Chondechonde viongozi wa Tanzania wakati ndio huu. Wakati nchi nyingi hapa Africa zinastruggle kutafuta kujulikana kisoka hapa nyumbani MWenyezi Mungu ametubariki kwa namna nyingine na ya kipekee, kuna mambo machache ambayo serikali yetu ikiwa makini nchi itafika mbali hata kama hatuna vipaji...
Kama kawaida huku mitaani kwetu ni ukweli usiopingika hali ya hewa imechafuka,yaani ni harufu ya manemane,uvumba,vitunguu swaumu na viungo vyote vya pilau uvijuavyo.Ni nadra sana kusikia harufu ya ugali,kande,magimbi na maharage ati..Tukaribishane Akina Mcharo Sio kuumizana pua Jamaniii.
basi hilo lilikua linatokea Dar kwenda Kahama, dereva alikuwa anaovertake roli akakutana uso kwa uso na lory lilokuwa limesheheni mbao.
Takriban watu wawili wamefariki papo hapo na majeruh wengi tu wamekatika viungo vyao.
Source: Mimi mwenyewe safarini Kagera
Kweli wakenya noma...kwa wale wenye ving'amuzi mtakuwa mnaenjoy vya kutosha kipindi cha comedy kiitwacho NASWA katika tv ya Citizen..nimekipenda sana,macomedian wa kibongo tunawasubiri kwa hamu mcopy na kupaste kutoka kwa wakenya!
"umaskini wako na maumbile yako ndivyo vimefanya ushindwe kusimamia shoo" hii ni kauli ya ney aliyenitumia leo asubuhi akinijulisha ya kwamba uhusiano wetu umekwisha rasmi,siumii kuachwa wala umaskini bali haya maumbile ya inch 4.5 yamenikosesha mke...x-mass njema!
"nimeanza kuimba mtoto wa miaka 10,sikufundishwa na mtu,nimejifundisha kwenye majahazi..uimbaji unatokea humu(kichwani)...Mpaka Marekani kote nshafika...mpaka kwa marikia Mtukufu elizabeeth...!!!!"
nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa safari za rais wetu jk,tangu alipoingia madarakani mwaka 2005 mpaka sasa 2011 zipo safari nyingi zenye tija na zisizo na tija kwa taifa letu, katika kipindi cha miaka mitano 2005-2010 rais amesafiri saana. kitabu kimegusa takriban safari 75 za rais, hivyo basi...
Joe kihampa ni mmoja wa watangazaji mahiri wa Jambo Tanzania TBC1 , tatizo alilonalo huyu bwana ni uoga wa kupitiliza wa kusoma vichwa vya habari katika magazeti ya kila siku, kuna baadhi ya magazeti amekuwa akiyaficha kwa makusudi kwa kisingizio kikubwa ni kubanwa na muda. USHAURI: Kama TBC 1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.