Hali imekuwa tete mkoani Mtwara huku wananchi wakizidi kuachana na CCM siku hadi siku kutokana na ahadi za uwongo kuanzia Mtwara Corridor hadi gesi. Mheshimiwa Mkuchika na Ghasia wamekuwa ni wahanga wa gesi kwa vile mkoani kwao na katika majimbo yao hawadiriki kuishi kama zamani. Kila mara...
CCM inaelekea kupotea miongoni mwa watanzania hiyo imethibitishwa na mbinu chafu wanazojaribu kuzitumia ili kunusuuru machoni mwa wasomi hatahivyo kazi ni pevu sana: hapa ni kielelezo cha ouvu wao uliposhindwa huko Iringa:-
Mwanafunzi RUCO akamatwa
na Happiness Matanji, Iringa...
Sophia Simba
Aden Rage
*Ni katika kesi ya uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga
*Rage aeleza bastola yake ilivyoonekana jukwaani
*Chakula alichokula Sophia Simba Igunga champonza
*Adai aliandaliwa na ndugu yake, ashindwa kumtaja jina
MBUNGE wa Tabora Mjini, Ismail Aden Rage (CCM), pamoja na...
Jana akiwa Arusha NMC, Mheshimiwa Mbowe alitoa kauli ifuatayo:-
"nakwenda kulifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri vivuli ili kuliandaa vizuri na kuwasilisha bajeti mbadala kwenye Bunge lijalo linalotarajiwa kukutana mwezi Juni".
Je ni nani ataendelea an nani atatishwa ili aendane na...
Ili kuondoa ufisadi uliokithiri sasa ni wakati muafaka wizara nyeti kama vile fedha, elimu, maliasili na utalii, ulinzi, tamisemi, kilimo, biashara, maji, nishati na madini, ulinzi, mambo ya ndani, afya, mawasiliano na uchukuzi zishikwe na akinamama UWAZIRI, UNAIBu WAZIRI na KATIBU MKUU. Hiyo...
Huyo wa Mwinyi kaonyesha uwezo mkubwa wa kujua mambo. Le Mutuz ni timing tu, ila ni mzuri kajiwekea mazingira ya kuchaguliwa mbeleni asikate tamaa, afuate nyayo za Shyrose mbele kwa mbele kukatako! tamaa mwiko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.