Kwa anayejua anipe elimu ya pombe Kali...kwa mfano..
WHISKEY:,inaanzia volume alcohol ngapi,
GIN:inaanzia ngapi mpaka ngapi
BRAND: inaanzia V ngapi mpaka ngapi...
Na nyinginezo.
Kenya wamefika hapo baada ya Wananchi kujitambua,kumbuka 2007 Mwai Kibaki alichokifanya,Wanacho wakachukua hatua iliyopelekea kupatikana kwa Tume huru ya Uchaguzi mnayoisifia leo,sisi wa Tz hatujitambui.
Ni kweli kuwa Dunia yetu Ina umbo la yai, hii inapelekea baadhi ya maeneo Duniani kuwa na Usiku mrefu kuliko mchana au Mchana kuwa mrefu kuliko Usiku, na sehemu nyingine kwa kipindi fulani kuwa mchana tu (Hakuna Giza) na sehemu zingine kuwa Usiku tu (Jua halionekani)
Je hizi sehemu...
Vyombo vya habari vina mbinu nyingi ya kupata habari wanayo itaka,hapa Nchini vyombo vingi vya habari vimebanwa,hivyo Aljazeera wakaamua kutumia mbinu kupata maoni.
Lakini pia Wananchi wa Kenya Wanayo haki ya kutoa maoni yao kuhusu Nchi Jirani Kama Vile na sisi tunavyojadili uchaguzi wa kwao...
Kuna vitu sijavielewa vizuri aunpengine wengi wetu humu hatukifahamu vizuri.
Kuna Migogoro miwili,**** Loliondo ilianza Toka kipindi Cha Mzee ruksa (R.I.P STAN KATABALO),na Kuna huu mpya wa kuwahamisha Wamasai kwa nguvu kutoka makazi yao ya miaka na "mikaka"....
Loliondo imeibuka Tena siku za...
Kadri miaka inavyosonga mbele ndivyo ambavyo ukabila unazidi kuenea Tanzania,Marehemu Baba wa Taifa Julius Nyerere (Mwenyenzi Mungu amremhemu) alijitaidi sana sana kuondoa ukabila,ipo siku tutakua kama majirani hadi kupigana makabila.
Leo Tar 30/05/2022 mtangazaji nguli wa Radio free Africa MTANI WAMBURA kwenye kipindi chake Cha alfajiri, amezungumzia kitendo Cha watanzania kujijengea taratibu ya Ukabila na Udini:
Ni ukweli usiyopingika Tanzania ya Leo siyo Ile aliyoicha Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere,Sasa hivi Ukabila Ni...
KWA HIYO MBOWE NDIO ANAMKATAZA SPIKA ASIFUATE SHERIA?!?!
Mbunge anapopoteza sifa ya kuwa mbunge, whether kwa kufukuzwa uanachama au kwa sababu nyingine yoyote, hastahili kuendelea kuwa mbunge kwa siku moja zaidi.
Na hali hiyo inaendelea hadi hapo Mahakama Kuu, au Mahakama ya Rufaa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.