kama machapisho, hariri za vitabu na zinginezo zinazofuata baada ya mwandishi/mtunzi kumaliza kazi yake. Na mahali kampuni zinazojihusisha na mambo hayo kwa dar es salaam, bei zake na mengineyo yanayoweza kusaidia kwa asiyefahamu kabisa kuhusiana na mambo...
  10. SHAMAC

    Riwaya : "Tutarudi na roho zetu..??" Mwanzo - Mwenga

    HADITHI HII KUTOKA KATIKA KITABU CHA 'TUTARUDI NA ROHO ZETU' KITABU KILICHOANDIKWA NA MTUNZI WA RIWAYA ZA KUSISIMUA ZA UPELEELEZI, BEN R. MTOBWA. BAADA YA KUANDIKA KITABU HIKI BEN R. MTOBWA ALITOA KIDOKEZO KUWA 'IWE ZAWADI YAKE KWA KILA MWANAMAPINDUZI WA AFRIKA'. Sasa fuatana nami ,ila ukuje...
  11. SHAMAC

    Riwaya : Tuarudi na roho zetu..?? Mwanzo - Mwenga

    Mods futa huu uzi. Umepostiwa kimakosa., Kila nikiitafuta icon ya ku delete uzi hua siioni., Bebeni hili jukumu wenyewe...!! Wabongo naomba msi nijudge pulzi....!!
  12. SHAMAC

    KUMEKUCHA..!! Watu 400 wavamia mgodi wa North Mara.

    Kundi la watu zaidi ya 400 kutoka baadhi ya kata zinazopakana na mgodi wa dhahabu wa North Mara wilayani Tarime wanaotakiwa kuhama kupisha shughuli za uchimbaji, wavamia mgodi huo leo ( Jumapili) wakidai malipo ya fidia. Wananchi hao ambao maeneo yao yalifanyiwa tathimini tangu 2014 bila...
  13. SHAMAC

    Riwaya : Noti Bandia....!! Mwanzo-mwisho.

    Kwa wale wapenzi wa riwaya karibuni sana. Nikiwa mdau wa mambo hizi nimeona nishee moja ya riwaya ambayo nimeikuta mahali lakini sijaitunga mimi jamani niwe mkweli. Nimeona si vibaya tuka share starehe na utamu kama huu na wanajukwaa...!! Ipo mwanzo mwisho, hapana kuishia kanisani, No arosto...
  14. SHAMAC

    Riwaya : Noti Bandia....!! Mwanzo-mwisho.

    Kwa wale wapenzi wa riwaya karibuni sana. Nikiwa mdau wa mambo hizi nimeona nishee moja ya riwaya amabayo nimeikuta mahali lakini sijaitunga mimi jamani niwe mkweli. Nimeona si vibaya tuka share starehe na utamu kama huu na wanajukwaa...!! Ipo mwanzo mwisho, hapana kuishia kanisani..!! Kwa...
  15. SHAMAC

    Fursa kupiga pesa kwa rika zote...!!

    Southampton. Watafiti wa chuo kikuu cha Southampton wamesema watampa pauni 3,526( sawa na sh10.3 millioni) mtu yeyote atakayejitokeza aweze kuambukizwa kikohozi ili kusaidia uvumbuzi wa kisayansi. Lengo lao kuba ni kutengeneza chanjo bora kuwalinda watoto na watu wazima ambao wapo hatarini...
  16. SHAMAC

    Ndoa Maslahi.....!!

    Katika reseach yangu ndogo niliyoifanya hapa nchini kwetu nimegundua kati ya ndoa 10 basi 8 hadi 9 ni ndoa maslahi...!! Ndoa Maslahi ni zile ambazo kuna maslahi nyuma ya pazia yaliowapelekea muwe pamoja lakini si kuridhisha hisia za upendo uliopo kati yenu.. Yumkini maslahi yaweza kua ni pesa...
  17. SHAMAC

    Kazi za mchina achana nazo kabisa...!!

    Je utajiskiaje kama huyu ndiye real Donald "the billionaire" yule wa kila siku ni fake..
  18. SHAMAC

    BAMBI.. Kaza moyo Mkuu hawa ndo walivyo..,, It's gonna be fine.

    A LETTER FROM A FRIEND TO A GOOD FRIEND... ( Kila kitu kitakua sawa ) Popote pale ulipo kama unasoma hii ni kwa ajili yako., Its too late brother. Usiishawishi nafsi yako unyonge.,Ni muda wako wa kusimama kwa ujasiri na kuufariji moyo wako. Beyond the clouds that sometimes get in your way...
  19. SHAMAC

    Kwanini tumeitelekeza sanaa yetu?

    Watanzania tumekua watu wa lawana kila uchao. Hivi majuzi watu waliwatupia sana lawama wasanii wetu wa bongo movie bila kujihukumu wao kwanza bila shaka kila mmoja anajua nini kilitokea...!! Binafsi kwa kupitia maigizo/sinema/ na tamthilia za nchi tofauti imenisaidia sana kuujua ulimwengu...
Back
Top Bottom