Search results

  1. Maarko

    Dunia yetu ndivyo ilivyo?

    Ni kweli kuwa Dunia yetu Ina umbo la yai, hii inapelekea baadhi ya maeneo Duniani kuwa na Usiku mrefu kuliko mchana au Mchana kuwa mrefu kuliko Usiku, na sehemu nyingine kwa kipindi fulani kuwa mchana tu (Hakuna Giza) na sehemu zingine kuwa Usiku tu (Jua halionekani) Je hizi sehemu...
  2. Maarko

    Hongera sana mtangazaji wa RFA, Mtani Wambura kwa kuongelea ukabila na udini

    Leo Tar 30/05/2022 mtangazaji nguli wa Radio free Africa MTANI WAMBURA kwenye kipindi chake Cha alfajiri, amezungumzia kitendo Cha watanzania kujijengea taratibu ya Ukabila na Udini: Ni ukweli usiyopingika Tanzania ya Leo siyo Ile aliyoicha Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere,Sasa hivi Ukabila Ni...
  3. Maarko

    SPY CELL PHONE

    Wakuu poleni kwa majukumubya kuijenga Nchi yetu changa,naomba kujuzwa aina gani ya Apps nzuri ya kuchunguza kinachoendelea katika simu ya kijana wangu,mahitaji yake ya Chuo siku hizi yameongezeka sana,sasa napata mashaka isijekua na tunza familia ya mtu na hali yenyewe ya Uchumi kwa sasa ni tete...
  4. Maarko

    SPY CELL PHONE

    Wakuu poleni kwa majukumubya kuijenga Nchi yetu changa,naomba kujuzwa aina gani ya Apps nzuri ya kuchunguza kinachoendelea katika simu ya kijana wangu,mahitaji yake ya Chuo siku hizi yameongezeka sana,sasa napata mashaka isijekua na tunza familia ya mtu na hali yenyewe ya Uchumi kwa sasa ni tete...
  5. Maarko

    SPY CELL PHONE

    Wakuu poleni kwa majukumubya kuijenga Nchi yetu changa,naomba kujuzwa aina gani ya Apps nzuri ya kuchunguza kinachoendelea katika simu ya kijana wangu,mahitaji yake ya Chuo siku hizi yameongezeka sana,sasa napata mashaka isijekua na tunza familia ya mtu na hali yenyewe ya Uchumi kwa sasa ni tete...
  6. Maarko

    Suzuki Swift engine 13m...

    Habari mafundi,naamini kweye hili group tuna mafundi wa kutosha. Nina gari langu Suzuki swift inasumbua sana,linachemsha mara kwa mara. Hii imetokea baada ya kufungua machime na kubadili ring. Kwa mwenye naomba ushauri nifanye nini zaidi ya hapo?
  7. Maarko

    Call Recorder imekataa kufanya kazi kwenye simu yangu

    CALL RECORDER kwenye simu yangu imekataa kufanya kazi kabisa,nime download kila toleo imegoma kabisa anayejua jinsi ya kuweka anishauri tafadhali. Simu yangu Samsung Gallaxy noteIII sm_N900.
  8. Maarko

    Uadui kati ya mwanadamu na nyoka

    Wadau naomba kujua.kuna habari nilishawahi kusikia kuhusu nyoka.Kwamba aina wengi wa nyoka wanafahamu kua mwanadamu ni adui baada ya binadamu kumuona.mwanadamu mara tu umuonapo nyoka hustuka na anapostuka mwili hutoa harufu fulani ambayo humfanya nyoka kujua kua huyu ni adui.ndio sababu watoto...
  9. Maarko

    Gps for mobile phones

    Wadau wa jf najua humu ndio kila kitu.Mimi nataka kujua jinsi ya kutumia simu yangu kama gps receiver.Mimi natumia TECNO M3.Natanguliza shukrani kwa atakaye nisaidia.
  10. Maarko

    Bein sport wamekimbia.

    Wadau wa jukwaa hili naomba mnisaidie. Hawa jamaa wa beinsport jana hawakuonyesha baclays priemium league je ndiyo wamekimbia kama wala jamaa wa gsport?
  11. Maarko

    Itv kwenye dish

    Wadau anayejua tujulishana,toka jana jioni station za ITV,EATV na CAPITAL hazipatikani kwenye dish kuna shida gani? Anayejua asifanye choyo atujulisha tafadhali.
  12. Maarko

    Laptops bora

    Wana jf naomba msaada wenu,nnahitaji kununua Laptop yenye uwezo mkubwa kwa ajili ya ku edit video na movie,je ni laptop yenye uwezo upi nitafute? Binafsi napenda sana bidhaa za Samsung.Natanguliza shukran najua hapa jf ni kila kitu.
  13. Maarko

    Aljeera sports

    Wadau Aljazeera sports imenigomea ambaye anajua ni kwanini anijulishe tafadhali imeandika maandishi ya kiarabu.
  14. Maarko

    King'amuzi cha ten sport msaada

    Ndg wanajamii, Nafahamu ktk jukwaa hili kuna watu wengi wanaofahamu vitu vingi tofautitofauti,kwa anayejua jinsi ya kupata king'amuzi cha Ten sport na jinsi ya kulipia tafadhali anijuze. Natamani sana kumiliki king'amuzi hicho,asanteni wanajamvi kwa watakaonisaidia.
  15. Maarko

    Mbuga ya Loliondo mali ya Mwarabu

    Katika nchi ambayo raslimali zake inaporwa na Watu hovyo nadhani Tanzania itakua inaongoza Duniani,mfano mbuga ya lolionda،wanahamisha wanyama wetu wanawapeleka kwao،ipo siki watalii badala،ya kuja kwetu wataenda Arabuni kuona wanyama.
  16. Maarko

    Group za Damu

    Wadau naomba msaada wenu,kwenye ma group ya Damu kuna group la o- (O negative) huyu anaweza akamuongezea mtu mwenye damu group gani? Nasumbuka sana na swali hili tafadhali anayejua naomba anijulishe pamoja na ma group mengine.
  17. Maarko

    Jinsia yakujitoa FB

    Wadau wa Mtandao wetu makini wa Jamiiforums naomba mnisaidie,katika mtandao wa Facebook ukitaka kutoka unafanyaje wakuu? tafadhali naomba mnisaidie.
  18. Maarko

    Nipeni ujuzi kabla sijaenda kununua video camera ya kisasa

    Wadau wa JF naomba mnifahamishe,nataka kununua video camera yenye uwezo na ubora wa hali ya juu na ya kisasa, lakini sifahamu ni aina gani nzuri,anayejua tafadhali anijuze nisije nunua ambayo siyo. Asanteni
Back
Top Bottom