Search results

  1. Oppomall

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Tubu umrudie Mungu. Pia kumbuka uzuri bila akili ni mateso kwa sehemu za siri.
  2. Oppomall

    Msaada kuhusu Bulb camera

    Front seat dirishani.
  3. Oppomall

    Upasuaji kwa wajawazito imekuwa kama lazima, ni kero kubwa

    Ongea vizuri na Mkeo,wamama wa sikuizi wanapenda sana upasuaji simply hawataki kupitia uchungu na wanaamini wanalinda **** isilegee. Unaweza kudhani ni Wataalamu wa afya kumbe pendekezo la mteja ila umezungukwa.
  4. Oppomall

    Robo ya mwaka imeisha tayari, umetimiza mikakati gani?

    Endelea kufosi,mwaka bado unadai
  5. Oppomall

    Robo ya mwaka imeisha tayari, umetimiza mikakati gani?

    Nimetimiza moja kubwa,NIMEOA. NAMSHUKURU Mungu.
  6. Oppomall

    Mpenzi wangu kakubali kukutana kimwili na rafiki yangu

    Malizia appointment ili umpe funzo.
  7. Oppomall

    Huu uvaaji wa Millard Ayo kwenye msiba wa Gardner umenishangaza sana

    Unatuaibisha wanaume wenzio mkuu. Cha ajabu nini hapo?
  8. Oppomall

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Sikuizi hizo pombe wanapima kwa vizibo. Tabu iko palepale.
  9. Oppomall

    Mtoto wangu ana baba wawili

    Hasara hii. Mwanamke ana tamaa sana
  10. Oppomall

    Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Mapinga na Kerege ni Bagamoyo. Ni suala la uelewa tu
  11. Oppomall

    Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Mpaka wa Dar na Pwani upo Daraja la mto Mpiji kabla hujafika Mzani ya zamani ya Kibaha.
  12. Oppomall

    Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Rudi darasani kajifunze Jiografia
  13. Oppomall

    Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Wakazi wa Msumi na Mpiji magoe wanatia huruma sana kama hawako Dar es salaam tena langoni mwa Jiji.
  14. Oppomall

    Unajisikiaje kuona Mpangaji mwenzio akiingiza wanawake kila mara?

    Napishana na wewe kidogo. Mambo kama hayo uswahilini sidhani kama yako sana kwakua kuna macho mengi. Ila ukipanga maeneo ya binafsi sana ndiko kunatokea hayo,niliwahi kupanga nyumba mkoa fulani miaka ya nyuma kidogo,jirani yangu alikuwa analeta wanawake watatu mpk wanne kwa siku. Ila nadhani...
  15. Oppomall

    Nimeanza mazoezi kutembea KM 15 nachunika mapaja

    Jitahidi kutanua miguu unapotembea pia
  16. Oppomall

    Nilichobaini kwa watu wa Njombe

    Iringa ni kwa Wahehe Mkuu. Njombe ni Wabena, Wakinga na Wapangwa.
  17. Oppomall

    Nilichobaini kwa watu wa Njombe

    Pole sana. Huijui Njombe wewe. Matajiri wa Njombe wanashinda na watu wengine kikawaida sana. Siyo ajabu kumkuta tajiri anakula supu mahali wanapokula vijana wanaoingiza elfu kumi kwa siku. Hawana kujitutumua,mtu anapakia semi kadhaa za mbao anaenda Dar anauza halafu anarudi na pesa zake zote...
Back
Top Bottom