Search results

  1. SHAMAC

    Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) | Mzunguko wa 8: Young Africans SC Vs Simba SC, Washindwa kutambiana. 28 Oktoba 2017

    Uko dimbani, au ndo kioo cha mzungu kinapeperusha mawimbi..?
  2. SHAMAC

    Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) | Mzunguko wa 8: Young Africans SC Vs Simba SC, Washindwa kutambiana. 28 Oktoba 2017

    Noo, Usiponiona kwa ID hii ujue Kolomije moja hiyo, minara haisomi. Sina another ID Shunie.
  3. SHAMAC

    Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) | Mzunguko wa 8: Young Africans SC Vs Simba SC, Washindwa kutambiana. 28 Oktoba 2017

    Kwenye fursa za soka hukai mbal kabisa mama Lee. Nakusoma ile ile.
  4. SHAMAC

    Biashara yangu inaniingizia faida ya Tsh. 200,000 kila mwezi; Je, Niiache niende chuo?

    Rudi shule kaka, trust me moyo wako uko shule. Kama ushauri umetolewa mwingi namna ile wa kukushauri uendelee kufanya ukifanyacho lkn bado unawaza shule, Formal education is the best for you
  5. SHAMAC

    Nahitaji logo yenye components / elements zifuatazo..

    Fursa kwa wale logo makers, Nahitaji logo yenye components zifuatazo. Iwe na circle ya Dunia ( world Map ), not detailed Iwe na ramani / map ya Afrika ( not detailed ) Iwe na sarafu ya fedha. Iwe na mchoro / picha ya mwanamke (Ntakutumia picha yake na si lazima afanane nae 100%) just an...
  6. SHAMAC

    Mpenzi wangu sio rafiki

    Oukey na ni kweli unachokisema, but personally i can't do it intentionally, maybe sijawahi kujiskia huru kiasi hicho, kwangu itokee tu kwa bht mbaya but kwake ajiachie awezavyo.
  7. SHAMAC

    Mpenzi wangu sio rafiki

    Aisee, kaazi kweli kweli.
  8. SHAMAC

    Mpenzi wangu sio rafiki

    Sio kila unaposhikwa na kijambo ujambe mkuu. Unaweza jamba offisini kisa una umejiskia kujamba? Mpenzi wako pia anahitaji kuheshimika.
  9. SHAMAC

    Mpenzi wangu sio rafiki

    Asalaaalee. Kwa nini sasa na wewe ajambe kwa makusudi mbele yake?
  10. SHAMAC

    Live interview with Mrembo on muosha rungu show

    I am Joking: I know that boy.
  11. SHAMAC

    Live interview with Mrembo on muosha rungu show

    A service or material things maybe, na wengine tuchangamkie fursa.
  12. SHAMAC

    Live interview with Mrembo on muosha rungu show

    Certainly muosha rungu utakuwa unaprofit in one way or the other in these struggles ov yur's.
  13. SHAMAC

    Mpenzi wangu sio rafiki

    mmmhh, huyo atakuwa too much, hadi na wewe umemjua hrk kiasi hicho, asalaaaalee.
  14. SHAMAC

    Namna ya kutambua kazi ya wito wako

    Vizuri sana. Ukitaka kufungua darasa/kanisa nitaarifu nitakuwa moja ya wahisani wako.
  15. SHAMAC

    Namna ya kutambua kazi ya wito wako

    Duh, kuna wa2 mn wito na strange things. kaazi kweli kweli.
  16. SHAMAC

    Mpenzi wangu sio rafiki

    Usaliti, usaliti.
  17. SHAMAC

    Mpenzi wangu sio rafiki

    Usimuache huyo mwanamke, here i tell you, Usiombe upate mwanamke talkative, na hivyo na wewe ni muongeaji humo ndani hamtanunua redio coz itageuka club hyo family.
  18. SHAMAC

    Mpenzi wangu sio rafiki

    Ukayeya na milango ukafunga, no entry no exit. And sad enough na wengine tunakuwa wahanga kwa makosa ya waliotutangulia.
Back
Top Bottom