Search results

  1. Z

    Anayejua hili jengo lipo wapi na linahusika na nini adondoshe comments zake hapa.

    Hapo ni Tandale kwa mtogole karib na kituo cha daladala barabara ya kuelekea uwanja wa fisi
  2. Z

    Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Mimi mkatolic pure, ila jamaa kaongea vyema na namuunga mkono. Viongoz wetu wako kmya kiac kwamba hawayaon yanayoendelea wakat awamu iliyopita walikuwa macho kana kwamba walikuwa na ugomvi na rais
  3. Z

    Mbunge Mwita Waitara (CHADEMA) ni mfano kwa jamii

    Daudi Bashite kesho atakuwa Azania sec kufundisha Physics form four
  4. Z

    Rais Magufuli anachukiwa na hawa na kwa sababu hizi...

    Nalichukia xana hilo limjamaa.
  5. Z

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nataka nhamie shule ya KOLOMIJE
  6. Z

    Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Raishi Makufuli hongera baba mtetezi wa wanyonge. Toa ajira baba. Ni wewe tinayekuaminyi hakuna mwingine. Hongeraa mwechumiwa.
  7. Z

    Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Broo niliosema mm n ukwel, sema wahandisi mnajiona xana wala hamtak kpokea mapungufu yenu. Hivi ww unaweza kpokea tender ya serikali kweli. Unao huo mtaji. Maana unatakiwa ujenge jengo likishainuka ndo serikali itoe hella. Hapa UDSM vihandisi vinajishaua akat vikihitim shda tu kwanza utaalam zero
  8. Z

    Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Mhandisi wa bongo hana insu, kwanza hata utaalam wao ni zero. Hawana mitaji ya kuanzisha majengo. Ndo maana mchina anapewa tenda kuliko wa bongo
  9. Z

    Jengo la taasisi gani hilo?

    DAUDI BASHITE TOWER
  10. Z

    Mwenye Taarifa ya ajira za walimu wa Arts

    Kwani mmemalza kuisoma nomber??? Isomeni kwanza ajira February 2020. Alafu kwa ujinga mlionao October 2020 mnasahau kila kitu.
Back
Top Bottom